• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • • Kenya:Utalii wa ndani waimarika katika sikukuu za pasaka
  • Kenya:Wawekezaji wa uholanzi kufanya ziara Kenya
  • Rwanda:Bei ya chakula yapanda maradufu
  • Rwanda:Mashirika ya biashara Rwanda kutafuta soko nchini Morocco
  • Matumizi mabaya ya fedha yashuhudiwa Tanzania
  • FKE yalalamikia nyongeza ya mshahara wa chini
  • Maofisa 28 wa ATCL kwenda Ethiopia kwa mafunzo zaidi

  Maofisa 28 wakiwemo marubani 10 wa Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL) wanatarajia kwenda kupata mafunzo ya urubani nchini Ethiopia baada ya makubaliano baina ya nchi hizo mbili kukamilika, ikiwa ni manufaa ya ziara ya hivi karibuni ya Waziri Mkuu wa Ethiopia, Hailemariam Desalegn.

  • Mali ya mameneja wa benki ya Chase yakamatwa
  • Tanzania: Tanzania yazindua ujenzi wa reli ya kisasa
  • EAC: Uchumi wa Afrika mashariki ulikua kwa kasi zaidi Afrika mwaka 2016
  • Burundi: Honda Kenya kuuza pikipiki Burundi
  • Tanzania: Kampuni za simu zapigwa faini Tanzania
  • Rwanda: Bei ya nyanya na bidhaa nyingine sokoni yapanda Kigali

  Bei ya nyanya mjini Kigali nchini Rwanda imepanda huku kilo moja ikiuzwa kwa franc 900 katika masoko ya Kimironko na Nyabugogo.

  • Kenya: Kenya inahitaji nyumba milioni 3 kuzuia kuenea kwa makaazi ya mabanda
  • Uganda: Vituo vya kubadilisha fedha vya mfanyabiashara Sudhir Ruparelia vyafungwa
  • Bei ya kimataifa kahawa ya Robusta imeshuka
  • Kenya: lita nusu ya maziwa hivi sasa inauzwa sh 60

  Wakenya watalazimika kutumia fedha zaidi kununua maziwa baada ya bei kupanda hadi sh 60 kwa pakiti 500ml.

  • Kenya: Benki ya Dunia imeshukisha makadirio ya kiwango cha ukuaji wa uchumi wa Kenya hadi asilimia 5.5.
  • Tanzania: Ukosefu wa ajira mwingoni mwa vijana bado ni changamoto kubwa Katika ukuaji wa serikali
  • Vyakula soko kuu la Mwanza bei juu

  BEI ya vyakula katika soko kuu la Mwanza iko juu ikilinganishwa na hali ilivyokuwa miezi mitano iliyopita.

  prev 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 next
  SearchYYMMDD  
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  Maoni yako