• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • HATIMAYE NIMEUONA UKUTA MKUU WA CHINA…

    Kabla ya kufika kwenye 'Ukuta Mkuu wa China' niliwahi kusoma habari za mitandaoni na kutazama video zikisema, kuijua dunia kunaendana na mambo yafuatayo: Kwanza ni kuwa na elimu inayoendana na dunia ya sasa, pili ni kuitembelea dunia yenyewe yaani usiwe mtu wa kuishia kwenye ramani ya nchi yako pekee, bali pia kuyatembelea maajabu ya dunia...

    Ushirikiano wa kiuchumi na kidiplomasia kati ya China na Afrika sasa umekua

    Siri kubwa ya maendeleo ya uchumi wa China yenye watu zaidi ya bilioni 1.36 ni kuwajali wananchi wake, na kuhakikisha kwamba kila mtu anakuwa na fursa ya kuzalisha chochote katika eneo alipo.

    Milima si kigezo cha kuikimbia Tibet

    Mara ukiambiwa kwamba unatakiwa kupimwa hali ya afya yako kabla ya kwenda Jimbo la Tibet unaweza kupatwa na mshituko wa moyo. Ndivyo ilivyokuwa kwa wanahabari wenzangu 28 kutoka Bara la Afrika hivi karibuni.

    Matembezi ndani ya 'jiji lililozuiliwa' yaani Forbidden City

    Matembezi yangu mwezi Mei ndani ya kasri ya kifalme ambayo kwa sasa inaitwa Forbidden City yalinyanyua hisia zangu kutokana na kuwa nimefundisha somo la historia katika sekondari kwa miaka kadhaa iliyopita.

    KIVUTIO CHA JOTO JIMBO LA HAINAN, KARAHA INAPOGEUKA KUWA BARAKA

    Mwanzoni miaka michache iliyopita kulingana na maelezo ya wenyeji wetu, jimbo la Hainan hapa nchini China lilikuwa halina mvuto mkubwa kama yalivyokuwa majimbo mengine.

    SHANGHAI IPO CHINA LAKINI NI DUNIA MCHANGANYIKO

    Unaweza kufikiria kwamba labda sasa haupo tena ndani ya China bali upo katika nchi tofauti kulingana na muingiliano mkubwa wa watu wa aina zote. Shanghai ni jiji lenye idadi ya watu zaidi ya milioni 24 kwa takwimu za mwaka 2014....

    MIUNDO MBINU YA CHINA NI YENYE KUVUTIA SANA
    Jumanne iliyopita basi moja lilionekana kwenye barabara ya mji wa Qinhuangdao, ulio kaskazini mwa China. Basi hilo linajulikana kama Basi ya Reli kwa kuwa linaonekana kama daraja, ambalo magari yanaweza kupita chini yake wakati daraja lenyewe likisonga mbele kwenye njia yake iliyojengwa barabarani.
    1  2  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako