• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China imejikomboa hatua kwa hatua katika kunyanyua uchumi na kupambana na umaskini ni vyema wengine wajifunze kutokana na uzoefu huo (SEHEMU YA TATU)

  Kulingana na uzoefu wa China, watu wanaoutumikia mfuko wa kupambana na umaskini wamegawanyika katika makundi matatu; kwanza ni wale wenye ajira za kudumu, pili ni wale wa muda na tatu ni washauri ambao hawajaajiriwa lakini hulipwa kutokana na kazi zao za kitaalamu kila wanapozitoa kwa taasisi hiyo.

  China imejikomboa hatua kwa hatua katika kunyanyua uchumi na kupambana na umaskini ni vyema wengine wajifunze kutokana na uzoefu huo [Sehemu ya pili]

  Kuna mazingira yalijengwa ili kupata uhalali wa uamuzi huo kwamba ujamaa umeshindwa kwa hiyo inabidi kujaribu njia nyingine ya kuleta maendeleo. Kwa kiwango kikubwa mpaka sasa bado mataifa ya Afrika hayajajikomboa kutokana na dhana hiyo. Kinyume chake taifa la China limeendelea kuweka kipaumbele katika sekta ya umma na limefanikiwa sana kwa njia hiyo.

  China imejikomboa hatua kwa hatua katika kunyanyua uchumi na kupambana na umaskini ni vyema wengine wajifunze kutokana na uzoefu huo (Sehemu ya kwanza)

  Nchi za Afrika na kwingineko duniani zinatakiwa kuiga mfano wa China katika kupambana na umaskini. Mwandishi wa makala hii ambaye amekuwa nchini China kwa miezi tisa anayo mengi ya kusimulia.

  Mazingira ya mkutano wa G20

  Pamoja na hayo yaliyojiri katika mkutano wa wakuu wa G20 uliofunguliwa Jumapili (Septemba 4) wanahabari wa kimatifa walipata wasaa wa kutembelea sehemu mbali mbali za jiji la Hangzhou ili kujionea mandari nzuri na utunzaji wa mazingira hususani katika mradi wa Jiangyangfan Eco-park.

  Rais wa China ataka maslahi ya mataifa madogo yazingatiwe
  tano wa wakuu wa G20 ulifunguliwa jumapili mjini Hangzhou, mashariki mwa China, ambapo viongozi wa nchi hizo ambazo jumla ya uchumi wao zinachukua zaidi ya asilimia 80 ya ile ya dunia nzima wanakaa kwenye meza moja kujadili ongezeko endelevu, shirikishi na lenye uwiano la uchumi wa dunia.
  VIONGOZI MAHIRI WAMININIKA HANGHZHOU

  Siku ya Jumamosi tarehe 03 Septemba jiji la Hanghzhou liligeuka na kuwa kitovu cha Dunia baada ya kupokea idadi kubwa ya viongozi wanaounda ushirika wa kiuchumi wa G20.

  UNAPOFIKA 'JIJI LA MAJI' HANGZHOU JIANDAE KWA UTALII WA ZIWANI…

  Nilipofika Hangzhou nilijiona kama kwamba nipo nyumbani katika Jiji la Mwanza, ilikuwa ni kutalii kwenye Ziwa la Magharibi (West Lake) ambalo liliwekwa kwenye orodha ya hifadhi za utalii wa UNESCO mwaka 1987.

  Sasa mitandao ya intaneti yabadilisha maisha ya watu

  Katika ziara zangu sehemu mbali mbali za Jamhuri ya watu wa China nimevutiwa na mambo mengi, lakini suala la usalama limekuwa na umuhimu wa kipekee. Mfano halisi ni pale tulipolitembelea jimbo la Ningxia na tukapata mafunzo ya hali ya juu jinsi ambavyo mtandao wa intaneti unaweza kutumika ili kuyabadilisha maisha ya mwanadamu.

  UTALII: JANGWA LINAPOGEUZWA KUWA KIVUTIO CHA UTALII

  Miaka 30 iliyopita serikali ya jimbo la Ningxia hapa China iliamua kwamba jangwa lililopo katika eneo hilo liwe kivutio cha "utalii jangwani" au kwa Kiingereza "desert tourism"。 Katika kutimiza azma hiyo watafiti walichunguza ni mmea gani upandwe ili kuliondoa jangwa na badala yake kuwepo uoto wa kijani ndipo ikaonekana kwamba mmea aina ya CALLIGONUM MONGOLICUM unaweza kuota jangwani.

  Kamera zimeongeza usalama barabarani, watembea kwa miguu wanatembea bila hofu …

  Miongoni mwa mambo unayoweza kuyashuhudia na kuyafurahia katika miji yote mikubwa ya China, ni uendeshaji mzuri wa magari, kiasi kwamba watembea kwa miguu wanatembea bila wasiwasi.

  1  2  
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako