• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • • Kushinda COVID-19 kwa niaba ya jumuiya yenye hatma ya pamoja 2020-02-19

  Tangu kutokea kwa maambukizi ya virusi vipya ya korona vinavyosababisha nimonia (COVID-19), watu wa nchi mbalimbali duniani wameeleza kuiunga mkono China.

  • Adui mkubwa zaidi sio virusi vya korona, bali ni habari za kupotosha zinazoweza kuwatenga watu 2020-02-18

  China bado inajitahidi kupambana na maambukizi ya virusi vipya vya korona vinavyosababisha nimonia (COVID-19). Wakati huohuo, badala ya kutoa misaada, baadhi ya nchi za magharibi zinapaka matope China kutokana na ugonjwa huo. Shirika Kuu la Utangazaji la China limetoa tahariri inayouliza, "Adui mkubwa zaidi kuliko virusi ni nini".

  • China yatoa wito wa ushirikiano wa kimataifa dhidi ya COVID-19 2020-02-14

  Mjumbe wa Baraza la Taifa la China ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya nje ya China Bw. Wang Yi amesema virusi havina mipaka, na jumuiya ya kimataifa inapaswa kufanya kazi kwa pamoja kupigana na virusi vipya vya korona (COVID-19).

  • Rais wa China aagiza kupeleka madaktari wengine 2,600 wa jeshi katika mji wa Wuhan unaokumbwa na maambukizi 2020-02-13

  Rais Xi Jinping wa China ameagiza madaktari wengine 2,600 wa kijeshi kupelekwa wametumwa mjini Wuhan, ambao umeathirika zaidi na maambukizi ya virusi vipya ya korona COVID-19.

  • China yaipa Afrika vifaa 3,000 vya kupima virusi vya korona 2020-02-11

  China inaendelea kutoa msaada kwa Afrika ili kuitayarisha kukabili virusi vya korona ikiwa vitatokea barani humo.

  • Rais wa China amwambia mwenzake wa Marekani kuwa China ina imani na uwezo wa kushinda maambukizi ya virusi 2020-02-07

  Rais Xi Jinping wa China amemwambia mwenzake wa Marekani Donald Trump kuwa China ina imani na uwezo wa kushinda vita dhidi ya maambukizi ya virusi vipya vya korona.

  Rais Xi amesema hayo alipoongea na rais Trump leo kwa njia ya simu, na pia amesema China imechukua hatua kamili na kujibu kwa haraka maambukizi hayo. Rais Xi pia amemwahakikishia mwenzake wa Marekani kuwa mustakbali wa ukuaji wa uchumi wa muda mrefu haujabadilika.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako