Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
  • Kitivo cha Confucius cha chuo kikuu cha Nairobi
  •  2006/05/01
    Rais Hu Jintao wa China atafanya ziara ya kiserikali nchini Kenye toka tarehe 27 hadi 29 mwezi Aprili. Katika ziara yake hiyo, rais Hu Jintao atakuwa na mazungumzo na wanafunzi wa kitivo cha Confuxius cha chuo kikuu cha Bairobi. Hivi karibuni, mwandishi wetu wa habari aliyeko Nairobi Bw. Chen Yonghua alikuwa na mahojiano na baadhi ya walimu na wanafunzi wa kitivo hicho.
  • Mwimbaji mashuhuri Li Shuangjiang
  •  2006/04/10
    Bw. Li Shuangjiang alizaliwa mwaka 1939 mjini Harbin, kaskazini mashariki mwa China. Alipokuwa katika shule ya msingi mara nyingi alipata tuzo katika maonesho ya michezo ya sanaa ya miji na mikoa.
  • Mwigizaji filamu Tao Hong
  •  2006/03/13
    Mwigizaji wa filamu Tao Hong alianza kujulikana kwa watazamaji wa filamu wa China kutokana na filamu yake ya "Maisha ya Binti Mfalme"
  • Mafanikio ya mwanzo yamepatikana katika juhudi za kupambana na ukiukaji wa hakimiliki ya mtandao wa internet
  •  2006/02/20
    Ofisa wa Idara Kuu ya Hakimiliki ya China tarehe 15 kwenye mkutano na waandishi wa habari alisema mapambano dhidi ya ukiukaji hakimiliki ya mtandao wa internet yaliyoanzishwa mwaka jana, yamepata mafanikio ya mwanzo
  • Magulio katika Sikukuu ya Spring
  •  2006/02/06
    Tarehe 29 Januari ni sikukuu ya Spring, yaani mwaka mpya kwa kalenda ya Kichina. Sikukuu ya Spring ni sikukuu kubwa ya jadi nchini China, na shamrashamra za kutembelea magulio ni desturi ya Wachina katika sikukuu hiyo.
  • Mradi wa kuokoa urithi wa utamaduni wa jadi wapata mafanikio makubwa katika uchapishaji
  •  2006/01/23
    Shirikisho la China la Wasanii wa Sanaa na Fasihi za Wenyeji lilianzisha mradi wa kuokoa urithi wa utamaduni wa jadi kuanzia mwaka 2003. Miaka miwili imepita tangu mradi huo unzishwe, mafanikio makubwa yamepatikana katika uchapishaji.
  • Mwongozaji wa Filamu Bi.Ma Liwen
  •  2006/01/09
    Katika nyanja ya filamu, waongozaji wa kike ni wachache, kwa hiyo wanafuatiliwa sana. Waongozaji hao wanatengeneza filamu zao kwa tabia makini waliyo nayo wanawake, filamu zao zinasimulia mambo kwa hisia za ndani sana.
  • Heri ya Krismasi
  •  2005/12/26
    Tarehe 25 Desemba ni sikukuu ya Krismasi, katika kipindi hiki tumewaandalia nyimbo kadhaa za kusherehekea siku hiyo na kwa kutumia nafasi hii tunawatakia heri ya Krismasi.
  • Uhondo wa muziki, tamasha la muziki la kimataifa mjini Beijing
  •  2005/11/21
    Hivi karibuni tamasha la muziki la kimataifa lilifanyika mjini Beijing. Tamasha hilo liliwaletea uhondo mkubwa wa muziki wakazi wa Beijing. Kwenye tamasha hilo kundi la Simfoni la Berlin, Berliner Philharmoniker, lilionesha muziki wake.
  • Tamasha la utamaduni wa China lakaribishwa nchini Marekani
  •  2005/10/31
    Tamasha la utamaduni wa China lilianza tarehe mosi Oktoba na litafanyika kwa mwezi mmoja nchini Marekani. Katika tamasha hilo kuna michezo ya sanaa ya aina mbalimbali kama vile muziki wa symphony, bale, muziki wa Kichina, opera za Kichina, sarakasi na maonesho ya picha, mavazi na vitu vya sanaa.
  • Maonesho ya Kimataifa ya Shughuli za Matangazo ya Redio na Televisheni Mjini Beijing
  •  2005/09/19
    Maonesho ya kimataifa ya shughuli za matangazo ya redio na televisheni yalimalizika siku chache zilizopita mjini Beijing. Hayo ni maonesho kabambe yaliyohusisha maonesho ya michezo ya televisheni, biashara, kongamano na kutoa tuzo kwa filamu bora na vipindi vya televisheni.
  • Wananchi wa China waadhimisha miaka 60 ya ushindi wa vita vya kupambana na wavamizi wa Japan
  •  2005/08/22
    Tarehe 15 Agosti, ni siku ya kuadhimisha mwaka wa 60 tangu watu wa China kupata ushindi wa vita dhidi ya uvamizi wa Japan. Siku hizi wananchi wa China wanaadhimisha siku hiyo kwa njia mbalimbali.
  • Mwandishi wa Habari Mwanamke Fan Chunge
  •  2005/08/01
    Siku chache zilizopita, maonesho ya picha zilizopigwa na mwandishi wa habari mwanamke Fan Chunge yalifanyika katika Jumba la Makumbusho la Taifa mjini Beijing.
  • China yaadhimisha miaka 600 tangu Zheng He asafiri baharini
  •  2005/07/25
    Siku chache zilizopita, kitabu cha "1421, Mwaka wa China Kugundua Dunia" kilichoandikwa na kamanda mstaafu wa jeshi baharini la Uingereza Bw. Bavin Menzies kimetafsiriwa na kuchapishwa kwa Kichina.
  • Maonesho Makubwa ya Maadhimia ya Miaka 600 Tokea Zheng He Asafiri Baharini Yafanyika Mjini Beijing
  •  2005/07/18
    Miaka 600 iliyopita msafiri mkubwa wa China ya kale, Zheng He aliuongoza msafara mkubwa wa merikebu kusafiri mbali baharini na alisafiri mara saba katika muda wa miaka 28, na kufika kwenye nchi zaidi ya 30.
  • Maktaba za umma zaendelea haraka nchini China
  •  2005/07/04
    Mradi wa pili wa ujenzi wa Maktaba ya Taifa ya China ulizinduliwa hivi karibuni mjini Beijing. Hii inaashiria kuwa maktaba za umma nchini China, zimeingia katika kipindi kipya cha maendeleo nchini China.
  • Maonesho ya muziki wa kitaifa mjini Beijing
  •  2005/06/13
    Siku chache zilizopita Bendi ya Muziki wa Kikabila ya Redio ya China ilifanya maonesho ya muziki mjini Beijing
  • Mwandishi mashuhuri wa vitabu Lan Huaichang
  •  2005/05/23
    Mwandishi mashuhuri wa vitabu Lan Huaichang ni mtu wa kabila la Wayao ambalo lina jumla ya watu milioni mbili tu nchini China.
  • China yaadhimisha Siku ya Kusoma Vitabu Duniani
  •  2005/05/09
    Tarehe 23 Aprili ni Siku ya Kusoma Vitabu Duniani. Ili kuadhimisha siku hiyo Shirikisho la Maktaba, Shirikisho la Hakimiliki za Kunakili, Shirikisho la Waandishi wa Vitabu na Shirikisho la Wachapichaji yalifanya shughuli nyingi.
  • Vitu vya mapambo kutoka nchi za Asia ya Kusini vyakaribishwa mjini Beijing
  •  2005/04/18
    Katika miaka miwili iliyopita, vitu vya sanaa na mapambo ya vito kutoka India, Nepal na Pakistan, vimekuwa vikipendwa sana mjini Beijing, na maduka yanayouza vitu hivyo yamekuwa mengi.     
  • Wasanii wa China washiriki mambo ya siasa
  •  2005/04/04
    Mkutano mkuu wa kila mwaka wa Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China ulifungwa siku chache zilizopita. Baraza hilo ni jumuiya ya ushirikiano wa siasa wa vyama vingi vya China
  • Waimbaji mahiri wachangia kampeni ya kulinda hakimiliki
  •  2005/03/21
    Ili kuwahamasisha Wachina wawe na mwamko mkubwa zaidi wa kulinda hakimiliki, hivi karibuni Idara ya Hifadhi ya Hakimiliki ya China iliwashirikisha waimbaji mahiri mia moja kufanya maonesho makubwa mjini Beijing.
  • Bi. Zhao Meiping aliyekuwa mvunja mawe amepata tuzo ya fasihi
  •  2005/02/21
    Ingawa kulikuwa giza kidogo ndani ya jumba lakini mara niligundua mwandishi Bi. Zhao Meiping aliyepewa sasa hivi tuzo ya fasihi ana kovu mkononi
  • Maonesho ya Michezo ya Sanaa ya "Radio Aid"
  •  2005/01/31
    Tsunami iliyotokea ghafla ilisababisha maafa makubwa katika nchi za pwani ya Bahari ya Hindi. Kutokana na maafa hayo, nchi nyingi zilinyoosha mikono yao kuzisaidia nchi hizo. Kadhalika, wasanii nchini China hawakuwa nyuma katika harakati hizo za kuonesha moyo wa upendo, siku chache zilizopita walijitolea kwa michezo yao ili kuchangisha fedha za msaada.
  • Jumba la kwanza la makumbusho la hali ya viumbe lisilo kiserikali nchini China lafunguliwa wilayani Liping, mkoani Guizhou
  •  2005/01/14
    Jumba la kwanza la makumbusho la hali ya viumbe lisilo la kiserikali nchini China-jumba la makumbusho la hali ya viumbe la kabila la Wadong, lilifunguliwa tarehe 8 huko wilayani Liping, mkoani Guizhou
  • Juhudi za Kulinda Hakimiliki Nchini China Zapata Mafanikio Siku hadi Siku Nchini China
  •  2005/01/10
    Katika mwaka 2004, mwaka ambao China imefanya juhudi kubwa katika kupambana na hali ya kurudufu sahani za video kinyume cha sheria ili kuifanya jamii ya China iwe safi katika hakimiliki.
  • Maonesho Makubwa ya Utamaduni wa Ufaransa nchini China
  •  2004/11/01
    Maonesho makubwa matatu ya utamaduni wa Ufaransa mjini Beijing yanayofanyika hivi sasa kutokana na Mwaka wa Utamaduni wa Ufaransa yanawavutia watazamaji wengi.
  • Tamasha kubwa la vitabu la kimataifa mjini Beijing
  •  2004/09/13
        Tamasha kubwa la vitabu la kimataifa limeanza kufanyika mjini Beijing, mashirika zaidi ya 900 kutoka nchi na sehemu 42 duniani yanashiriki kwenye tamasha hilo. Wataalamu wanaona kuwa kutokana na soko la uchapishaji nchini China kuwa wazi zaidi siku hadi siku kwa nchi za nje, washapishaji wa nchi mbalimbali wamekuwa na hamu kubwa ya kushirikiana na China.
  • Mito mikubwa mitatu iendayo sambamba
  •  2004/04/30
        Mwanzoni mwa mwezi huu, UNESCO ilifanya mkutano wa 27 kupitisha ombi la China la kuweka mandhari ya "mito mikubwa mitatu iendayo sambamba" kwenye orodha ya urithi wa maumbile wa dunia, na pia imekubali makaburi ya wafalme 13 wa enzi ya Ming na kaburi la mfalme wa kwanza wa enzi hiyo, Zhu Yuanzhang, kuorodheshwa katika urithi wa utamaduni wa dunia. Hadi sasa, kwa ujumla kuna sehemu 29 nchini China zilizoorodheshwa na UNESCO katika uridhi wa dunia.
  • Maonesho ya Kumbukumbu za Utamaduni wa Dola la Kifalme la Dian
  •  2004/03/15
    Kama mjuavyo, China ni nchi yenye eneo kubwa na makabila mengi, kutokana na hali hiyo utamaduni wake katika sehemu tofauti pia ni wa aina nyingi. Utamaduni uliokuwepo miaka 2,000 iliyopita mkoani Yunnan, kusini-magharibi mwa China ni moja ya aina za tamaduni hizo. Siku hizi "Maonesho ya Kumbukumbu za Utamaduni wa Dola la Kifalme la Dian" yanafanyika mjini Beijing...
    1 2 3