v Miaka mia moja ya maendeleo ya sekta ya kurekodi nchini China 2005/03/28 Sekta ya kurekodi nchini China hapo mwanzo haikuwa kubwa, wakati huo mashirika ya nchi za nje yalikuja nchini kurekodi, kisha yalikwenda kutengeneza sahani nchi za nje.
|
v Mshairi Shu Cai 2005/02/17 Shu Cai ni mtu aliyewahi kuwa mwanadiplomasia, meneja mkuu wa kampuni na mwishowe kuwa mshairi. Mshairi Shu Cai ana umri wa miaka 40, ni mshairi anayejulikana sana katika fani ya ushairi.
|
v Raia wa Kawaida Wazingatiwe Kupewa Utamaduni 2005/01/17 Kupeleka sahani za video zenye michezo ya kuvutia na kupeleka vitabu kwenye sehemu za ujenzi wanazokaa wajenzi watokao vijijini, kufanya tamasha la wasanii wakubwa pamoja na wajenzi hao na kuwaandalia wafanyakazi hao madarasa ya sanaa za michezo huko walipo??Shughuli hizo zilizofanywa na Wizara ya Utamaduni na Wizara ya Kueneza Utamaduni zilichangamsha maisha ya utamaduni ya wajenzi waliotoka vijijini  na kuwafurahisha??
|
v Maingiliano ya Vyombo vya Kauri vya China katika Zama za Kale 2004/11/15 Vyombo vya kauri vilikuwepo nchini China kabla ya miaka 1700 iliyopita. Tokea hapo, vyombo vya kauri vya China vilienea duniani na baadhi vinahifadhiwa hadi leo katika majumba makubwa ya makumbusho duniani.
|
v Miiko katika Matumizi ya Vijiti vya Kulia 2004/10/27 Kama inavyofahamika, Wachina wanapokula hutumia vijiti vya kulia. Mazoea hayo yamekuwa na miaka elfu kadhaa.
|
v Hifadhi ya Mtindo wa Kale wa Mji wa Beijing 2004/10/22 Beijing ambao ni mji mkuu wa China ni mji maarufu wenye historia ndefu ya utamaduni. Katika miaka ya karibuni, kadiri ujenzi wake unavyoendelea ndivyo hifadhi ya mtindo wake wa kale inavyotiliwa maanani.
|
v Mapishi Yanayochapukia 2004/10/15 Watibet ni wakarimu na wanyofu. Wamezoea kuwaalika wageni watembelee nyumbani mwao. Baada ya kuingia chumbani na kukaa, mwenyeji humkaribisha mgeni kwa chai ya samli ya moto huku muziki nyororo ukipigwa.
|
v Hadithi ya Kuhani wa Mlima Laoshan 2004/09/30 Kutoka Mlima Laoshan umbali wa kiasi kama kilomita mia moja hivi ulikuwapo mji mkuu wa wilaya ambapo aliishi mtu mmoja, aliyejulikana kama Wang Qi. Wang Qi alikuwa na hamu ya kupata uganga tangu utotoni mwake. Baada ya kusikia fununu kuhusu uganga wa kuhani wa Mlima Laoshan, Wang Qi alimuaga mkewe na kuelekea mlimani kumtafuta ili apate uwezo huo wa ajabu kama wake.
|
v Dini ya kibudha nchini China 2004/09/03
|
v Ghala la Kuhifadhi Maandishi Yaliyogunduliwa katika Mapango ya Dunhuang Kuzinduliwa Mjini Beijing 2004/08/23 Mapango ya Dunhuang yako katika kitongoji cha Mji wa Dunhuang, mkoani Gansu, kaskazini magharibi mwa China. Mapango hayo yalichongwa mlimani kuanzia mwaka 366 kwenye genge lenye urefu wa kilomita mbili kutoka kusini hadi kaskazini kwa safu tano kutoka juu hadi chini, ni mapango maarufu duniani.
|
v Mwanahistoria mkubwa Sima Qian na Kitabu chake "Rekodi ya Historia" 2004/07/29
|
v Hekalu la Tiantan Mjini Beijing 2004/07/28 Hekalu la Tiantan ni mkusanyiko kamili na mkubwa wa majengo ambayo mpaka sasa limehifadhiwa vizuri. Hekalu hilo lilijengwa kwa ajili ya wafalme kufanya tambiko.
|
v Mwanahisabati mkubwa wa China Zu Chongzhi na uwiano wa mzingo wa duara na kipenyo 2004/07/23
|
v Hakimiliki nchini China 2004/06/30
|
v Mageuzi ya mfumo wa utamaduni yaliyofanyika hivi karibuni nchini China 2004/06/28
|