• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • • Nchi za BRICS zashirikiana kulinda mfumo wa biashara wa pande nyingi 2018-07-26
    Mkutano wa kumi wa viongozi wa nchi za BRICS unaofanyika kwa siku tatu umefunguliwa huko Johannesburg, Afrika Kusini. Uchambuzi uliotolewa na shirika la habari la Reuters umesema, thamani ya jumla ya pato la taifa la mwaka jana kwa nchi tano za BRICS limezidi dola trilioni 17 za kimarekani, ambalo ni aidi ya thamani hiyo kwa Umoja wa Ulaya.
    • Mkutano kuhusu UKIMWI watoa wito wa kuondoa kikwazo cha ufahamu na kuongeza ukingaji 2018-07-24
    Mkutano wa 22 wa siku tano kuhusu UKIMWI wenye lengo la kuondoa kikwazo cha ufahamu na kujenga daraja la kukabiliana na tatizo hilo, umefunguliwa mjini Amsterdam, Uholanzi.
    • Uingereza yatoa waraka wa makubaliano inayotaka katika kujitoa EU 2018-07-13

    Serikali ya Waziri mkuu wa Uingereza Bi. Theresa May imetoa waraka maalum unaoeleza kwa ufasaha makubaliano inayotaka na Umoja wa Ulaya (EU) baada ya nchi hiyo kujitoa kwenye Umoja huo.

    • Waziri mkuu wa China na chansela wa Ujerumani wahudhuria maonesho ya magari yanayojiendesha 2018-07-11
    Waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang na Chansela wa Ujerumani Bibi Angela Merkel wamehudhuria maonesho ya magari yanayojiendesha ya China na Ujerumani.
    • Ushirikiano kati ya China na Ulaya waingiza nishati kwa uchumi wa dunia 2018-07-10

    Waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang alifanya ziara katika nchi za Bulgaria na Ujerumani kuanzia tarehe 5 hadi tarehe 10 mwezi huu, ambapo alihudhuria mkutano wa 7 wa viongozi wa China na nchi za Ulaya ya kati na mashariki, na kuendesha duru ya 5 ya mazungumzo kati ya serikali za China na Ujerumani.

    • Waziri wa mambo ya nje wa China aeleza misimamo ya China kuhusu suala la nyuklia la Iran 2018-07-07

    Mjumbe wa taifa ambaye pia ni waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi amesema, China inashikilia misimamo mitano juu ya suala la nyuklia la Iran, na inafanya juhudi kulinda na kutekeleza makubaliano ya pande zote kuhusu suala hilo, na pia italinda kithabiti maslahi halali ya China.

    • Malkia Elizabeth wa Uingereza asaini sheria ya Uingereza kujitoa Umoja wa Ulaya 2018-06-28
    Sehemu ya kwanza muhimu ya kutengeneza njia ya Uingereza kujitoa kwenye Umoja wa Ulaya EU imekuwa sheria jumanne wiki hii baada ya kupata kibali cha Malkia Elizabeth wa nchi hiyo.
    • Vitendo vya kujilinda kibiashara vyaanza kusababisha athari mbaya kwa Marekani yenyewe
     2018-06-27

    Kampuni ya Harley Davidson ya pikipiki ya Marekani tarehe 25 imetangaza kuhamishia baadhi ya shughuli zake nje ya Marekani, ili kuepuka ushuru wa forodha utakaotozwa na Umoja wa Ulaya dhidi ya bidhaa za Marekani. Marekani imeanza kukabiliwa na athari mbaya kutokana na vitendo vyake ya kujilinda kibiashara.

    • Bw. Erdogan ashinda katika uchaguzi wa rais wa Uturuki 2018-06-25

    Habari kutoka Shirika la Habari la Anadolu la Uturuki zimesema matokeo ya awali yanaonyesha kuwa rais wa sasa wa Uturuki Bw. Recep Tayyip Erdogan ameshinda kwenye uchaguzi wa rais.

    • UNHCR yapongeza hatua za Hispania za kukamilisha msukosuko wa uokoaji baharini 2018-06-18
    Shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR limepongeza hatua zilizochukuliwa na Hispania kutatua msukosuko wa uokoaji katika bahari ya Mediterranean baada ya meli ya "Aquarius" iliyokuwa na wahamiaji zaidi 600 waliookolewa, kutoruhusiwa kutia nanga na kushusha wahamiaji nchini Italia na Malta.
    • Waziri wa mambo ya nje wa Marekani kufanya ziara China 2018-06-13

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Geng Shuang ametangaza kuwa, waziri wa mambo ya nje wa Marekani Mike Pompeo atafanya ziara nchini China hapo kesho.

    • Mkutano wa viongozi wa Marekani na Korea Kaskazini utalenga kuanzisha mfumo wa kudumu wa amani 2018-06-11

    Shirika la Habari la Korea Kaskazini (KCNA) limesema, mazungumzo kati ya kiongozi wa nchi hiyo Kim Jong Un na rais Donald Trump wa Marekani yatalenga kuanzisha mfumo wa kudumu wa amani na suala la kutokuwa na silaha za nyuklia kwenye Peninsula ya Korea.

    • Marekani kupiga kura ya veto muswada wa Kuwait kuhusu ulinzi wa Palestina
     2018-06-01

    Balozi wa Marekani kwenye Umoja wa Mataifa Nikki Haley, amesema Marekani itapiga kura ya veto muswada wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ulioandaliwa na Kuwait kuhusu ulinzi wa raia wa Palestina.

    • Zaidi ya nusu ya watoto duniani wanakabiliwa na tishio la vita, umasikini na kutengwa kijinsia
     2018-05-31

    Ripoti iliyotolewa na shirika la hisani la Save the Children imesema, zaidi ya nusu ya watoto duniani wanakabiliwa na tishio la umasikini, mapigano, au kutengwa kwa watoto wa kike.

    • Russia yatarajia kuiuzia India mfumo wa kuzuia makombora wa S-400 2018-05-30

    Russia imemaliza mazungumzo na India kuhusu kuiuzia nchi hiyo mfumo wa kuzuia makombora wa S-400, na makubaliano hayo yatasainiwa siku zijazo.

    • Qatar yazuia uingizaji wa bidhaa kutoka UAE, Saudi Arabia, Bahrain na Misri baada ya mwaka mmoja wa kuwekewa vikwazo
     2018-05-28

    Qatar imesema itazuia bidhaa zinazotoka kwenye nchi za Falme za Kiarabu (UAE), Saudi Arabia, Bahrain na Misri, ikiwa ni karibia mwaka mmoja tangu nchi hizo nne kuiwekea vikwazo.

    • Ripoti ya Umoja wa Mataifa yakadiria ongezeko la uchumi wa dunia kuzidi asilimia 3 katika mwaka huu na mwaka kesho 2018-05-18

    Ripoti iliyotolewa jana na Umoja wa Mataifa imekadiria kuwa, uchumi wa dunia utaongezeka kwa asilimia 3 katika mwaka 2018 na mwaka 2019, ambao umezidi makadirio ya awali, sababu kuu ikiwa ni nguvu kubwa ya ongezeko la uchumi la nchi zilizoendelea na mazingira mazuriya uwekezaji.

    • Naibu waziri mkuu wa China awasili Marekani kwa ajili ya majadiliano ya kiuchumi na kibiashara 2018-05-16

    Mjumbe maalum wa rais wa China ambaye pia ni naibu waziri mkuu wa China Liu He amewasili mjini Washington, Marekani kwa ajili ya majadiliano ya kiuchumi na kibiashara na upande wa Marekani.

    • Marekani kuondoa vikwazo vya uchumi dhidi ya Korea Kaskazini kama nchi hyo ikiacha silaha za nyuklia 2018-05-14

    Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Bw. Mike Pompeo amesema kama Korea Kaskazini ikiweza kutimiza kutokuwa na silaha za nyuklia, Marekani itaondoa vikwazo dhidi ya nchi hiyo na kuyaruhusu makampuni binafsi ya Marekani kuwekeza nchini humo.

    • Mawaziri wa fedha kutoka China, Japan, na Korea Kusini wasisitiza kujizuia na vitendo vya kujilinda
     2018-05-04

    Mawaziri wa fedha na magavana wa Benki Kuu za China, Japan, na Korea Kusini wamesisitiza haja ya kuzuia aina zote za kujilinda, na kukubaliana kuhakikisha mfumo wa wazi wa biashara na uwekezaji wa pande nyingi.

    prev 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 next
    SearchYYMMDD  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako