Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
 • Mfumo wa uchumi wa China
 •  2005/01/20
  Kabla ya kuzaliwa kwa Jamhuri ya Watu wa China kuasisiwa mwaka 1949, China ilifanana na jitu dhaifu. Nchi hiyo iliyokuwa na watu zaidi ya milioni 500 na eneo la kilomita za mraba milioni 9.6 ilizalisha nyuzi tani laki 4.45, vitambaa mita bilioni 2.79, makaa ya mawe tani milioni 61.88, umeme kilowati bilioni 6, nafaka tani milioni 150 na pamba tani laki 8.49 kila mwaka. Huu ulikuwa msingi wa maendeleo ya uchumi wa Jamhuri wa Watu wa China.
 • Mji maarufu unaozalisha bidhaa ndogo ndogo nchini China
 •  2004/10/28
  Mji wa Yiwu, ambao uko umbali wa kilomita 200, kusini mwa Hangzhou, mji mkuu wa mkoa wa Zhejiang, ni kituo kimoja maarufu cha usambazaji wa bidhaa nchini China.
 • Mradi mkubwa wa maji wa Magenge Matatu
 •  2004/10/25
      Changjiang ni mto mkubwa hapa nchini China, maarufu kama mto mama kwa wachina. Mto huo hulea karibu nusu ya watu wa China, lakini pia huleta mafriko ya maji mara kwa mara, na kuwalazimisha watu walioishi kando yake wakimbie maskani yao. Ili kudhibiti mafriko ya maji na kuyatumia maji kwa manufaa ya watu, China imeanzisha ujenzi wa mradi mkubwa wa maji uitwao "Mradi wa Magenge Matatu" katika sehemu ya mto huo iitwayo magenge matatu.
 • Mradi wa Kupeleka Gesi Asilia Kutoka Magharibi Hadi Mashariki mwa China Umekamilika
 •  2004/09/16
      Tarehe 11 Juni, gesi inayotoka Tarim, mkoani Xinjiang, magharibi mwa China ilifika Jingbian mkoani Shan'xi. Hii ina maana kuwa mradi wa kupeleka gesi asilia kwa mabomba kutoka magharibi hadi mashariki mwa China umekamilika, yaani gesi kutoka chanzo cha Tarim mkoani Xinjiang na gesi kutoka Changqing, kaskazini mwa mkoa wa Shan'xi zimekutana kwenye kituo cha kuongeza nguvu ya kusukuma cha Jingbian mkoani Shan'xi. Kukutana kwa gesi hiyo inayotoa kutoka kwenye vyanzo viwili kumeweka msingi wa kupeleka gesi hiyo kwa pamoja kwenye eneo la mashariki tarehe mosi Oktoba.
 • Mradi Wa Kupeleka Gesi Sehemu Ya Mashariki Kutoka Sehemu Ya Magharibi
 •  2003/11/25
      Mradi unaojengwa hivi sasa wa kupeleka gesi sehemu ya mashariki kutoka sehemu ya magharibi, ni mradi wa njia ndefu kabisa ya kusafirisha gesi kwa mabomba nchini China. Njia hiyo yenye urefu wa kiasi cha kilomita 4,000 inapeleka rasilimali nyingi ya gesi kutoka sehemu ya magharibi kwenda sehemu ya mashariki yenye upungufu wa nishati.
  1  2