• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya

  • Rais Xi Jinping wa China aanza ziara nchini Uzbekistan
    Habari
    Marais wa China na Uzbekistan wafanya mazungumzo
    Rais Xi Jinping apendekeza kujenga ukanda wa kiuchumi wa "Njia ya Hariri"
    Marais wa China na Marekani wakutana kwa mara mbili ndani ya miezi mitatu
    Mkutano wa wakuu wa kundi la nchi 20 wafunguliwa St. Petersburg
    Xi Jinping ajadili na rais wa Russia kuhusu uhusiano na masuala ya kimataifa
    More>>
    Maelezo
    • Kuyumbishwa kwa mkutano mkuu wa G20 kunavuruga matumaini ya jumuiya ya kimataifa
    Tishio la Marekani la kuchukua hatua za kijeshi dhidi ya Syria limeongeza hatari ya kuyumbisha mkutano mkuu wa G20 utakaofanyika hivi karibuni, ambao unapaswa kufuatilia mambo ya uchumi duniani.
    • Rais Xi Jiping atafanya ziara katika nchi za Asia ya Kati na kufafanua sera ya mambo ya nje ya China kwa kanda hiyo
    Wizara ya Mambo ya Nje ya China leo imesema rais Xi Jiping atafanya ziara katika nchi nne za Asia ya Kati na kuhudhuria mkutano wa wakuu wa kundi la nchi 20 (G20) na mkutano wa wakuu wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai. Wakati wa ziara yake, rais Xi atafafanua sera kamili kuhusu mambo ya nje inayofuatwa na serikali ya awamu mpya ya China kwa Asia ya Kati, na kutoa mapendekezo mapya ya kuimarisha ushirikiano kati ya China na nchi mbalimbali za kanda hiyo. Kuhusu kama mkutano wa wakuu wa China na Japan utafanyika wakati wa mkutano wa G20, wizara ya mambo ya nje imesema, hakuna msingi wa kufanyika kwa mkutano huo.
    More>>
    Picha
    More>>
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako