• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Shirika kuu la Utangazaji la China CMG latangaza habari kumi kubwa za kimataifa kwa mwaka 2019

  (GMT+08:00) 2019-12-31 09:44:29

  8. Mkutano wa hali ya hewa wa Madrid waweka msingi wa kufikia makubaliano

  Takwimu mpya zilizotolewa mwezi Desemba na Shirika la Hali ya Hewa Duniani WMO zinaonyesha kuwa, kiasi cha gesi ya ukaa GHG katika hewa ya dunia kimefikia kiwango cha juu zaidi, na matukio ya dhoruba, ukame, mafuriko, moto wa misituni yanayosababishwa na hali hiyo yanatokea mara kwa mara. Mkutano wa 25 wa pande zilizosaini mkataba wa Umoja wa mataifa kuhusu mabadiliko ya tabianchi uliofanyika mjini Madrid, Hispania, na kupitisha maamuzi zaidi 30 na kuweka mpango kwa ajili ya utekelezaji wa taratibu za kisoko katika mkataba wa Paris. Ingawa matokeo ya mkutano huo hayakufikia malengo yaliyotarajiwa, lakini yameweka msingi kwa pande mbalimbali kufikia makubaliano katika kipindi kijacho.


  1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako