Tatizo la udongo ulioganda katika ujenzi wa reli ya Qinghai-Tibet 2006/07/20 Katika ujenzi wa reli ya Qinghai-Tibet nchini China kuna matatizo matatu ambayo hayakuweza kuepukika, nayo ni udongo ulioganda, upungufu wa hewa ya oksijeni katika uwanda wa juu na ikolojia dhaifu. Kati ya matatizo hayo matatu, tatizo la udongo ulioganda ni kubwa zaidi.
|
Majengo katika Enzi ya Tang Song na Yuan 2006/01/26 Enzi ya Tang (618-907) ni kipindi ambacho uchumi na utamaduni katika jamii ya kimwinyi nchini China ulifikia kwenye kilele, ufundi na sanaa za ujenzi wa majengo pia zilikuwa zimeendelea sana. Majengo katika Enzi ya Tang yalikuwa makubwa na ya adhama.
|
Majengo ya Jadi ya China 2005/12/15 Mahekalu ni moja ya aina ya majengo ya dini ya Buddha nchini China. Mahekalu nchini China yalianzia India, mahekalu hayo ni ishara ya hali ya ustawi wa dini ya Buddha katika historia, ni majengo yenye thamani kubwa kwa ajili ya uchunguzi na usanii.
|
Maliasili ya Ardhi ya China 2005/09/30
|
Eneo la ardhi, Bendera ya Taifa, Nembo la Taifa, Wimbo la Taifa na Mji Mkuu 2005/09/01 Jamhuri ya Watu wa China yaani China, iko kwenye sehemu ya mashariki ya Bara la Asia na kando ya magharibi ya Bahari ya Pasifiki.
|
Tiba ya kichina-Uvumbuzi mkubwa wa tano katika China ya kale 2005/08/11 Mavumbuzi manne makubwa katika China ya kale yanajulikana kwa watu wengi. Ufundi wa kutengeneza karatasi ulivyovumbuliwa katika Enzi ya Han, baruti, dira na uchapaji wa mpangilio huru wa maneno vilivyovumbuliwa katika Enzi za Song na Yuan, vyote viliwahi kutoa mchango mkubwa kwa utamaduni wa binadamu na maendeleo ya jamii.
|
Elimu ya Tibet 2005/07/29 China inatekeleza sera ya kutoa elimu bure mkoani Tibet. Gharama za masomo ya wanafunzi toka shule za msingi hadi vyuo vikuu zote zinatolewa na serikali. Sera hiyo nafuu inatekelezwa mkoani Tibet tu
|
Hali ya Mkoa wa Tibet 2005/07/29 Ufugaji ni njia muhimu ya uchumi mkoani Tibet, na una historia ndefu na una nafasi kubwa ya kuendelea zaidi. Hivi sasa kuna mbuga za majani zenye ukubwa karibu hekta milioni 82
|
Siku kuu ya Mwaka mpya wa jadi wa kichina 2005/07/28 Sikukuu ya Mwaka mpya wa jadi wa kichina ni sikukuu kubwa kabisa kwa Wachina katika mwaka mzima ambayo ni kama sikukuu ya Krismasi katika nchi za Magharibi. Ingawa namna ya kusherehekea sikukuu hiyo inabadilika badilika kutokana na jinsi muda unavyokwenda, lakini nafasi muhimu ya sikukuu hiyo katika maisha ya Wachina haitabadilika kabisa. Yafuatano ni maelezo kuhusu sikukuu hiyo.
|
Confucius 2005/07/28 Mtu yeyote anapozungumzia utamaduni wa China hawezi kuacha kumtaja Confucius. Kwenye miaka ya 70 ya karne iliyopita, msomi mmoja wa Marekani alipoorodhesha watu 100 wenye taathira kubwa kabisa katika historia ya dunia, Confucius alipangwa wa tano, nyuma tu ya Yesu, mwanzilishi wa dini ya Buddha, Sakyamuni, na wengine wawili.
|
Mshairi Du Fu 2005/07/28 Katika historia ya fasihi ya China watu hutaja washairi wawili wakubwa Li Bai na Du Fu kuwa ni wawakilishi wa mafanikio makubwa ya uashairi katika Enzi ya Tang (618-907).
|
Michoro ya watu ya Enzi ya Tang 2005/07/21 Enzi ya Tang (618-907) ni kipindi ambacho michoro ya kale ya China ilipata maendeleo ya pande zote. Katika Enzi ya Sui na Enzi ya Tang ulikuwa na muungano wa taifa, hasa katika miaka zaidi ya 100 ya kipindi cha katikati cha Enzi ya Tang, hali ya kisiasa ilikuwa tulivu, nguvu ya nchi ilikuwa kubwa, uchumi ulistawi sana
|
Michoro ya China 2005/06/30 Sanaa ina uhusiano wa karibu na uzalishaji wa binadamu. Wachina wa makabila mbalimbali kwa busara zao walianzisha sanaa mbalimbali, zikiwemo sanaa za mipango, majengo, maandishi, michoro, ufinyanzi na uchongaji. Sanaa hizo zimestawisha hazina ya sanaa na kuwa ajabu katika historia ya sanaa duniani, pia zimeonesha utamaduni na urithi mkubwa wa sanaa wa China.
|
Sanaa za uchongaji na ufinyanzi nchini China 2005/06/09 Kuanzia mwishoni mwa jamii ya kiasili ya binadamu, watu walioishi katika mabonde ya Mto Manjano na Mto Changjiang nchini China walianza kufinyanga sanamu kwa udongo.
|
Maeneo kumi ya kiuchumi nchini China 2005/05/19 1. Eneo la kiuchumi la Kaskazini Mashariki mwa China;2. Eneo la kiuchumi lililoko kando ya Bahari ya Bo kaskazini mwa China;3. Delta ya kiuchumi ya Mto Changjiang;4. Eneo la kiuchumi la pwani lililoko kusini mwa China;5. Eneo la kiuchumi la sehemu ya katikati ya Mto Manjano;6. Eneo la kiuchumi la sehemu ya juu ya Mto Manjano;7. Eneo la kiuchumi la sehemu ya katikati ya Mto Changjiang;8. Eneo la kiuchumi la sehemu ya juu ya Mto Changjiang;9. Eneo la kiuchumi la mkoa wa Xinjiang;10. Eneo maalum la kiuchumi la Mkoa wa Tibet.
|
Sekta ya uzalishaji wa Chakula ya China 2005/04/21 Baada ya maendeleo ya miaka zaidi ya 50, shughuli za uzalishaji wa chakula nchini China zimebadili hali ya zamani ambayo zilikuwa na uzalishaji wa chakula wa aina chache tu. Kwenye msingi wa kupanua uzalishaji wa aina za zamani, aina nyingi mpya za uzalishaji wa chakula zimeanzishwa na kupata maendeleo makubwa.
|
Sekta ya mazao ya majini nchini China 2005/03/31 China ni nchi yenye eneo kubwa, hivyo mazao ya majini ni ya aina nyingi tena uzalishaji wake ni mkubwa. Sekta hiyo ni sekta yenye mustakabali mzuri wa maendeleo.
|
Picha zilizochorwa ukutani za Dunhuang 2005/03/10 Mapango ya Mogao yako katika sehemu yenye miti na chemchemi katika jangwa lililoko kilomita 25 kusini mashariki ya mji wa Dunhuang mkoani Gansu.
|
Sikukuu za Kichina 2005/02/17 Sikukuu ya Spring: Kila mwaka mwishoni mwa majira ya baridi ambapo majira ya Spring yanakaribia. Wachina husherehekea sikukuu ya kwanza katika mwaka mmoja, yaani sikukuu ya Spring(sikukuu ya jadi ya mwaka mpya wa Kichina).
|
Kilimo cha China 2005/02/03 Mazao ya kiuchumi nchini China ni pamoja na pamba, makaranga, cole, ufuta, miwa, chai, tumbaku, mforosadi na matunda. Sehemu muhimu za uzalishaji wa pamba ni bonde la Mto Manjano, sehemu ya kati na ya chini ya Mto Changjiang na bonde la Mto Manasi mkoani Xinjiang. Makaranga hupandwa mikoani Shandong, Guangdong, Guangxi na Liaoning. Miwa hupandwa katika sehemu ya kusini mwa China.
|