Wasomi na wanafunzi wa Kenya waliosoma nchini China waunga mkono China katika kupambana na COVID-19 2020-02-25 Taasisi ya Confucius ya Chuo Kikuu cha Nairobi ikishirikiana na klabu ya wakenya waliosoma nchini China kimefanya hafla ya kuunga mkono juhudi za China katika kupambana na maambukizi ya COVID-19. Wasomi kutoka sehemu mbalimbali za Kenya waliosoma nchini China na Wakenya watakaokwenda China kwa masomo wametoa kauli ya kuunga mkono mapambano hayo nchini China. |
Rais wa Sudan Kusini amteua Bw. Riek Machar kuwa makamu wa kwanza wa Rais 2020-02-22 Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini amemteua kiongozi wa kundi la upinzani Bw. Riek Machar kuwa makamu wa kwanza wa rais. |
Urafiki wa kindugu kati ya China na Afrika waimarishwa katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa COVID-19 2020-02-21 Tangu kutokea kwa mlipuko wa virusi vipya vya korona COVID-19 nchini China, Afrika haikusita kutoa misaada na uungaji mkono. Urafiki wa kindugu kati ya China na Afrika umekuwa ukiimarishwa katika ushirikiano wa kukabiliana na ugonjwa huo, na jumuiya yenye mustakabali wa pamoja kati ya China na Afrika itazidi kuwa imara. |
Balozi wa China nchini Afrika Kusini asema Marekani haina uwezo wa kupambana na virusi vya korona kama inavyofanya China 2020-02-20 Balozi wa China nchini Afrika Kusini Bw.Lin Songtian amesema China imeonesha mfumo wake bora wa kipekee wa kisiasa haswa katika vita dhidi ya maambukizi ya virusi vipya vya korona COVID-19. Balozi Lin ametoa kauli hiyo kufuatia shutuma zilizotolewa hivi karibuni na waziri wa mambo ya nje wa Marekani dhidi ya mfumo wa kisiasa wa China, na kuongeza kuwa Marekani haiwezi kufanya vizuri kama inavyofanya China katika mambo kadhaa. |
Serikali ya Libya yasitisha kwa muda mazungumzo ya amani baada ya bandari ya Tripoli kushambuliwa 2020-02-19 Serikali ya Libya inayotambuliwa kimataifa imesitisha kwa muda mazungumzo ya amani yaliyoandaliwa na Umoja wa Mataifa baada ya jeshi la mashariki mwa nchi hiyo kushambulia bandari ya Tripoli kwa mizinga iliyoanguka karibu na tenki la gesi. |
Afrika ina mengi ya kujifunza kutokana na juhudi za China kupambana na mlipuko wa virusi vya korona 2020-02-19 Mlipuko wa virusi vya Korona kwa sasa ni suala ambalo linaendelea kugonga vichwa vya habari kote duniani. Athari za janga hili zimedhihirika pakubwa nchini China. Kwa sasa, idadi kubwa ya miji yamewekwa karantini. |
FAO yasema hali ya nzige wa jangwani nchini Ethiopia, Kenya na Somalia "inatisha sana" 2020-02-19 Shirika la chakula na kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limetoa tahadhari kuwa hali ya uvamizi wa nzige wa jangwani na kuzaliana kwa wadudu hao inaendelea kutishia usalama wa chakula na maisha ya watu hasa nchini Kenya, Ethiopia na Somalia. |
Zimbabwe yapunguza ukubwa wa mashamba ili kuwapa watu Zaidi ardhi 2020-02-18 Zimbabwe imepunguza ukubwa wa mashamba yote ya kibinafsi katika mikoa mitano ya kiikolojia, ikiwa ni hatua ya kuhakikisha watu wengi zaidi wanapata ardhi. |
Mchakato wa Zimbabwe wa kusitisha matumizi ya dola za kimarekani unaendelea kwa utaratibu 2020-02-18 Gavana wa benki kuu ya Zimbabwe RBZ Bw. John Mangudya, amesema, mchakato wa nchi hiyo wa kusitisha matumizi ya dola za kimarekani ulioanzishwa mwaka jana unaendelea kwa utaratibu. |
Balozi wa Tanzania nchini China aiunga mkono China kupambana na virusi vya Korona 2020-02-18 Balozi wa Tanzania nchini China Bw. Mbelwa Kairuki ameishukuru China kutokana na juhudi zake katika mapambano dhidi ya virusi vya Korona, na pia ameishukuru serikali ya China kutoa msaada kwa wanafunzi wa Tanzania walioko mjini Wuhan. |
China yasema hakuna raia kutoka Afrika aliyeambukizwa virusi kwa korona nchini humo 2020-02-14 Balozi wa China nchini Kenya Wu Peng amesema hapana kisa chochote cha maambukizi ya virusi vya Corona kilichoripotiwa miongoni mwa Waafrika walio nchini China. |
China yatoa wito kwa pande zote husika zitekeleze matokeo ya mkutano wa kilele wa Berlin juu ya suala la Libya 2020-02-13 Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa jana limepitisha Azimio namba 2510 kukubali matokeo ya mkutano wa kilele wa Berlin juu ya suala la Libya. |
Katibu mkuu wa chama cha Jubilee nchini Kenya apata ajali 2020-02-12 Katibu mkuu wa chama tawala nchini Kenya, Jubilee, Raphael Wanjiku amejeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyotokea kwenye barabara kuu ya Nairobi – Nakuru mapema leo. |
Mahojiano na Albert M.Muchaga, Kamishna wa Viwanda na Biashara iliyo chini ya Kamati ya Umoja wa Afrika 2020-02-07 Swali: Mapema mwaka huu, Marekani na China zilisaini makubaliano ya kibiashaa yaliyoondoa mvutano kati ya nchi hizo mbili kubwa duniani kiuchumi. Unadhani kuna umuhimu gani wa kusaini makubaliano hayo kwa uchumi wa dunia, biashara, uwekezaji na soko la fedha? |
Wafanyakazi wa SGR Kenya wachanga pesa kwa mapambano ya China dhidi ya virusi vya korona 2020-02-06 Kampuni inayosimamia uendeshaji wa reli ya SGR ya kutoka Mombasa hadi Nairobi, Kenya ilifanya shughuli ya kuchangisha pesa kwa ajili ya mapambano dhidi ya maambukizi ya virusi vya korona nchini China. Licha ya wafanyakazi Wachina, Wakenya zaidi ya 180 pia wamechanga pesa ili kuipa moyo China. |
Ushirikiano wa China na Uganda kwenye sekta ya afya waboresha huduma 2020-01-29 Kundi la 20 la madaktari wa China linaendelea kutoa huduma za afya katika hospitali ya urafiki ya China na Uganda mjini Kampala, ikiwa ni sehemu ya moango wa serikali ya China wa kuendelea kusaidia Afrika kuboresha sekta yake ya afya. |
Kiongozi wa kikundi cha madaktari wa China nchini Namibia Chu Hailin 2020-01-24 Leo ni mkesha wa mwaka mpya wa jadi wa kichina. Wachina wana desturi ya kukaa pamoja na familia zao ili kusherehekea sikukuu hiyo. Lakini kwa madaktari Wachina wanaotoa msaada wa matibabu barani Afrika, leo ni siku ya kawaida ya kazi. |
Tanzania yajiunga na China kusherehekea sikukuu ya Mwaka Mpya 2020-01-20 Watanzania wamejiunga na marafiki zao wa China kusherehekea sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa Kichina inayokaribia kwenye tamasha kubwa la Heri ya Mwaka Mpya wa Kichina 2020. Shughuli hizo zimefanyika nchini Tanzania kwa miaka kumi mfululizo, ambazo zinaonesha kukaribia kwa mwaka mpya wa jadi wa kichina. |
Mwakilishi maalumu wa China ahudhuria sherehe ya kuapishwa kwa rais wa Msumbiji 2020-01-17 Mwakilishi maalumu wa rais wa China ambaye pia ni naibu spika wa kamati ya kudumu ya bunge la umma la China, Bw. Cai Dafeng, Jumatano alihudhuria sherehe ya kuapishwa kwa rais Filipe Nyusi wa Msumbiji huko Maputo, na kukutana rais Nyusi Alhamisi. |
China yashiriki katika mageuzi ya kiuchumi ya nchini Djibouti 2020-01-10 Wakati Djibouti inatumia kwa kikamilifu fursa kubwa ya kiuchumi inayotokana na eneo lake la kimkakati la kijiografia, ushiriki wa China umesaidia matarajio ya nchi hiyo kuwa nchi muhimu kiuchumi, katika biashara na pia mambo ya bahari, ikiunganisha bara la Afrika na Bahari Nyekundu. China imesaidia mageuzi ya Djibouti kupitia ushiriki wake katika miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa reli yenye urefu wa kilomita 752 inayoanzia bandari ya Djibouti hadi mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa. |
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |