• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping wa China ahudhuria Mkutano wa 10 wa kilele wa BRICS na kutoa hotuba muhimu
    Habari
    v Rais wa China akutana na waziri mkuu wa Mauritius
    v Rais wa China awasili Mauritius kwa ziara ya kirafiki
    v Mkutano wa viongozi wa BRICS wapata matokeo makubwa
    v China na Uganda zaahidi kuimarisha ushirikiano kati ya pande mbili
    v Marais Xi na Erdogan wakubaliana kuimarisha ushirikiano kati ya China na Uturuki
    More>>
    Maelezo
    v Hotuba ya rais Xi kwenye mkutano wa kilele wa BRICS yapongezwa sana na waangalizi wa kimataifa

    Hotuba ya rais Xi Jinping wa China kwenye mkutano wa 10 wa wakuu wa nchi za BRICS imepongezwa sana na wasomi na waangalizi wa nchi hizo na nchi nyingine.

    v Rais Xi Jinping wa China ahudhuria Mkutano wa 10 wa kilele wa BRICS na kutoa hotuba muhimu
    Mkutano wa 10 wa Viongozi wa nchi za BRICS unaendelea kufanyika mjini Johannesburg, Afrika Kusini. Jana marais wa China, Brazil, Russia pamoja na waziri mkuu wa India walihudhuria mkutano huo na kujadiliana kuhusu ushirikiano kati ya nchi za BRICS na masuala muhimu ya kimataifa wanayoyafuatilia kwa pamoja na kufikia makubaliano.
    v Balozi wa China nchini Rwanda asema ziara ya rais Xi nchini Rwanda itahimiza uhusiano kati nchi hizo mbili 

    Kutokana na mwaliko wa rais Paul Kagame wa Rwanda, rais Xi Jinping wa China ataanza ziara yake rasmi nchini Rwanda tarehe 22 hadi tarehe 23 Julai. Kabla ya ziara hiyo, balozi wa China nchini Rwanda Bw. Rao Hongwei aliwaambia wanahabari wa nchi hizo mbili kuwa, ziara hiyo ya rais Xi Jinping itahimiza uhusiano kati ya China na Rwanda uingie kwenye zama mpya, na kuwanufaisha watu wa nchi hizo mbili.

    More>>
    Picha

    Marais wa China na Russia wakutana Johannesburg

    Mipango wa China yazisaidia nchi za BRICS kupata maendeleo mapya

    Rais Xi ahudhuria ufunguzi wa mazungumzo ya wanasayansi

    Rais wa China awasili Afrika Kusini kwa ziara ya kiserikali

    Rais Xi Jinping wa China afanya mazungumzo na mwenzake wa Rwanda Paul Kagame

    Marais wa China na Senegal wahudhuria hafla ya kukabidhi wa uwanja wa mieleka
    More>>
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako