Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii ya Tanzania Blandina Nyoni, azungumzia Mkutano wa pili wa kimataifa wa kuutangaza utalii duniani, na uhusiano kati ya China na Tanzania kwenye mambo ya Utalii  2007/11/12
Mkutano wa Kimataifa kuhusu kuutangaza Utalii duniani ulifanyika hivi karibuni hapa Beijing, wajumbe kutoka nchi zote wanachama wa Shirika la Utalii duniani (WTO) walishiriki kwenye mkutano huo. Radio China Kimataifa ilipata fursa ya kufanya mahojiano na Katibu Mkuu wa wizara ya Utalii Tanzania Bibi Blandina Nyoni, aliyekuwepo hapa Beijing kuhudhuria mkutano huo
Matembezi kwenye mlima Taishan mwanzoni mwa majira ya mpukutiko wa majani  2007/10/29
Kati ya milima na mito mikubwa maarufu ya nchini China, ni michache tu inayoweza kuwa na hadhi ya heshima kubwa kutoka zamani za kale hadi hivi sasa. Nchini China mlima Taishan ni mahali pa kuabudu budha kwa wafalme, na ni alama ya ustaarabu na imani katika zama za kale nchini China.
Utalii kwenye ziwa zuri la Mwezi 2007/10/15
\Katika lugha ya Kimongolia, "tenggeli" maana yake ni mbingu, na "dalai" ni ziwa. Kwa hiyo ziwa la mwezi la Tenggelidalai ni "ziwa zuri lililoko karibu na bahari ya mbinguni". Kwa kuwa umbo lake ni kama mwezi unaoandama, hivyo linaitwa na wakazi wa huko kuwa ni ziwa la mwezi.
Kwenda kupumzika kwenye Shangri-la 2007/09/24
Jua la alasiri lilikuwa likiangaza kwenye njia iliyotandikwa vipande vya mawe, tulipotembea kwenye njia hiyo ya kuelekea Shangri-la tulisikia muziki huo unaojulikana kwa "Shangri-la nzuri". Kwa kufuata mahali unapotoka sauti ya muziki, tuliingia kwenye baa moja.
Matembezi kwenye mji wa Kuche, mkoani Xinjiang  2007/09/10
Wasikilizaji wapendwa, kila mkoa unaojiendesha wa Xinjiang Uigur ulioko kaskazini magharibi mwa China unapotajwa, watu hukumbuka watu wachangamfu wa makabila madogo madogo pamoja na muziki wenye umaalumu wa kikabila. Lakini leo tutawafahamisha kuhusu sehemu ya Kuche, ambayo ni mabaki ya mji maarufu wa kale mkoani humo.
Korongo wenye utosi mwekundu wa Zhalong 2007/08/27
Hifadhi ya mazingira ya maumbile ya Zhalong ni moja ya sehemu muhimu zenye ardhi oevu katika dunia yetu, hifadhi ya Zhaolong ina eneo la hekta laki 2.1. Katika hifadhi hiyo inaota mimea mingi ya aina ya matete na kuwa na samaki na kamba wengi, hivyo ni mahali pazuri sana kwa ndege kuishi.
Umaalumu wa utamaduni wa kabila la wamongolia  2007/08/14
Mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya ndani uko kwenye sehemu ya mpakani, kaskazini mwa China. Huko kuna jangwa kubwa, maziwa na mabaki mengi ya kiutamaduni. Mkoa huo wa Mongolia ya ndani una makabila 49 yakiwemo ya wamongolia, wahan, wahui na waman, kati yake kabila la wamongolia lina idadi ya watu zaidi ya milioni 4.
Umaalumu wa utamaduni wa sehemu ya msitu wa mawe nchini China 2007/07/30
Tamasha la vijinga la mila ya kabila la wa-yi nchini China, ambalo linafisiwa kuwa ni tamasha kubwa kabisa ya mashariki, ni tamasha kubwa ya kabila la wa-yi kwenye sehemu ya msitu wa mawe.
Matembezi kwenye mlima wa kibudha wa Jiuhua 2007/07/09
Mlima Jiuhua ulioko mkoani Anhui, China ni moja kati ya milima minne maarufu ya dini ya kibudha nchini China. Kuna mahekalu mengi ya dini ya kibudha kwenye mlima huo, ambao unajulikana pia kama "nchi ya kibudha ya ua la yungiyungi" kutokana na kuwa kilele cha mlima huo kinafanana na ua la yungiyungi.
Hekalu la kale la Tanzhe 2007/06/25
Hekalu la Tanzhe lililoko sehemu ya magharibi mwa Beijing lilijengwa kwenye mteremko wa mlima, ambao umezungukwa na vilele vingine 9 vikubwa. Hekalu hilo lilijengwa mwaka 307, kabla ya kujengwa mji wa Beijing.
1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11