Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
  • Maonesho ya biashara ya Guangzhou yaweka msingi wa kuhimiza bidhaa za Afrika kusafirishwa nje
  •  2007/04/20
    Maonesho ya 101 ya bidhaa zinazosafirishwa nje na zinazoagizwa kutoka nje ya China? yaani maonesho ya biashara ya Guangzhou yatafanyika kati ya tarehe 15 na 20 mwezi huu huko Guangzhou, mji ulioko kusini mwa China.
  • Mahojiano na Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake wa Tanzania
  •  2007/04/10
    Siku chache zilizopita mwenyekiti wa umoja wa wanawake wa Tanzania Bi. Anna Abdallah na ujumbe wake wa watu sita walikuwepo nchini China kwa ziara ya mafunzo, ziara iliyoanza tarehe 19 hadi tarehe 29 mwezi march. Katika ziara hiyo Bi Anna Abdalah alipata nafasi ya kuongea na Radio China Kimataifa ambapo alieleza kuhusu uhusiano uliopo kati ya wanawake wa China na Tanzania.
  • Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji la Kenya, Bw David Waweru azungumzia mwaka mmoja wa kituo cha FM cha Radio China kimataifa huko Nairobi na Uhusiano kati ya Radio China kimataifa na KBC
  •  2007/03/02
    Mkurugenzi wa shirika la utangazaji la Kenya (KBC) bwana David Waweru akielezea uhusiano wa miaka mingi kati ya shirika la utangazaji la Kenya (KBC) na Radio China Kimataifa (CRI) Bwana Waweru alisema kuwa, uhusiano uliopo ni kunufaisha pande zote mbili, kwanza katika ubadilishanaji wa teknolojia ambapo CRI imefunga mitambo ya kunasia sauti kutoka nchini China ambayo imesaidia kuboresha ubora wa matangazo ya KBC
  • Wakulima wa China waanzisha "Vijiji vya Baoding" barani Afrika
  •  2007/02/23
    Mwaka 1996 wakulima zaidi ya 80 wa kijiji cha Lujiazhuang cha mji wa Baoding, mkoani Hebei walikwenda nchini Zambia kushiriki kwenye ujenzi wa mradi wa boma la kuzuia maji kwenye mto Zambezi, ujenzi huo ulifanyika kwa miaka miwili.
  • Sudan yanufaika zaidi na ushirikiano katika sekta ya nishati kati yake na China
  •  2007/02/16
    Ushirikiano katika sekta ya nishati kati ya China na Sudan ulioanza katika miaka ya 90 ya karne iliyopita, ni sehemu moja muhimu ya ushirikiano wa kirafiki kati ya nchi hizo mbili. Wachunguzi na wachambuzi wa Sudan wameona kwa kauli moja kuwa, ushirikiano wa nishati kati ya China na Sudan umepata mafanikio, na wananchi wa Sudan ndio wananufaika zaidi kutokana na ushirikiano huo.
  • Uhimizaji wa makampuni binafsi ya China kuwekeza katika nchi ndogo na zilizo nyuma kimaendeleo za Afrika
  •  2007/02/09
     Ni rahisi zaidi kwa makampuni binafsi ya China kuwekeza vitega uchumi kwenye nchi za Afrika zisizokuwa na rasilimali nyingi na soko ndogo, kuliko makampuni makubwa na ya wastani ya kitaifa kutokana na kuwa makampuni binafsi yana utaratibu wenye unyumbufu zaidi
  • Vijana wanaojitolea wa China waenda kutoa huduma nchini Zimbabwe
  •  2007/02/02
    Tarehe 24 Januari huko Harare, mji mkuu wa Zimbabwe ilifanyika sherehe moja ya kuwalaki vijana 15 wanaojitolea kutoka China, hiki ni kikundi cha kwanza cha vijana wanaojitolea wa China waliotumwa na serikali ya China kwenda kutoa huduma nchini Zimbabwe.
  • Wachina wametoa mchango kwa bara la Afrika kuingia katika zama mpya za kujiendeleza
  •  2007/01/26
  • Utulivu na maendeleo ya Afrika yasukuma mbele ushirikiano kati ya China na Afrika
  •  2007/01/19
    Chini ya juhudi za pamoja na utoaji misaada wa jumuiya ya kimataifa, nchi za Afrika zilipata maendeleo makubwa katika sekta za siasa, uchumi na jamii. Na maendeleo ya nchi za Afrika yameleta fursa mpya kwa ushirikiano uliokuwepo kati ya China na Afrika.
  • Matibabu ya jadi ya kichina yanayopendwa na watu wa Afrika
  •  2007/01/12
    Siku moja ya mwezi Machi mwaka jana, mkuu wa chuo kikuu cha utibabu cha Tunisia aliugua huku alisikia maumivu sana, hakuweza hata kupata usingizi, alikuwa ametumia dawa nyingi za kimagharibi lakini bado hazikuweza kupunguza maumivu yake. Lakini baada ya kupata matibabu ya akyupancha ambayo ni matibabu ya jadi ya kichina, maumivu yake yalipungua haraka, na muda mfupi baadaye aliweza kwenda kazini.
    1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11