Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
  • Nchi za Afrika zinafurahia kujifunza uzoefu wa China katika ujenzi wa taifa
  •  2006/10/06
    Mwaka huu ni mwaka wa 50 tangu uhusiano wa kidiplomasia kati ya Jamhuri ya watu wa China na nchi za Afrika uanzishwe.
  • Mkutano maalum wa maofisa waandamizi wa baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika wafanyika Beijing
  •  2006/09/29
    Mkutano maalum wa maofisa waandamizi wa baraza la ushirikiano kati ya China na Afrika ulifanyika tarehe 17 na 18 Septemba hapa Beijing. Wajumbe kutoka China na nchi 48 za Afrika pamoja na mabalozi wa nchi za Afrika nchini China walihudhuria mkutano huo
  • Barabara kati ya mji wa Accra na Kumasi
  •  2006/09/22
    Barabara yenye urefu wa kilomita 250 kati ya mji wa Accra na Kumasi ni barabara kuu inayounganisha sehemu za kusini na za kaskazini nchini Ghana, na magari mengi zaidi yanapita kwenye njia hiyo.
  • China yazisaidia nchi za Afrika kwa dhati
  •  2006/09/15
    Mwaka huu ni wa maadhimisho ya miaka 50 tangu China na nchi za Afrika zianzishe uhusiano wa kibalozi. Katika nusu ya karne iliyopita, misaada iliyotolewa na China kwa nchi za Afrika imetoa mchango mkubwa katika kuhimiza maendeleo ya uchumi, kuboresha maisha ya wananchi, na kuinua kiwango cha elimu, matibabu na afya kwa nchi za Afrika.
  • Ujumbe wa ukaguzi wa shirikisho la wafanyabiashara binafsi kati ya China na Afrika watembelea nchi nne za Afrika mashariki
  •  2006/09/08
    Kuanzia tarehe 15 hadi 28 Agosti mwaka huu, mkuu wa shirikisho la wafanyabiashara binafsi kati ya China na Afrika Bwana Hu Deping aliongoza ujumbe wenye watu 28 kufanya ukaguzi wa kibiashara katika nchi nne za Afrika mashariki ambazo ni Kenya, Tanzania, Msumbiji na Madagascar
  • Kwenda Afrika kutoa Msaada
  •  2006/09/01
    Alama ya harakati ya vijana wanaojitolea nchini China ni mkono wenye umbo wa moyo. Hii inamaanisha kuwa harakati hiyo inawapa watu wanaohitaji msaada mkono wa kuwasaidia, na moyo wa kuwapenda.
  • Madaktari wa China wanaofanya kazi nchini Lesotho
  •  2006/08/25
    Lesotho ni nchi yenye vivutio vingi iliyoko kwenye uwanda wa juu kusini mwa Afrika. Katika miaka kumi iliyopita, madaktari wa China wanatoa huduma za matibabu kwa wananchi wa Lesotho wakionesha ustadi wao wa matibabu, maadili mema na moyo mkunjufu.
  • Mabango ya matangazo ya bidhaa za China yaliyowekwa barani Afrika
  •  2006/08/18
    Ingawa bidhaa zilizotengenezwa nchini China zinaonekana hapa na pale duniani, lakini kutokana na kuwa bidhaa nyingi za China zinazouzwa katika nchi na sehemu mbalimbali duniani ni bidhaa nyepesi, tena hazina chapa maarufu, hivyo ni nadra kuona mabango ya matangazo ya bidhaa zilizotengenezwa nchini China nje ya China.
  • Dawa za kutibu ugonjwa wa malaria zilizotengenezwa nchini China zafaa kwa Afrika
  •  2006/08/11
    Waziri mkuu wa China Bwana Wen Jiabao alipofanya ziara katika nchi saba za Afrika mwezi Juni mwaka huu alikwenda na zawadi iitwayo "Cotefu", ambayo ni dawa mpya ya kutibu malaria iliyotafitiwa na kutengenezwa maalum na kampuni ya dawa ya China kwa nchi za Afrika
  • China yatekeleza mpango maalum wa kugharamia mafunzo kwa wauguzi wa shahada ya pili wa nchi za Afrika
  •  2006/08/04
    Sherehe ya serikali ya China kuchangia dola za kimarekani laki tano kwa sekretarieti ya mpango wa ushirikiano mpya wa maendeleo ya Afrika NEPAD ilifanyika tarehe 26 huko Johannesburg, fedha hizo zitatumiwa katika mradi wa kutoa mafunzo kwa wauguzi na wakunga wa shahada ya pili wa nchi za Afrika.
    1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11