Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
  • Mawasiliano na ushirikiano kati ya China na Jamhuri ya Kongo yaimarika
  •  2006/07/28
    Jamhuri ya Kongo ilipata uhuru tarehe 15 mwezi Agosti mwaka 1960, tarehe 22 Februari mwaka 1964, China na Jamhuri ya Kongo zilianzisha uhusiano wa kibalozi. Jamhuri ya Kongo ni moja kati ya nchi za Afrika zilizoko kusini mwa Sahara zilizoanzisha mapema uhusiano wa kibalozi na China.
  • Ziara ya Wen Jiabao barani Afrika kuhimiza uwekezaji wa kiraia kati ya China na nchi za Afrika
  •  2006/07/14
    Mwezi Juni mwaka huu, waziri mkuu wa China Bwana Wen Jiabao alifanya ziara katika nchi saba za Afrika ambazo ni pamoja na Misri, Afrika ya kusini, Tanzania na Uganda, ziara yake imefuatiliwa sana na jumuiya za kiuchumi za kiraia na wanakampuni wa China na nchi za Afrika
  • Uhusiano wa kibalozi kati ya China na Senegal unaendelea vizuri baada ya kurejeshwa
  •  2006/07/07
    Baada ya China na Senegal kurejesha uhusiano wa kibalozi tarehe 25 Oktoba mwaka 2005, uhusiano wa kirafiki na ushirikiano kati ya nchi hizo mbili unaendelea vizuri, ambapo urafiki wa jadi kati ya watu wa nchi hizo mbili unaongezeka siku hadi siku. Ushirikiano wa kunufaishana kati ya nchi hizo mbili kwenye sekta mbalimbali una mustakabali mzuri.
  • Mawasiliano ya kiraia kati ya watu wa China na nchi za Afrika yaendelea katika hali motomoto
  •  2006/06/30
    Mwaka 2006 ni mwaka wa kuadhimisha miaka 50 tangu China na nchi za Afrika zianzishe uhusiano wa kibalozi. Katibu mkuu wa shirikisho la urafiki kati ya watu wa China na nchi za Afrika Bi. Lin Yi alipohojiwa na mwandishi wetu wa habari
  • Kansela wa China nchini Afrika ya kusini azungumzia ushirikiano wa nishati kati ya China na Afrika
  •  2006/06/09
    Tarehe 3 mwezi Juni mwaka huu, kansela wa ubalozi wa China aliyeko nchini Afrika ya kusini Bwana Zhou Yuxiao alihojiwa na mwandishi wa habari wa shirika la utangazaji la Uingereza BBC kuhusu uwekezaji kwenye sekta za uchumi na biashara na ushirikiano wa nishati kati ya China na nchi za Afrika, pamoja na uhusiano kati ya China na Sudan.
  • Bara la Afrika litavutia uwekezaji mwingi kutoka China
  •  2006/06/02
    Kutokana na nchi za Afrika kufungua mlango zaidi siku hadi siku kwa nchi za nje, na kuongezeka kwa mawasiliano ya kiuchumi na kibiashara kati ya China na nchi za Afrika, makampuni mengi zaidi ya China yatawekeza vitega uchumi barani Afrika.
  • Shirikisho la wachina waishio nchini Kenya laadhimisha mwaka mmoja tangu lianzishwe
  •  2006/05/26
    Maadhimisho ya mwaka mmoja tangu kuanzishwa kwa shirikisho la wachina waishio nchini Kenya, na shirikisho la kuhimiza muungano wa amani wa China nchini Kenya tarehe 12 mwezi Mei yalifanyika huko Nairobi nchini Kenya. Balozi wa China nchini Kenya Bwana Guo Chongli, naibu mkurugenzi wa ofisi inayoshughulikia wachina waishio nchi za nje ya baraza la serikali la China Bwana Liu Zepeng na wajumbe wa wachina wa makampuni ya China nchini Kenya wapatao zaidi ya 100 walihudhuria maadhimisho hayo.
  • Bw. Xu Hui azungumza uzoefu wa kufanya biashara katika nchi za Afrika
  •  2006/05/19
    Kutokana na maendeleo ya uhusiano wa kiuchumi kati ya China na nchi za Afrika, wachina wengi zaidi wanazingatia kwenda katika nchi za Afrika kufanya biashara na kuwekeza vitega uchumi. Bwana Xu Hui ambaye ni meneja mkuu wa kampuni ya elektroniki ya Changhong ya Afrika Mashariki alipohojiwa na mwandishi wetu wa habari muda si mrefu uliopita alizungumza uzoefu wake kuhusu jinsi ya kutafuta fursa za uwekezaji katika nchi za Afrika
  • Ushirikiano wa kiuchumi kati ya China na Afrika waleta faida kwa pande zote
  •  2006/05/12
    Mwishoni mwa mwaka jana, boma la kuzuia maji la Mailowi lililojengwa na kampuni ya China kwenye mto Nile lilizuia maji kwa mafanikio. Ukiwa mradi mkubwa wa matumizi ya maji, boma la Mailowi bila hakika litawanufaisha wakazi wa huko
  • Shirikisho la wafanyabiashara wa China na Afrika
  •  2006/04/07
    China ni nchi kubwa kabisa inayoendelea duniani, Afrika ni bara lenye nchi nyingi zaidi zinazoendelea duniani, China na nchi za Afrika zote zinakabiliwa na majukumu ya kuendeleza uchumi, na kuboresha maisha ya watu wao.
    1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11