Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
  • Bw. Su Huajie "balozi wa kiraia" kati ya China na Afrika ya kusini
  •  2006/03/24
    Bwana Su Huajie alizaliwa nchini China, aliwahi kujiendeleza nchini Thailand, na mwaka 1975 alikwenda Afrika ya Kusini akaanzisha kampuni ya kimataifa ya Xiangfa ya Afrika ya kusini.
  • Kampuni ya China kujenga barabara nchini Tanzania
  •  2006/03/17
    Wakala wa Barabara Nchini (TANROADS) na kampuni ya ujenzi wa barabara na madaraja ya China , wametia saini makubaliano ya ujenzi wa barabara kutoka Kagoma kwenda Lusahanga mkoani Kagera,Tanzania. Ujenzi wa barabara hiyo yenye urefu wa kilomita 154 utagharimu Sh . bilioni 48.9.
  • Ushirikiano katika rasilmali kati ya China na Afrika wahimiza maendeleo endelevu ya nchi za Afrika
  •  2006/03/03
    Wataalamu wa China wanasema, China inapofanya ushirikiano kati yake na nchi za Afrika katika uendelezaji wa rasilmali, inatilia maanani kuzisaidia nchi za Afrika kugeuza sifa ya kuwepo kwa rasilmali nyingi kuwa sifa ya ushindani duniani, ili kuhimiza maendeleo endelevu ya nchi za Afrika. 
  • Nchi za Afrika zazikaribisha kampuni za China kushiriki katika uchimbaji wa madini
  •  2006/02/24
    Tarehe 7 hadi 10 Februari mwaka huu, mkutano wa Afrika kuhusu uwekezaji wa uchimbaji madini ulifanyika huko Cape Town, Afrika ya kusini. Kwenye mkutano huo, viongozi kutoka nchi 30 za Afrika wanaoshughulikia uchimbaji madini na wahusika kutoka kampuni kubwa za uchimbaji madini duniani ,walikuwa wanajadiliana kuhusu uwekezaji, biashara na uvumbuzi wa teknolojia katika sekta ya uchimbaji madini
  • China yafanya semina ya pili ya nchi za Afrika kuhusu uchafuzi wa maji na usimamizi wa raslimali ya maji
  •  2006/02/17
    Semina ya pili ya maofisa wa nchi za Afrika wanaodhibiti uchafuzi wa maji na usimamizi wa maliasili ya maji iliyoandaliwa na wizara ya biashara ya China na idara kuu ya hifadhi ya mazingira ya China ilifanyika hapa Beijing kuanzia tarehe 5 hadi 24 mwezi Januari, maofisa 24 kutoka nchi 14 za Afrika ambazo ni pamoja na Botswana, Burundi, Zanzibar, Ethiopia, Misri, Ghana na Zimbabwe walishiriki kwenye semina hiyo.
  • Ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara wenye lengo la kunufaishana na kupata maendeleo ya pamoja kati ya China na Afrika
  •  2006/01/20
    Ofisa wa Wizara ya Biashara ya China tarehe 10 alisema, ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara kati ya China na Afrika siku zote unafanyika kwa msingi wa kunufaishana na kupata maendeleo ya pamoja.
  • Thamani ya biashara kati ya China na Afrika kuzidi dola za kimarekani bilioni 30
  •  2006/01/13
    Takwimu kutoka forodha ya China zinaonesha kuwa, katika miezi 10 ya mwanzo mwaka 2005, thamani ya biashara kati ya China na Afrika imefikia dola za kimarekani bilioni 32.17, kiasi ambacho kimezidi thamani ya jumla ya mwaka 2004.
  • Mikahawa ya kichina nchini Kenya
  •  2005/12/23
    Hadi kufikia sasa, hakuna mtu anayejua idadi halisi ya mikahawa iliyoko nchini Kenya. Mwenyeji mmoja wa huko alieleza kuwa, kuna mikahawa karibu 40 ya kichina mjini Nairobi.
  • Ushirkiano kati ya China na Afrika una mustakbali mzuri
  •  2005/11/25
    Kuanzia tarehe 12 hadi 24, mwezi Novemba mwaka huu, mjumbe wa kudumu wa ofisi ya siasa ya kamati kuu ya chama cha kikomunisti cha China Bw. Li Changchun alifanya ziara za kirafiki katika nchi nne barani Afrika, nchi hizo ni Sudan, Namibia, Afrika ya Kusini na Tanzania.
  • China kutoa mfano mzuri kwa nchi za Afrika katika kuondoa umaskini
  •  2005/10/14
    Katika miaka ya hivi karibuni, uhusiano wa kiuchumi na kibiashara kati ya China na Zimbabwe umekuwa ukiimarishwa siku hadi siku, na Zimbabwe imekuwa ikiagiza bidhaa nyingi kutoka China.
    1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11