Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
  • Mchina anayependa kujishughulisha na mawasiliano ya utamaduni kati ya China na Afrika
  •  2008/02/10
    Kutokana na kuimarika kwa uhusiano kati ya China na Kenya, katika miaka ya hivi karibuni wachina wengi wamekuwa wakienda nchini Kenya kutalii, wengi wao wametimiza matumaini ya kutembelea mbuga za wanyama barani Afrika kwa kupitia shirika la utalii wa Kenya la China.
  • Kampuni za China zajenga njia kuu yenye mwendo kasi ya upashanaji habari kwa waafrika
  •  2008/01/23
    Kwenye makao makuu ya kampuni ya mawasiliano ya habari ya Zhongxing mjini Shenzhen, maofisa kadhaa waandamizi wa kampuni hiyo walimwonesha mwaandishi wetu wa habari kadi moja ya simu za mkononi mwandishi wa habari wetu, kadi hiyo ilinunuliwa mwishoni mwa karne iliyopita wakati kampuni ya Zhongxing ilipoanza shughuli zake barani Afrika
  • Bidhaa za China zinakaribishwa nchini Kenya
  •  2008/01/18
    Katika miaka ya hivi karibuni, biashara kati ya China na Kenya iliendelezwa kwa kasi. Takwimu zilizotolewa na idara ya forodha ya China zinaonesha kuwa, mwaka 2006 thamani ya jumla ya biashara kati ya China na Kenya ilifikia dola za kimarekani milioni 646, na kuongezeka kwa asilimia 36.1 kuliko mwaka 2005
  • Wafanyakazi wa Afrika waonesha umuhimu mkubwa katika kampuni za China barani Afrika
  •  2008/01/04
    Katika miaka ya karibuni iliyopita, kutokana na upanuaji wa mawasiliano ya kiuchumi na kibiashara kati ya China na nchi za Afrika, kampuni nyingi zaidi na zaidi zimekwenda Afrika kufanya biashara. Kampuni za China zinaajiri wafanyakazi wengi wa huko barani Afrika, ili waweze kuonesha umuhimu wao.
  • Kampuni za China barani Afrika zimekuwa ni daraja la kuongeza maelewano kati ya China na Afrika
  •  2007/12/28
    Kutokana na maendeleo ya kasi ya uhusiano wa kiuchumi na kibiashara kati ya China na Afrika, kampuni nyingi zaidi na zaidi za China zimeanzisha shughuli zao barani Afrika kwenye fursa na changamoto. Wakati zinapojiendeleza na kuleta manufaa kwa sehemu za huko, kampuni hizo za China zimekuwa daraja la kuhimiza maelewano kati ya China na Afrika.
  • Juhudi za Kampuni ya Touch Africa katika kuutangaza utamaduni na  utalii wa Afrika kwa wachina
  •  2007/12/14
    Ni mwaka mmoja sasa umepita tangu mkutano wa baraza la ushirikiano kati ya China na Afrika ufanyike hapa Beijing. Kwenye mkutano huo uliofanyika mwezi Novemba mwaka jana, serikali ya China ilitangaza hatua nane za kuimarisha ushirikiano kati ya China na nchi za Afrika na kuzisaidia nchi za Afrika kujiletea maendeleo, ambazo utekelezaji wake unaendelea vizuri katika nchi mbalimbali za Afrika
  • Baraza la ushirikiano kati ya China na Afrika ni mfano wa ushirikiano kati ya kusini na kusini
  •  2007/11/16
    Wakati wa kuadhimisha mwaka mmoja tangu mkutano wa wakuu wa Baraza la ushirikiano kati ya China na Afrika ufanyike mwaka jana hapa Beijing, balozi wa Cameroon nchini China ambaye pia ni kiongozi wa kundi la mabalozi wa nchi za Afrika nchini China, Bw. Etien alizipongeza China na Afrika, akisema Baraza la ushirikiano kati ya China na Afrika ni mfano wa kuigwa wa ushirikiano kati ya kusini na kusini duniani.
  • Ushirikiano kati ya China na Afrika wafikia kiwango kipya cha juu
  •  2007/10/26
    Watu wenye umri wa miaka zaidi ya 40 nchini China wanapozungumia miradi ya ushirikiano kati ya China na Afrika, wengi wao hutaja reli ya TAZARA na madaktari wa China kwenye sehemu mbalimbali barani Afrika. Katika muda mrefu uliopita, Bw. Zhou Zhicheng mwenye umri wa miaka 44 alikuwa anaona Afrika ni bara lenye ukame na matatizo ya kiuchumi tu. Lakini maoni yake yalibadilika baada ya kushiriki kwenye mradi mmoja wa ushirikiano kati ya China na Afrika.
  • Ziara yangu nchini China
  •  2007/10/19
    Wiki chache zilizopita wafanyakazi wa vyombo vya habari kutoka nchi mbali mbali za Afrika,walikuja hapa Beijing, kwenye mafunzo ya muda mfupi.
  • "Balozi" anayehimiza mawasiliano kati ya wafanyabiashara wa China na Rwanda
  •  2007/10/05
     Wachina wengi nchini Rwanda wanamfahamu Bw. Pierre, ambaye aliwahi kupewa udhamini wa kuja kusoma nchini China. Hivi sasa Bw. Pierre ni daktari wa hospitali iliyoko Kigali, mji mkuu wa Rwanda. Bw. Pierri mwenye umri wa miaka 40 alikuja nchini China mwaka 1992, kuanzia mwaka 1993 hadi mwaka 1999 alikuwa anasoma kwenye chuo kikuu cha pili cha matibabu cha Shanghai.
    1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11