Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
  • Msichana mmarekani anayeishi kwa furaha mjini Baotou nchini China
  •  2008/01/09
    Katika shule ya kwanza ya sekondari ya kampuni ya utengenezaji wa mashine ya mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya ndani, kuna mwalimu mmoja msichana kutoka Marekani, jina lake la Kichina ni Chen Yusi, alikuja China kujitolea kufanya kazi ya kufundisha kiingereza miaka mitatu iliyopita.
  • Satellite ya ChangE ya kuchunguza sayari ya Mwezi yaongoza maendeleo ya sayansi na teknolojia nchini China
  •  2008/01/02
    Mwaka 2007 maendeleo ya sayansi na teknolojia nchini China yalikuwa yanang'ara duniani. Mafanikio ya satellite ya Chang E ambayo ni satellite ya kwanza ya kuchunguza sayari ya Mwezi ya China yamekuwa tukio muhimu kabisa katika mwaka 2007, na mafanikio hayo yameongoza maendeleo ya sayansi na teknolojia kupiga hatua kubwa.
  • Chuo cha Confucius chawaletea wageni urahisi wa kujifunza lugha ya kichina
  •  2007/12/19
    Hivi karibuni, chuo cha Confucius ambacho ni cha kwanza cha kutoa mafunzo ya lugha ya Kichina kwa njia ya radio kilianzishwa rasmi katika Radio China Kimataifa, jambo hilo ni habari nzuri kwa marafiki wa nchi za nje wanaopenda utamaduni wa China na wanaotaka kujifunza lugha ya Kichina.
  • Teknolojia ya Digital Family yaongoza njia ya maisha ya wachina katika siku za baadaye
  •  2007/12/05
    Kama tunaweza kutumia zana moja kudhibiti kutoka mbali vyombo mbalimbali vya umme nyumbani kama kompyuta na televisheni, maisha kama hayo si ni rahisi sana? Leo utawaelezeni kuhusu teknolojia ya Digital family inayojitahidi kutimiza lengo hilo.
  • Mradi wa kuziunganisha China na Marekani kwa kebo ya kupeleka habari chini ya bahari waanza kujengwa
  •  2007/11/21
    Tetemeko kubwa la ardhi lililotokea mwishoni mwa mwaka 2006 kwenye bahari iliyo kusini ya Taiwan, China lilisababisha kebo 14 za kupeleka habari kukatika, tukio hilo lilikata njia nyingi za upashanaji habari kati ya China na nchi za Marekani, Ulaya na Asia ya kusini mashariki, hata huduma za mtandao wa Internet ziliathiriwa vibaya.
  • Rekodi ya dunia ya kampuni ya Viwanda vizito ya Sany
  •  2007/11/14
    Kama tunavyojua, gari lenye mashine ya kusukuma zege ni kifaa cha kisasa cha kinachotumika katika ujenzi ambacho kinaweza kupeleka zege kila mahali kwenye sehemu ya ujenzi kwa kutumia mkono wake. Mkono huo ukikuwa mrefu zaidi, eneo linaloweza kufikika litakuwa kubwa zaidi.
  • Michezo ya Olimpiki ya Beijing itaungwa mkono zaidi kwa teknolojia za mtandao wa internet
  •  2007/11/07
    Katika mkutano wa mtandao wa Internet wa China kwa mwaka 2007 uliofanyika hivi karibuni, mada moja muhimu ya mkutano huo ilikuwa ni namna ya kutumia teknolojia za mtandao wa internet zinazoendelea siku hadi siku, ili kuunga mkono michezo ya Olimpiki itakayofanyika mwaka 2008 hapa Beijing.
  • Elimu ya ufundi wa kazi ya mkoani Xinjiang inavyosaidia wanafunzi kupata ajira bila matatizo
  •  2007/10/31
    Mwaka 2007 wanafunzi wapatao milioni 5 wamehitimu kutoka vyuo vikuu nchini China. Wakati wengi wao bado wakihangaika kupata ajira, wanafunzi wengi wa vyuo vya ufundi vya mkoa unaojiendesha kabila la wauyghur wa Xinjiang wamepata ajira bila matatizo. Takwimu zimeonesha kuwa, mwaka huu asilimia 90 ya wanafunzi waliohitimu kutoka vyuo hivyo wamepata ajira.
  • Mkoa wa Jilin waandaa wataalamu kwa ajili ya kuendeleza sehemu za vijijini
  •  2007/10/24
    Mkoa wa Jilin ulioko kaskazini mashariki mwa China ni mkoa wenye wakulima wengi, lakini mkoa huo unakabiliana na upungufu wa wataalamu wa kilimo. Ili kutatua tatizo hilo, mwaka 2005 mkoa huo ulianzisha mradi wa "kila kijiji kuwa na mwanafunzi mmoja wa chuo kikuu" na kuandaa wakulima wapya wenye ujuzi wa teknolojia na biashara.
  • Chuo kikuu cha Xinjiang
  •  2007/10/17
    China ni nchi yenye makabila mengi, mbali na kabila la Wahan, kuna makabila mengine 55 madogomadogo. Shughuli za elimu kwenye sehemu za makabila madogomadogo siku zote zinatiliwa maanani na serikali ya China. Leo tunawatembeza kwenye chuo kikuu cha mkoa unaojiendesha wa Wauyghur wa Xinjiang.
    1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16