China yahifadhi sanamu za askari na farasi wa enzi ya Qin kwa teknolojia za kisasa 2006/10/04 Sanamu za askari na farasi wa enzi ya Qin ambazo ni vitu vilivyozikwa pamoja na mfalme wa enzi ya Qin zinajulikana duniani na kusifiwa kuwa ni "ajabu la nane duniani".
|
Kujumuisha mazoezi ya kazi na masomo umekuwa utaratibu mpya wa mafunzo ya ufundi wa kazi nchini China 2006/09/27 Utaratibu mpya wa mafunzo ya ufundi wa kazi unaenezwa kote nchini China, utaratibu huo unaojumuisha mazoezi ya kazi na masomo unaweza kuwapa wanafunzi fursa za kufanya mazoezi ya kazi viwandani wakati wanapojifunza ufundi wa kazi shuleni.
|
Wanasayansi waliopewa tuzo ya Nobel na wanasayansi wa China wazungumzia sayansi ya uhai 2006/09/20 Katika siku kadhaa zilizopita, wanasayansi watano waliopewa tuzo ya Nobel ya sayansi ya uhai yaani Bw. Louis J. Ignarro na Bw. Ferid Murad kutoka Marekani, Bw. Robert Huber na Bw. Hartmut Michel kutoka Ujerumani na Bw. Aaron kutoka Israel walitembelea China.
|
Teknolojia mpya zafuatiliwa katika shughuli za uchapishaji za China na nchi za nje 2006/09/13 Maonesho ya vitabu ya kimataifa yalifanyika hivi karibuni hapa Beijing, na baraza la uchapishaji la kimataifa la Beijing lilifanyika tarehe 28, Agosti, na teknolojia mpya imekuwa suala muhimu lililofuatiliwa na wafanyabiashara wa uchapishaji wa nchini na wa kutoka nchi za nje.
|
Maelezo kuhusu uvumbuzi wa kisayansi uliofanyika kwenye eneo la ustawishaji wa sayansi na teknolojia la Zhongguancun 2006/09/06 Eneo la ustawishaji wa sayansi na teknolojia la Zhongguancun lililoko kaskazini magharibi mwa Beijing linasifiwa kuwa ni "Silicon Valley" ya China.
|
Shughuli za mafunzo ya ufundi wa kazi zaendelea kwa kasi nchini China 2006/08/30 Shughuli za mafunzo ya ufundi wa kazi mbalimbali za China zimepata maendeleo makubwa katika miaka ya hivi karibuni, kutokana na kuongezeka kwa idadi ya wanafunzi wanaoandikishwa katika vyuo vikuu, wachina wengi zaidi wamepata fursa ya kujiendeleza na kupata elimu ya juu.
|
Msomi wa Kenya azungumza utungaji wa ushairi 2006/08/23 Mwandishi wetu wa habari aliyeko huko Kenya Bwana Ali Hassan hivi karibuni alifanya mahojiano na mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Kenyatta Bw. Hamisi Babusa
|
Kutoa mafunzo na kufuatilia wanawake ni kazi muhimu katika kupambana na ugonjwa wa Ukimwi 2006/08/16 Katika dunia nzima, miongoni mwa watu milioni 40 walioambukizwa virusi vya Ukimwi, nusu ni wanawake. Hali ya urahisi ya kuambukizwa virusi vya Ukimwi kwa wanawake inatokana na sababu mbalimbali, na sababu kuu ni wanawake wanakosa vitendo vya kujilinda.
|
Sehemu ya Asia na bahari ya Pasifiki kuimarisha ushirikiano wa utoaji misaada baada ya tetemeko la ardhi 2006/08/09 Katika siku 3 zilizopita, vikundi 17 kutoka sehemu ya Asia na bahari ya Pasifiki vilifanya mazoezi ya utoaji misaada baada ya kutokea kwa tetemeko la ardhi kwenye mji wa Shijiazhuang, kaskazini mwa China ili kuimarisha uwezo wa ushirikiano kati ya vikundi vya utoaji misaada vya kimataifa.
|
Matangazo ya kitarakimu ya televisheni yawaburudisha watazamaji 2006/08/02 Nchi 101 za Ulaya, Afrika na Mashariki ya Kati zimepanga kusimamisha matangazo ya analog ya televisheni kabla ya mwaka 2015, na kuanza kutumia matangazo ya kitarakimu kikamilifu. China pia ina mpango unaofanana wa kueneza matangazo ya kitarakimu ya televisheni.
|