Elimu kuhusu kuanzisha shughuli katika chuo kikuu cha viwanda cha Tianjin 2006/12/20 Katika miaka ya hivi karibuni, idadi ya wanafunzi wa vyuo vikuu wa China imeendelea kuongezeka, na baadhi ya wanafunzi hao wanachagua kuanzisha shughuli zao wenyewe baada ya kuhitimu masomo ya vyuo vikuu. Lakini kutokana na kutokuwa na uzoefu na uwezo wa kutosha, baadhi yao walikumbwa na matatizo mbalimbali wakati wakijaribu kuanzisha shughuli zao .
|
China yarusha satellite mpya ya hali ya hewa ili kuinua uwezo wake wa kutoa tahadhari dhidi ya maafa 2006/12/20 Tarehe 8 Desemba, China ilirusha kwa mafanikio satellite ya utafiti wa hali ya hewa ya "Fengyun No.2 D", na kuituliza kwenye mstari wake iliyopangwa kwenye anga ya tropiki. Baada ya siku kadhaa itaanza kufanya kazi na kutuma picha za mawingu. Imefahamika kuwa satellite hiyo mpya ya hali ya hewa itaimarisha uwezo wa China wa kusimamia na kutoa tahadhari kuhusu hali ya hewa inayoweza kusababisha maafa ya kimaumbile.
|
China yajitahidi kuanzisha ushirikiano wa kimataifa kuhusu matibabu ya jadi 2006/12/13 Nchi nyingi duniani zina matibabu yake ya jadi, kwa mfano matibabu ya mitishamba ya kichina, Yoga ya India na matibabu ya homeopathy ya Ulaya.
|
China yaweka mkazo katika kuboresha mazingira ya watoto wa wakulima wanaofanya kazi mijini kupata elimu 2006/12/06 Uchumi wa China umedumisha ongezeko la kasi katika miaka 20 iliyopita, na kutokana na utandawazi wa miji na viwanda, watu wengi vijijini wanatafuta ajira katika miji mikubwa, lakini wanakabiliwa na matatizo mbalimbali: Je watoto wa watu hao watapata elimu kwa njia gani? Na ni vipi wanaweza kuishi katika mazingira mazuri?
|
Wachina wengi wapata ajira katika sekta ya biashara ya kitarakimu 2006/11/29 Kutokana na kuinuka kwa kiwango cha teknolojia ya mtandao wa internet na kuenezwa kwa matumizi ya mtandao wa internet, hivi sasa nchini China biashara ya kitarakimu imekuwa njia kuu ya biashara, na wafanyabiashara wenye busara wamepata ajira kwa kutumia teknolojia hiyo
|
Bw. Li Yuanchang anayependa kazi ya kufundisha vijijini 2006/11/22 Katika muda mrefu uliopita, shule za vijijini kwenye sehemu zilizo nyuma kiuchumi zimekuwa zinakabiliwa na matatizo ya upungufu wa walimu wenye uwezo mkubwa wa kufundisha na kukosa fedha za kuendesha shule, hivyo wanafunzi wanaoishi huko hawawezi kupata elimu nzuri kama wanafunzi wa mijini.
|
Wanafunzi wa Afrika wanaopenda China 2006/11/15 Katika karne mpya, kutokana na kuanzishwa kwa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika, ushirikiano wa sekta za utamaduni na elimu unaendelea kupanuliwa, hivi sasa makubaliano ya mawasiliano na ushirikiano wa elimu yaliyosainiwa kati ya China na Afrika yanatekelezwa
|
Familia ya wakerkezi inayozingatia elimu 2006/11/08 Kabila la wakerkezi ni moja kati ya makabila 55 madogomadogo nchini China, ambao wengi wao wanaishi katika mkoa unaojiendesha wa Xinjiang Uygur, kaskazini-magharibi mwa China.
|
Chuo cha kwanza cha Confucius chaanzishwa nchini Italia 2006/10/25 China na Italia ni nchi zenye historia ndefu na utamaduni wa kale, na maingiliano ya utamaduni kati yao yamekuwa yakidumishwa katika muda mrefu uliopita. Katika miaka 200 iliyopita, mmisionari wa Italia Michele Ruggleri aliitambulisha kwa mara ya kwanza nadharia ya Confucius kwa nchi za magharibi.
|
Chuo cha Confucius cha Seoul kitaingia katika kipindi kizuri katika ufundishaji wa lugha ya kichina 2006/10/18 Mkuu wa Chuo cha Confucius cha Seoul cha Korea ya Kusini Bw. Lee Jongyong alipoeleza hali ya ufundishaji wa lugha ya kichina nchini Korea ya Kusini alisema, "Walimu wanaona ni vigumu zaidi katika kufundisha kichina siku hadi siku nchini Korea ya Kusini."
|