Chuo kikuu cha Nankai chaanzisha mfumo wa pande zote wa kuwasaidia wanafunzi wenye matatizo ya kiuchumi 2005/09/07 Tarehe 3 mwezi Septemba ilikuwa siku ya kwanza ya kuandikisha wanafunzi wapya katika chuo kikuu cha Nankai cha Tianjing, China. Siku hiyo, mwanafunzi mmoja na wazazi wake kutoka mkoa wa Gansu walipokea msaada wa kiuchumi
|
Elimu ya lugha mbili za Kitibet na Kichina mkoani Tibet 2005/08/31 Wasikilizaji, mnasikiliza wanafunzi wa shule ya msingi ya wilaya ya Zedang kwenye sehemu ya Shannan mkoani Tibet wakiimba wimbo mmoja wa kitibet.
|
Wanafunzi wa vyuo vikuu vya Hong Kong wanaojitolea kutoa mafunzo kwa wanafunzi wa China bara 2005/08/26 Kikundi cha kwanza cha wanafunzi 10 wa vyuo vikuu wa Hong Kong wanaotekeleza "mpango wa wanafunzi wa vyuo vikuu wa Hong Kong wanaojitolea kutoa mafunzo katika China bara" wataishi maisha yenye taabu kwenye sehemu maskini ya China bara
|
Kumbukumbu muhimu ya mafundisho ya lugha ya Kichina kwa nje 2005/08/04 Mwezi Julai mwaka 1950, Chuo Kikuu cha Qinghua kiliandaa darasa la mafundisho ya lugha ya Kichina kwa wanafunzi kutoka nchi za Ulaya Mashariki. Kilikuwa chombo cha kwanza nchini China kilichoshughulikia mafundisho ya lugha ya Kichina kwa nje.
|
China yawasaidia wanafunzi watakaohitimu kutoka kwenye vyuo vikuu kupata ajira 2005/07/13 Katika miaka ya karibuni, kadiri vyuo vikuu nchini China vinavyowaandikisha wanafunzi wengi zaidi mwaka hadi mwaka, ndivyo idadi ya wanafunzi wanaohitimu inavyoongezeka mwaka. Katika majira ya joto ya mwaka huu wanafunzi zaidi ya milioni 3.3 watahitimu kutoka kwenye vyuo vikuu mbalimbali nchini China, idadi ambayo imeongezeka kwa wanafunzi laki 6.
|
Wizara ya Usalama wa Umma ya China yachukua hatua kuhakikisha usalama wa walimu na wanafunzi 2005/06/17 Ili kuhakikisha usalama wa walimu na wanafunzi, tarehe `6 Wizara ya Usalama wa Umma ya China imechukua hatua nane ikiwa ni pamoja na kupeleka walinzi kwenye shule za msingi na za sekondari na shule za chekechea.
|
Mazingira ya masomo yanayoboreka siku hadi siku yawavuta wanafunzi wengi wa nchi za nje wasome nchini China 2005/06/07 Wizara ya elimu ya China hivi karibuni imetangaza kuwa, mwaka jana wanafunzi kutoka nchi za nje wapatao zaidi ya laki 1.1 walikuja China kwa masomo, na idadi ya wanafunzi hao imeongezeka kwa 42 % kuliko mwaka 2003.
|
China yazingatia zaidi mahitaji ya watu katika usimamizi wa vyuo vikuu 2005/06/01 Hivi sasa, China ina vyuo vikuu karibu 2000, na idadi ya wanafunzi wa vyuo vikuu imezidi laki 1.3. Ili kuhakikisha wanafunzi hao wanakua kwa afya, hivi karibuni, wizara ya elimu ya China ilitoa kanuni mpya za usimamizi wa wanafunzi wa vyuo vikuu na kuamua zianze kutekelezwa kuanzia muhula mpya utakaoanza tarehe 1 mwezi Septemba mwaka huu.
|
China yachukua hatua nne kusukuma elimu ya lazima 2005/05/31 Ili kuendeleza elimu ya lazima kwa uwiano nchini China Wizara ya Elimu ya China hivi karibuni imetoa waraka wa "Maoni kuhusu Kusukuma Elimu ya Lazima kwa Uwiano".
|
China na Tanzania zaimarisha ushirikiano katika sekta za elimu na utamaduni 2005/04/20 Hivi karibuni waziri wa elimu na utamaduni wa Tanzania Bwana Joseph Mungai amefanya ziara nchini China, yafuatayo ni mahojiano kati ya mwandishi wetu wa habari na Bwana Mungai.
|