Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
  • Maonesho ya ndege ya Zhuhai yaonesha kiwango cha maendeleo ya teknolojia ya anga ya juu nchini China
  •  2008/11/19
    Maonesho ya ndege na teknolojia za anga ya juu ya kimataifa ya China yakiwa ni moja ya maonesho matano makubwa ya ndege duniani, hivi karibuni yalifungwa huko Zhuhai, mji ulioko kusini mwa China. kwenye maonesho hayo teknolojia nyingi mpya za ndege na za safari za anga ya juu za China zimeoneshwa, ikiwemo ndege mpya ya kivita ya China J-10.
  • Maendeleo ya kasi ya sayansi na teknolojia yabadilisha maisha ya watu wa China
  •  2008/11/12
    Katika muda wa miaka 30 iliyopita tangu China ianze kutekeleza sera za mageuzi na kufungua mlango kwa nje. Kiwango cha sayansi na teknolojia kimeinuka kwa kasi, na kimeathiri kila upande wa maisha ya watu.
  • China yaanza kujenga kituo cha tatu cha utafiti kwenye ncha ya kusini ya dunia ya dunia
  •  2008/10/29
    Kikundi cha 25 cha kufanya utafiti kwenye ncha ya kusini ya dunia cha China hivi sasa kimefunga safari. Watafiti wa kikundi hicho watakamilisha ujenzi wa kituo cha tatu cha utafiti wa kisayansi Kunlun kwenye ncha ya kusini ya dunia ndani ya muda wa nusu mwaka.
  • Utafiti kuhusu chombo cha kuchunguza sayari ya mwezi wapamba moto nchini China
  •  2008/10/22
    Chombo cha kuchunguza sayari ya mwezi ni chombo maalum kinachoweza kusafiri kwenye sayari ya mwezi, kukusanya sampuli na kufanya uchunguzi kuhusu sayari hiyo. Kutokana na uwezo wa China wa kuchunguza anga ya juu kuendelea kuinuka, idara nyingi za utafiti wa sayansi nchini China zimeanzisha utafiti kuhusu teknolojia za eneo hilo.
  • Watoto wa kike wa kabila la wahui mkoani Ningxia wapata fursa ya kusoma shuleni
  •  2008/10/08
    Hivi karibuni mwandishi wetu wa habari alipotembelea katika shule za sekondari za mkoa unaojiendesha wa kabila la wahui wa Ningxia, wanafunzi wa kike hasa wale wanaovaa nguo za kabila la wahui walivutia sana. Imefahamika kuwa, pamoja na utekelezaji wa sera ya kufuta ada za shule za elimu ya lazima ya miaka 9, mkoa wa Ningxia pia umeendelea kutenga fedha zaidi kwa pande mbalimbali za shughuli za elimu vijijini...
  • Wanasayansi wanawake wa China watarajia kutoa michango mikubwa zaidi
  •  2008/10/05
    Kutokana na maendeleo ya jamii, wanawake wengi zaidi wanafanya kazi za utafiti wa sayansi na teknolojia duniani. Nchini China theluthi moja ya watafiti wa sayansi na teknolojia ni wanawake, hata mkutano wa mwaka wa shirikisho la sayansi na teknolojia la China uliofanyika hivi karibuni ulianzisha baraza la ngazi ya juu la wanasayansi wanawake kujadili kuhusu masuala ya maendeleo ya wanawake na utafiti wa sayansi na teknolojia.
  • Mafundi wanaotoa uhakikisho wa upashanaji habari kwa ajili ya michezo ya Olimpiki
  •  2008/09/17
    Michezo ya Olimpiki ya kusisimua imemalizika, mashindano ya siku 16 ya michezo hiyo imewapa watu kumbukumbu nyingi, lakini kwa baadhi ya watu, kumbukumbu kuhusu michezo ya Olimpiki si mashindano, bali ni vifaa na waya mbalimbali zilizoko kwenye majumba ya michezo. Katika kipindi hiki, tatawaelezeni kuhusu wafanyakazi wanaotoa uhakikisho wa upashanaji habari kwa ajili ya michezo ya Olimpiki.
  • China yatimiza wazo la "Kuandaa Michezo ya Olimpiki ya kuonesha mafanikio mapya ya kisayansi na kiteknolojia"
  •  2008/09/10
    Miaka 7 iliyopita, Beijing ilikubaliwa kuwa mwenyeji wa michezo ya 29 ya Olimpiki, na tokea wakati huo "kuandaa Michezo ya Olimpiki ya kuonesha mafanikio mapya ya kisayansi na kiteknolojia" ilikuwa ahadi ya makini ya China.
  • Mtaalamu kutoka Uholanzi anayefanya kazi katika taasisi ya uhandisi wa magari ya China Bw. J. Post
  •  2008/07/02
    Katika miaka ya hivi karibuni, hewa chafu zinazotolewa na magari yanayoongezeka siku hadi siku zimekuwa tishio kubwa kwa mazingira, utafiti kuhusu magari yanayotumia gesi ambayo hayatoi uchafuzi na yanayobana matumizi ya nishati umekuwa eneo la sayansi na tekonolojia linalofuatiliwa kote duniani.
  • Wanafunzi wanaotoka nje wa shule ya msingi ya Zhongying ya mji wa Shenzhen waishi kwa furaha kwenye mbuga
  •  2008/06/25
    Tukizungumzia mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya ndani ulioko kaskazini mwa China, watu hukumbuka mbuga kubwa ya majani, chai ya maziwa na wafugaji wakarimu wa kabila ya wamongolia, pamoja na mila na desturi za kimongolia zenye historia ya miaka elfu moja.
    1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16