Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
  • China yavumbua simu ya mkononi inayotumia maandishi ya lugha za makabila madogo
  •  2007/03/07
    China ina idadi ya watu zaidi ya bilioni 1.3, licha ya kabila la Wa-Han ambalo linachukua asilimia zaidi ya 90 ya idadi ya jumla ya watu wa China, bado kuna makabila 55 madogo, na makabila mengi madogo yana maandishi ya lugha zake.
  • China yaweka kipaumbele miradi 16 muhimu ya sayansi na teknolojia
  •  2007/02/21
    Serikali ya China imeweka kipaumbele katika miradi 16 muhimu ya teknolojia na sayansi ukiwemo utafiti wa ndege kubwa, utafiti na matumizi ya raslimali za baharini na teknolojia ya nishati endelevu, na itatoa uungaji mkono mkubwa kwa utafiti wa miradi hiyo muhimu
  • China yawaelekeza wananchi kutekeleza sera ya uzazi wa mpango
  •  2007/02/14
    China ni nchi yenye idadi ya watu bilioni 1.3. Kuanzia miaka ya 70 ya karne iliyopita, China ilianza kutekeleza sera ya uzazi wa mpango, kwa ajili ya kupunguza ongezeko kubwa la idadi ya watu
  • Mpango wa 863 wahimiza maendeleo ya teknolojia ya juu nchini China
  •  2007/02/07
    Kwa wachina, nambari ya 863 ina maana maalum. Kwa kuwa mpango wa sayansi na teknolojia unaoitwa 863 ambao umeinua kikamilifu kiwango na uwezo cha utafiti wa kisayansi na kiteknolojia wa China katika miaka 20 iliyopita, na umepunguza pengo kati ya China na nchi zilizoendelea duniani.
  • Sekta ya kuunda ndege ya China yaweka mkazo katika uvumbuzi wa kujitegemea
  •  2007/01/31
    Hivi sasa idara husika za sekta ya viwanda vya kuunda ndege ya China zimeonesha rasmi ndege ya kivita ya aina mpya J-10 iliyosanifiwa na China kwa kujitegemea, na kutangaza hali halisi ya utafiti na tekenolojia yake.
  • China yafanya juhudi kusukuma mbele usawa katika kupata elimu
  •  2007/01/24
    Hivi sasa wanafunzi wengi zaidi wanaoishi katika sehemu zilizoko mbali na miji wanaweza kusikiliza mihadhara inayotolewa na wahadhiri maarufu kwa mtandao wa elimu kwa mawasiliano ya mbali; wanafunzi kutoka familia zenye matatizo ya kiuchumi wanaweza kupata elimu ya msingi na ya sekondari ya chini kwa kulipa ada ya vitabu tu
  • Mkoa wa Guangxi wakamilisha utaratibu kuhusu kazi ya kutoa misaada kwa wanafunzi wapya wa vyuo vikuu wenye matatizo ya kiuchumi
  •  2007/01/17
    Hivi karibuni mkoa unaojiendesha wa kabila la wazhuang wa Guangxi, China umeweka kanuni kuhusu kazi ya kutoa misaada kwa wanafunzi wapya wa vyuo vikuu wenye matatizo ya kiuchumi, ili kuhakikisha wanafunzi hao hawaachi shule kutokana na umaskini.
  • Shule ya kimataifa iliyoanzishwa katika eneo la ustawishaji wa uchumi na teknolojia la Tianjin
  •  2007/01/10
    Eneo la ustawishaji wa uchumi na teknolojia la Binhai la Tianjin lililoanzishwa mwaka 1984 ni moja kati ya maeneo ya ustawishaji wa uchumi na teknolojia wa ngazi ya taifa yaliyoanzishwa mapema zaidi nchini China. Katika miaka 20 iliyopita sehemu hiyo imekuwa kituo cha maingiliano ya utamaduni kati ya China na nchi za nje, na watu wengi kutoka nchi za nje wanafanya kazi na kuishi huko pamoja na watoto wao.
  • Chuo cha kwanza cha bendi ya symphony chaanzishwa nchini China
  •  2007/01/03
    Mwezi Aprili mwaka 2006 taasisi ya bendi ya symphony ya Chuo kikuu cha muziki cha China kinachotoa mafunzo ya kitaalamu kwa wapigaji wa muziki wa symphony wenye kiwango cha kimataifa ilianzishwa hapa Beijing, na mwanzilishi wake ni mmarekani mwenye asili ya China Bw. Hu Yongyan.
  • Teknolojia za upashanaji wa habari za China zang'ara kwenye maonesho ya upashanaji wa habari duniani
  •  2006/12/27
    Maonesho ya upashanaji wa habari duniani ya mwaka 2006 yaliyoandaliwa na Umoja wa shughuli za mawasiliano ya habari duniani yalifungwa hivi karibuni huko Hongkong.
    1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16