Satellite ya hali ya hewa ya kizazi kipya ya China kuinua kwa ufanisi kiwango cha utabiri wa hali ya hewa 2008/06/18 Hivi karibuni, China ilifanikiwa kurusha satellite ya kwanza ya Fengyun No.3 ambayo ni satellite ya hali ya hewa ya kizazi kipya, satellite hiyo itatoa huduma bora ya hali ya hewa kwa China na nchi nyingine duniani.
|
Vyanzo vya tetemeko la ardhi 2008/05/28 Tarehe 12 mwezi huu tetemeko kubwa la ardhi lenye nguvu ya 8.0 kwenye kipimo cha Richter lilitokea kwenye wilaya ya Wenchuan mkoani Sichuan, na tetemeko hilo lilisikika kwenye miji na mikoa zaidi ya 10 nchini China na katika nchi za Vietnam na Thailand. je tetemeko la ardhi linatokea vipi? Kwa nini tetemeko hilo liliweza kuathiri eneo kubwa namna hii?
|
Mji wa Chongqing waweka mkazo katika kuingiza wataalamu wa hali ya juu kutoka sehemu nyingine 2008/05/14 Katika miaka ya hivi karibuni mji wa Chongqing ukiwa ni mji pekee unaotawaliwa moja kwa moja na serikali kuu kwenye sehemu ya magharibu mwa China, umetilia maanani katika kuingiza wataalamu wa hali ya juu kutoka sehemu nyingine.
|
Magari ya chapa zenye hakimiliki ya ubunifu ya China yamekuwa ni kivutio kwenye maonesho ya magari ya kimataifa ya Beijing 2008/05/07 Maonesho ya magari ya kimataifa ya Beijing ya mwaka 2008 yalimalizika hivi karibuni, maonesho hayo yamefanyika kwa awamu 10 kila baada ya miaka miwili. Makampuni makubwa ya magari ya kimataifa, makampuni ya vipuri vya magari na makampuni maarufu ya magari ya China yalionesha bidhaa na teknolojia mpya kwenye maonesho hayo.
|
Bibi Betts Rivet kutoka Marekani anayefundisha Kiingereza huko Fuzhou 2008/04/09 Bi. Betts Rivet mwenye umri wa miaka 80 alipata shahada ya udaktari wa saikolojia, na alifanya kazi ya ualimu kwa miaka 5 hadi 6. Kabla ya kuja China, alitembelea zaidi ya nchi 70. Siku moja miaka 15 iliyopita, muda mfupi baada ya kustaafu Bi. Betts alisoma habari moja kuhusu chuo cha wanawake cha Fuzhou cha China.
|
Wakulima wa mkoa wa Hubei waenda Japan kujifunza teknolojia za kisasa na uzoefu wa usimamizi 2008/03/26 Mji wa Zhongxiang ulioko katikati ya mkoa wa Hubei una ardhi yenye rutuba na unazalisha mazao mbalimbali ya kilimo. toka zamani hadi leo, wakulima wa huko wanafurahia na kuridhika na maisha yao kwenye ardhi hiyo. Lakini katika miaka ya hivi karibuni, mabadiliko yasiyotarajiwa yametokea kwamba wakulima wengi zaidi wanaenda Japan kujifunza ufundi wa kilimo, na kurudi nyumbani na teknolojia za kisasa na uzoefu wa usimamizi walizojifunza, ili kuvumbua mustakabali mpya kwa ardhi hiyo.
|
China yatumia fursa ya michezo ya Olimpiki kusukuma mbele udhibiti wa uvutaji sigara 2008/03/12 Kama tunavyojua uvutaji sigara unaleta madhara makubwa kwa afya ya binadamu, nchini China kila mwaka watu watapao milioni moja wanakufa kutokana na magonjwa yanayosababishwa na uvutaji wa sigara. Ili kuweka mazingira mazuri ya kijamii yanayosaidia kupiga marufuku uvutaji sigara, serikali ya Beijing hivi karibuni imeweka kanuni na kuagiza kwa mara ya kwanza kupiga marufuku uvutaji sigara katika sehemu za umma...
|
Eneo la mafunzo ya ufundi wa kazi la mji wa Changzhou mkoani Jiangsu 2008/03/05 Kwenye kipindi cha leo, tanawaletea maelezo kuhusu eneo la mafunzo ya ufundi wa kazi la mji wa Changzhou mkoani Jiangsu linalojulikana kote duniani. Hivi sasa eneo hilo ambalo lina vyuo vingi vya mafunzo ya ufundi wa kazi, limekuwa kituo kinachojumuisha shughuli za elimu na utafiti pamoja na viwanda vinavyotumia teknolojia mpya katika uzalishaji...
|
Mkuu wa zamani wa chuo kikuu cha Cornell cha Marekani anayeshughulikia elimu ya sheria nchini China 2008/02/20 Mwezi Juni mwaka 2007, idara ya sheria za kimataifa kilianzishwa rasmi katika chuo kikuu cha Beijing. Mkuu wa awamu ya kwanza wa idara hiyo ni mtaalamu mashuhuri wa sheria wa Marekani profesa Jeffrey Lehman. Kabla ya hapo, profesa Lehman alikuwa mkuu wa chuo kikuu cha Cornell cha Marekani.
|
Nyimbo za jadi za kichina zaonesha upendo wa wageni kwa China 2008/02/13 Mashindano ya fainali ya kuimba ya wanafunzi wa nchi za nje wanaosoma nchini China ya kombe la Laihua kwa mwaka 2007, yalifunguliwa rasmi huku wimbo wa mtindo wa kitibet "uwanda wa juu wa Qinghai-Tibet" ukiimbwa. Sauti ya kuvutia ya mwimbaji wake Bi. Lin Wensun ilikuwa kama kweli inaonesha picha za ardhi ya ajabu ya Tibet.
|