China yawa nchi ya kwanza kufungua ofisi za ubalozi Dodoma 2019-04-16 JAMHURI ya Watu wa China imekuwa nchi ya kwanza duniani kufungua ofisi za ubalozi katika jiji la Dodoma, miezi michache baada ya serikali ya Tanzania kuhamisha shughuli zake kutoka jijini Dar es Salaam. |
China yatoa mafunzo kwa wahandisi wa ujenzi Tanzania 2019-03-27 KAMPUNI ya Ujenzi ya China—"Chinese-Group Six International Limited (GSI)" imeanzisha mafunzo ya miezi mitatu ya kuwaongezea uwezo wahandisi wa ujenzi wa kitanzania. |
Tutaendelea Kushirikiana na Tanzania, Balozi Wang asisitiza 2019-03-15 BALOZI wa China nchini Tanzania Bi Wang Ke amefanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof Palamagamba Kabudi na kumhakikishia kuwa China itaendelea kushirikiana na Tanzania katika sekta mbalimbali za maendeleo. ` |
Shirikia la Ndege Tanzania, China wasaini mkataba wa watalii zaidi ya 10,000 2019-03-14 TANZANIA kupitia Shirika lake la Ndege, (ATCL), imesaini mkataba wa makubaliano ya kuanza maongezi ya kibiashara ya kusafirisha watalii zaidi ya 10,000 kutoka nchini China. |
Afrika ikitumia vizuri Mikopo ya China, Hofu Mtego wa Madeni Utakosa Nguvu 2019-03-12 AFRIKA kwa miaka mingi imekuwa nyuma kimaendeleo. Umaskini wa bara hili lipo Katika sura kuu mbili--mioundombinu mibovu na huduma za kijamii zilizo chini ya viwango vya kimataifa. |
Matumaini Mapya Usawa wa Biashara China ikitangaza Mfumo wa Soko Huria wa Kisasa 2019-03-07 CHINA imetangaza kuboresha mazingira ya kibiashara mwaka huu. Waziri mkuu wa China Li Keqiang ameweka hili wazi katika ripoti yake ya kazi ya serikali mbele ya wajumbe wa Bunge la Umma jijini Beijing. |
Wawekezaji China wazidi kumiminika Tanzania 2019-03-05 CHINA na Tanzania zimezidi kuimarisha ushirikiano wa kibiashara na uwekezaji baada ya makampuni 13 toka nchi hiyo ya Asia ya Mashariki kutembele Tanzania na kusema wanataka kuanzisha uwekezaji mpya wenye dola za kimarekani milioni 167. |
Bunge la China Katika Jicho la Mwanahabari wa Afrika 2019-03-05 CHINA ni nchi yenye jumla ya watu takribani bilioni 1.4, inayopatikana Asia ya Mashariki na inabaki kuwa nchi yenye siasa za kipekee duniani. |
Bunge la Umma na mustakabali wa FOCAC 2019-03-04 MWEZI Septemba mwaka jana, 2018, viongozi mbalimbali na Marais wa nchi za Afrika walikutana na viongozi wa China, chini ya uenyekiti was Rais Xi Jinping, jijini Beijing. |
Nafasi ya Bunge kwenye mgogoro wa kibishara China na Marekani 2019-03-01 MSUGUANO wa kibiashara kati ya China na Marekani umeingia mwaka wa pili sasa. Hali ya kutoelewana ulianza mwaka 2017. |
Bunge la kwanza baada ya miaka 40 ya Sera ya Mageuzi na Ufunguaji Milango 2019-02-28 BUNGE la Umma la China linaanza vikao vyake mapema mwezi wa tatu. Ni mkutano muhimu unaojadili masuala mbalimbali yanayohusu uendeshaji wa shughuli za kiserikali, programu na malengo mbali ya nchi hiyo. |
Wataalamu wa upasuaji China kushirikiana na Tanzania 2019-02-27 TANZANIA imeishukuru Hospitali ya Kimataifa ya Chuo Kikuu cha Peking cha China kwa kukubali ombi lake la kuanzisha ushirikiano na Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI). |
Biashara bidhaa za kilimo China-Afrika yafika $6 bilioni 2018-08-29 Biashara ya bidhaa za kilimo kati ya China na Afrika imeongezeka na kufikia dola bilioni 6.02 za Kimarekani mwaka 2017, imeelezwa. |
FOCAC kuhusianisha Ukanda Mmoja, Njia Moja na agenda za AU, UN 2018-08-23 Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika, FOCAC, utakaofanyika kati ya Septemba 3 na 4 unategemewa kuhusianisha malengo ya Ukanda Mmoja, Njia Moja, Mpango wa Umoja wa Mataifa wa Maendeo Endelevu na Agenda 2063 ya Umoja wa Afrika. |
China yashauri namna bora ya kupambana na umaskini 2018-08-20 China imependekeza uimarishwaji wa tafiti, uendelezwaji wa vipaji kwa vijana na uanzishwaji wa miradi ya mifano kati yake na Afrika ili kufanikiwa katika vita dhidi ya umaskini. |
Afrika yashauriwa kuiga China vita dhidi ya umaskini 2018-08-20 Wawakilishi kutoka Afrika katika mkutano wa Ushirikiano wa China na Afrika katika kupunguza umaskini wameshauri nchi zao kuiga mfano wa China katika vita dhidi ya umaskini. |
Bijie: Mji uliotangazwa eneo hatari kuishi ulivyojipanga kumaliza umaskini 2020 2018-08-20 Umaskini ni hali ya ukosefu wa mahitaji ya msingi ya binadamu kama vile chakula, maji salama, huduma za afya, mavazi na nyumba kutokana na kukosa uwezo wa kuvinunua. |
Historia, asili ya Wachina katika Makumbusho 2018-08-06 Makumbusho ni jengo au taasisi penye maonyesho ya vitu vya kale, kazi za sanaa, sampuli za malighafi au vifaa kwa ajili ya kutunza kumbukumbu ya jamii. Mkusanyiko wa aina hii hulenga kuonyesha mifano ya sanaa, utamaduni, teknolojia au mazingira asilia kwa manufaa ya kuwaelimisha watazamaji |
China na utamaduni wa unywaji chai 2018-07-26 |
China kuendelea kushirikiana na Afrika kuboresha afya 2018-06-05 China imesema itaendelea kuimarisha ushirikiano na Afrika katika sekta ya afya kwa kutoa misaada ya kitaalamu na kuboresha miradi inayotekelezwa kwa pamoja kati yake na nchi za bara hilo. |
China yataka Afrika kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji 2018-05-31 China imetoa changamoto kwa bara la Afrika kuhakikisha linazidi kuweka mazingira mazuri ikiwemo sera rafiki ili uwekezaji wake barani humo uzidi kuboreka kwa manufaa ya pande zote mbili. |
Uwekezaji China Afrika kuongezeka 2018 2018-05-31 Uwekezaji wa China barani Afrika ukiwa umefika jumla ya dola za Kimarekani bilioni 170 mwaka jana, Wizara ya Biashara ya China imesema kwa mwaka huu wa 2018, inategemea uwekezaji huo kuongezeka. |
China: Uhifadhi mazingira Afrika moja ya vipaumbele vyetu 2018-05-30 WIZARA ya Ekolojia na Mazingira ya serikali ya China imesema inachukua hatua mbalimbali kuhakikisha mazingira ya bara la Afrika yanalindwa dhidi ya uchafuzi, athari ya mabadiliko ya tabianchi na changamoto mbalinmbali zinazotokana na uharibifu wa mazingira. |
Rais Xi aikaribisha Burkina Faso FOCAC 2018-05-28 Rais wa China Xi Jinping amemualika rasmi Rais wa Burkina, Faso Roch Marc Christian Kaboré, kushiriki mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano wa China na Afrika, FOCAC, utakao fanyika mwezi Septemba jijini Beijing. |
Nafasi ya FOCAC utekelezaji wa Agenda 2063 2018-05-28 Afrika haina budi kutumia vizuri fursa zilizopo kwenye Jukwaa la Ushirikiano wa bara hilo na China (FOCAC) ili iweje kufanikisha agenda yake ya 2063 uliopitishwa na Umoja wa Afrika (AU). |
Hadithi yangu Afrika: Maisha mapya mbali na nyumbani 2018-05-25 Binadamu yeyote hupenda maisha mazuri, furaha, kuishi karibu na familia, ndugu, jamaa na marafiki --na zaidi ya yote kuishi na kufanya kazi nyumbani. |
Mwanadiplomasia maarufu atoa neno ushirikiano China, Afrika 2018-05-21 Bara la Afrika limeshauriwa kutumia vizuri fursa ya mahusiano yake na China ili liweze kutatua changamoto mbalimbali zinazolikabili na kujipatia maendeleo. |
Ufunguaji mlango ulivyoendeleza China 2018-05-21 CHINA, nchi ya pili kwa uchumi bora duniani, mwaka huu unatimiza miaka 40 ya mageuzi na ufunguaji mlango--sera ambayo imeiwezesha taifa hilo kupiga hatua kimaendeleo na kuimarisha uwekezaji ndani na nje ya nchi. |
Serikali China haitengenezi, haisafirishi bidhaa feki 2018-05-02 China imezitaka nchi za Afrika kuhimarisha ulinzi na ukaguzi mipakani na maeneo yote muhimu ikiwemo bandari na viwanja vya ndege ili kudhibiti uingizwaji wa bidhaa zisizokidhi viwango. |
China yaonya usafirishaji pembe za ndovu 2018-05-02 Huku ujangili ukiripotiwa kupungua katika nchi za Afrika, China imetoa onyo kali kwa raia wake watakaobainika kujihusisha na usafirishaji wa pembe za ndovu kutoka barani humo. Serikali ya China imetangaza na kusisitiza kuwa, kwa namna yoyote ile, haitamvumilia raia wake atakaebainika kujihusisha na biashara hiyo haramu. |
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |