Ufadhili wa China kusaidia Tanzania kupunguza malaria 2019-07-29 TANZANIA imezindua Programu ya Kupambana na Malaria awamu ya pili inayofadhiliwa na Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China na kutekelezwa na Taasisi ya Afya Ifakara, Shirika la Afya Duniani na Chuo Kikuu cha Harvad. |
Hospitali ya Shandong, JKCI ya Tanzania kushirikiana matibabu ya moyo 2019-07-29 CHINA na Tanzania, siku ya Ijumaa, Julai 26, 2019 jijini Dar es Salaam, zimetiliana saini ya makubaliano ya ushirikiano katika nyanja ya upasuaji na matibabu ya moyo. |
Rais Magufuli wa Tanzania aagiza uchunguzi matumizi ya fedha TAZARA 2019-07-27 RAIS wa Tanzania Dkt. John Magufuli ameiagiza Wizara ya Fedha na Mipango ya nchi hiyo kuchunguza matumizi ya Shilingi Bilioni 15.3 za Tanzania zilizotolewa na serikali kwa ajili ya kugharamia matumizi ya Mamlaka ya Usafiri wa Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA). |
Kampuni ya China kukamilisha ujenzi stendi ya mabasi ya kimataifa Tanzania mwaka 2021 2019-07-24 MRADI wa ujenzi wa stendi ya mabasi ya kimataifa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro, Kaskazini mwa Tanzania, unaotekelezwa na kampuni ya China Railway Jianchang Engineering (CRJE) unatarajiwa kukamilika Januari mwaka 2021. |
China, Tanzania watiliana saini ushirikiano sekta ya habari, mawasiliano 2019-07-23 SERIKALI ya Tanzania na Jamhuri ya Watu wa China siku ya Jumamosi, Julai 20, 2019, jijini Dar es Salaam wametiliana saini hati ya makubaliano kwa ajili ushirikiano katika sekta ya habari na mawasiliano. |
Chuo cha Wanyamapori Tanzania chatakiwa kuanza kufundisha Kichina 2019-07-22 CHUO cha Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi iliyoko Mkoani Mwanza, Tanzania kimetakiwa kuanza kufundisha lugha ya Kichina chuoni hapo ili kuwezesha Waongoza watalii kuwasiliana kirahisi na watalii kutoka nchini China. |
Kampuni ya Sichuan Saifei Travel ya China kuwekeza $ 200m Tanzania 2019-07-22 KAMPUNI ya Sichuan Saifei Travel Company Limited ya China imetenga Dola Milioni 200 za Marekani, sawa na Shilingi Bilioni 460 za Tanzania, kwa ajili ya uwekezaji katika wilaya ya Karatu, Mkoani Arusha, Kaskazini mwa Tanzania. |
Kampuni ya China kukamilisha ujenzi stendi ya mabasi ya kimataifa Tanzania mwaka 2021 2019-07-22 MRADI wa ujenzi wa stendi ya mabasi ya kimataifa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro, Kaskazini mwa Tanzania, unaotekelezwa na kampuni ya China Railway Jianchang Engineering (CRJE) unatarajiwa kukamilika Januari mwaka 2021. |
China, Zanzibar kuendelea kushirikiana sekta ya afya 2019-07-17 SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imeishukuru Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China kwa mchango wake katika kuboresha sekta ya afya visiwani humo. |
Beijing Construction Engineering Group yakanusha ujenzi chini ya viwango 2019-07-17 KAMPUNI ya Beijing Construction Engineering Group (BCEG) ya China imekanusha madai kuwa kazi ya ujenzi wa jengo jipya la abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar haukukididhi viwango vya kimataifa. |
Mazungumzo mradi wa Bagamoyo "kurejea" 2019-07-17 SERIKALI ya Tanzania na Kampuni ya China Merchants Holdings International ya zinategemea kurudi katika meza ya mazungumzo kuhusu utekelezaji wa mradi wa Bagamoyo utakaogharimu Dola za Marekani Bilioni 10, imeelezwa. |
Vyuo vya China, Tanzania Kushirikiana programu ya uhandisi wa ndege 2019-07-15 CHUO cha Usafirishaji nchini Tanzania (NIT) na Zhengzhou University of Aeronautics (ZUA) cha China vimepanga kushirikiana kufundisha programu ya uhandisi wa ndege. |
Tunatekeleza miradi inayokidhi viwango, kampuni ya CRJE ya China yasisitiza 2019-07-12 KAMPUNI ya China Railway Jianchang Engineering (CRJE), East Africa Limited inayotekeleza miradi mbalimbali nchini Tanzania imekanusha madai kuwa kazi zake zimekuwa zikitekelezwa chini ya viwango. |
Kampuni za China zazidi kushinda zabuni za miradi Tanzania 2019-07-04 SERIKALI ya Tanzania imeendelea kuingia mikataba ya utekelezaji wa miradi mbalimbali na kampuni za China, hatua inayoashiria ubora na ufanisi wa kampuni hizo kutoka nchi hiyo ya Asia ya Mashariki. |
Kampuni ya China yawanusuru tembo wawili Tanzania 2019-07-03 KAMPUNI ya ujenzi ya China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) imesaidia kuokoa tembo wawili waliokwama katika matope kwa siku mbili katika eneo la Itigi Mkoani Singida, Tanzania. |
Super Agri Technology ya China kuwekeza Dola Bilioni 1 sekta ya Kilimo Tanzania 2019-07-01 TANZANIA imeingia katika makubaliano mengine na kampuni kutoka Serikali ya Watu wa Jamhuri ya China kuwekeza katika sekta ya kilimo. |
Jinsi FOCAC inavyoendelea kunufaisha Tanzania 2019-06-26 JUKWAA la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) limeendela kunufaisha Tanzania na nchi zingine za bara hilo kwa ujumla. |
Balozi Wang aitaka Tanzania kutumia vizuri Mkutano wa Mawaziri wa FOCAC 2019-06-24 BALOZI wa China nchini Tanzania Bi. Wang Ke ameitaka nchi hiyo ya Afrika ya Mashariki kutumia vizuri Mkutano wa Mawaziri wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) kuimarisha ushirikano wake na nchi hiyo ya Asia ya Mashariki. |
China, Zanzibar zatiliana saini msaada wa Shilingi Bilioni 33 za Tanzania 2019-06-19 SERIKALI ya Jamhuri ya Watu wa China na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar zimetiliana saini ya makubaliano ya msaada wa jumla ya Yuan 100,000,000, sawa na Shiling Bilioni 33 za Tanzania kwa ajili ya kusaidia utekekelezaji wa miradi mbalimbali visiwani humo. |
Chuo Kikuu cha Taaluma za Lugha za Kimataifa Shanghai chaanza kufundisha shahada ya kwanza ya Kiswahili 2019-06-14 KISWAHILI --moja ya lugha inayozungumzwa na watu wengi Afrika na nje ya bara hilo, imeendelea kuenea zaidi na kupata umaarufu, na sasa Chuo Kikuu cha cha Taaluma za Lugha za Kimataifa cha Shanghai (SISU) cha China, kimeanza kufundisha shahada ya kwanza ya Kiswahili. |
Tanzania katika mpango mpya wa kuvuna watalii zaidi kutoka China 2019-06-13 BODI ya Utalii Tanzania (TTB) imetangaza jana mikakati mipya ya kuhakikisha inaendelea kupata watalii zaidi toka nchini China huku ikibainisha pia kuwa imejipanga kutangaza mazao ya misitu nchini humo ikiwemo asali. |
Upembuzi yakinifu chuo kinachofadhiliwa na China wakamilika 2019-06-12 UPEMBUZI yakinifu kwa ajili ya ujenzi wa Chuo kikuu cha Usafirishaji nchini Tanzania utakaofadhiliwa na serikali ya Jamhuri ya Watu wa China, umekamilika. |
Kidato cha nne Tanzania kufanya somo la Kichina katika mtihani wa taifa 2019-05-20 Kwa mara ya kwanza nchini Tanzania, wanafunzi wa kidato cha nne wanaosoma lugha ya Kichina mwaka huu wataanza kufanya mtihani wa somo hilo katika mitihani yao ya taifa. |
Bunge Tanzania lataka mazungumzo na kampuni ya China kuhusu mradi wa Bagamoyo ukamilishwe 2019-05-15 WABUNGE wa Bunge la Tanzania wamaitaka serikali ya nchi hiyo kukamilisha mazungumzo na kampuni ya China inayotaka kuwekeza katika Bandari ya Bagamoyo kwa manufaa ya taifa hilo la Afrika ya Mashariki. |
Tanzania yashauri China kuwekeza katika viwanda vya kuchakata mazao ya kilimo 2019-05-15 SERIKALI ya Tanzania imeshauri wawekezaji kutoka nchini China kuanza kuwekeza katika viwanda vya kuchakata mazao ya kilimo kwa kuwa nchi hiyo ya Afrika ya Mashariki ina utajiri mkubwa wa malighafi kwa ajili ya viwanda hivyo. |
China, Tanzania kuimarisha ushirikiano sekta ya madini 2019-05-05 WATAALAMU wa Jiolojia kutoka nchini China wanashirikiana na wenzao wa Tanzania kujadili namna bora ya kuboresha sekta ya madini katika nchi hiyo ya Afrika ya Mashariki. |
Wachina wajenga viwanda vitano vya kuchakata mihogo Tanzania 2019-04-25 KUFATIA mkataba wa kuuziana zao la mihogo kusainiwa kati ya Tanzania na China mwaka 2017 jijini Beijing, jumla ya viwanda vitano vya kuchakata zao hilo vimejengwa katika nchi hiyo ya Afrika ya Mashariki. |
China yatoa Dola Milioni 24 Ujenzi Chuo cha Ulinzi Tanzania 2019-04-22 SERIKALI ya China imekubali kutoa msaada wa Dola za Kimarekani million 24.2 (Shilingi Bilioni 56 za Tanzania) kwa ajili ya ujenzi wa Chuo Cha Taifa cha Ulinzi Tanzania awamu ya pili. |
Tanzania ina fursa ya kuuza mazao zaidi ya 11 China, Utafiti wabaini 2019-04-19 TANZANIA inayo fursa ya kufanya biashara ya mazao zaidi ya 11 na nchi ya China, Utafiti umebaini. |
Tanzania yaihakikishia China mazingira bora ya uwekezaji, biashara 2019-04-18 SERIKALI ya Tanzania imewahakikishia wawekezaji kutoka nchini China kwamba itaendelea kufanyia maboresho sera na sheria mbalimbali ambazo zinaonekana kuwa kikwazo katika shughuli mbalimbali za uwekezaji na biashara nchini humo. |
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |