Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
 • Mahojiano na mwanafunzi wa Afrika anayesoma nchini China
 •  2008/11/21
 • Mahojiano kati ya mwandishi wetu wa habri na mwalimu wa kiswahili
 •  2008/10/17
  Bi. Wei Yuanyuan sasa ni mwalimu wa lugha ya Kiswahili wa Chuo kikuu cha lugha za kigeni cha Beijing. Kwenye Michezo ya Olimpiki ya Beijing iliyofungwa tarehe 24 Agosti, yeye alikuwa mmoja kati ya watu wanaojitolea. Bi, Wei, kwanza ujulishe kipindi chako cha kujifunza lugha ya Kiswahili?
 • Bw.Issac Mbeche aeleza hali ya Chuo cha Confucius cha Nairobi
 •  2008/10/10
  Chuo cha Confucius ni taasisi ya elimu inayohimiza uenezi wa lugha ya Kichina na utamaduni wa China kote duniani. Hivi sasa kuna vyuo 271 vya Confucius katika nchi na sehemu 77 duniani, na idadi ya wanafunzi imefikia laki moja.
 • Ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara kati ya viwanda binafsi vya China na Afrika waendelezwa kwa kasi
 •  2008/02/29
  Mji wa Yixing uko kusini mwa mkoa wa Jiangsu, kwenye sehemu ya ziwa Taihu ya Delta ya Mto Changjiang. Viwanda binafsi mjini Yixing viliendelezwa tangu miaka ya 90 karne iliyopita, na kiwango cha maendeleo ya viwanda binafsi mjini Yixing kinachukua nafasi ya mbele mkoani Jiangsu
 • Mkurugenzi wa bodi ya Utalii Tanzania akizungumzia ushirikiano kwenye seka ya Utalii kati ya Chna na Tanzania
 •  2007/11/09
  Hivi karibuni mwandishi wetu wa Habari alipata fursa ya kufanya mahojiano na Mkurugenzi wa bodi ya Utalii ya Tanzania Bw. Peter Mwenguo. Katika mahojiano hayo Bw. alianza kueleza kuhusu uhusiano wa Tanzania na China katika utalii baada ya China kuiweka Tanzania katika orodha ya nchi zinazoweza kuwapokea watalii kutoka China.
 • Mahojiano kati ya mwandishi wa habari na mjumbe maalumu wa serikali ya China anayeshughulikia mambo ya Afrika Bw. Liu Guijin
 •  2007/11/02
  Mjumbe maalumu wa serikali ya China anayeshughulikia mambo ya Afrika Bw. Liu Guijin hivi karibuni alipohojiwa na mwaandishi wa habari wa Shirika la habari la China Xinhua alisema, China inashughulikia mambo kwa njia inayoweza kuelewa na kukubaliwa na marafiki wa Afrika, hivyo inaweza kuonesha umuhimu maalumu katika utatuzi wa suala la Darfur
 • Tamasha la 7 la maonesho ya sanaa duniani
 •  2007/10/18
  Tamasha la 7 la maonesho ya sanaa duniani lilifanyika huko Suzhou, mashariki ya China kuanzia tarehe 25 Septemba hadi tarehe 1 Oktoba. Tamasha hilo liliandaliwa na Shirikisho la wasanii na wafasihi wa China na Serikali ya umma ya Mkoa wa Jiangsu na kuendeshwa na serikali ya umma ya Suzhou mkoani Jiangsu, Shirikisho la wasanii wa China na idara nyingine.
 • Mahojiano na Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake wa Tanzania
 •  2007/04/10
  Siku chache zilizopita mwenyekiti wa umoja wa wanawake wa Tanzania Bi. Anna Abdallah na ujumbe wake wa watu sita walikuwepo nchini China kwa ziara ya mafunzo, ziara iliyoanza tarehe 19 hadi tarehe 29 mwezi march. Katika ziara hiyo Bi Anna Abdalah alipata nafasi ya kuongea na Radio China Kimataifa ambapo alieleza kuhusu uhusiano uliopo kati ya wanawake wa China na Tanzania.
 • Mahojiano na rais mstaafu wa awamu ya tatu wa Tanzania Mheshimiwa Benjamin Mkapa
 •  2007/02/09
  Hivi karibuni mwandishi wetu wa habari alifanya mahojiano na rais mstaafu wa awamu ya tatu wa Tanzania Mheshimiwa Benjamin Mkapa aliyekuwa nchini China kuhudhulia mkutano wa kituo cha kusini kinachohimiza uhusiano kati ya nchi za kusini.
 • Mahojiano na msikilizaji wetu kutoka Tanzania Bw. Frans Ngogo
 •  2006/12/22
  Ras Frans Ngogo ni mmoja kati ya washindi maalum wa chemsha bongo ya radio china kimataifa kutoka Nchini Tanzania ambaye alipata nafasi ya kuja China kusherekea miaka 65 tangu kuanzishwa kwa radio China Kimataifa.
  1 2 3 4