Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
  • Bw. Waweru azungumzia ushirikiano kati ya KBC na CRI
  •  2006/12/08
    Yafuatayo ni mahojiano kati ya mwandishi wetu wa habari na meneja mkuu wa shirika la utangazaji la Kenya KBC Bwana David Waweru aliyealikwa kuja China kuhudhuria mkutano wa kuadhimisha miaka 65 ya CRI.
  • Mahojiano kati ya mwandishi wetu wa habari na Balozi wa Tanzania nchini China Bwana Ramadhani Mapuri
  •  2006/10/27
    Biashara kati ya Afrika na China imeongezeka kwa kiasi kikubwa sana katika kipindi cha miaka mitano iliyopita, imeongezeka kutoka dola za kimarekani bilioni 10 hadi bilioni 40 mpaka sasa.
  • Naibu waziri wa habari na mawasiliano wa Kenya azungumzia ushirikiano kati ya China na Afrika
  •  2006/09/29
    Wiki hii naibu waziri wa habari na mawasiliano wa Kenya Bwana Koigi Wamwere anafanya ziara hapa Beijing, ambapo alikuja Radio China Kimataifa kwa matembezi, zifuatazo ni mahojiano kati ya Radio China Kimataifa na Bw. Wamwere
  • Wanafunzi wa Uganda wanaosoma nchini China wafanya kongamano Beijing
  •  2006/07/21
    Chama cha wanafunzi Waganda wanaosoma nchini China (USAC) tarehe 16 mwezi Julai kiliandaa kongamano lililofuatiwa na sherehe ya kuwakaribisha wanafunzi wa Uganda wanaokuja nchini China kwa masomo na kuwaaga wanafunzi waliohitimu masomo yao nchini China.
  • Mahojiano kati ya mwandishi wetu wa habari na balozi wa Tanzania nchi China Bwana Charles Sanga
  •  2006/06/23
    Mwandishi: Mheshimiwa Balozi, siku za karibuni waziri mkuu wa China Wen Jiabao atafanya ziara katika nchi 7 barani Afrika ikiwemo Tanzania, unauonaje uhusiano kati ya Tanzania na China.
  • Shughuli za maonesho ya utamaduni wa nchi za Asia na Afrika
  •  2006/05/26
    Katika wiki ya mwisho ya mwezi Aprili mwaka huu, idara ya lugha za Asia na Afrika katika Chuo Kikuu cha Lugha za Kigeni cha Beijing iliendesha shughuli za maonesho ya utamaduni wa nchi za Asia na Afrika.
  • Kutafuta njia mwafaka ya ushirikiano kati ya China na Afrika
  •  2006/05/05
    Shirikisho la wafanyakazi wa China na Afrika  linalenga kuyaelekeza makampuni ya China jinsi ya kuendeleza shughuli zao kwenye soko la Afrika, na kusukuma mbele ushirikiano kati ya China na Afrika kwa kufuata hali halisi.
  • Waziri wa utalii wa Kenya azungumzia uhusiano kati ya China na Kenya na ushirikiano wa utalii
  •  2006/04/28
    Hivi karibuni mwandishi wetu wa habari aliyeko Nairobi Kenya alifanya mahojiano na waziri wa ziara wa Kenya Bw. Moris Dzoro, ambapo Bwana Dzoro alifurahia ziara ya rais Hu Jintao wa China nchini Kenya, alisema, ziara ya rais Hu Jintao wa China nchini Kenya ilimkumbusha Bw. Moris Dzoro ziara yake ya mwaka jana nchini China.
  • Wasikilizaji wa Kenya waionavyo uhusiano kati ya China na Kenya
  •  2006/04/21
    Katika miaka zaidi ya 40 iliyopita tangu China na Kenya zianzishe uhusiano wa kibalozi, ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara kati ya nchi hizo mbili umeimarishwa, na urafiki na maelewano kati ya watu wa nchi hizo mbili pia umezidishwa.
  • Teknolojia ya uchapishaji ya China kuwafaidisha waafrika
  •  2006/04/14
    Mahojiano kati ya mwandishi wetu wa habari Bwana Ali Hassan na mwandishi wa vitabu wa Kenya Bwana Abud Bashir Mchangano.
    1 2 3 4