Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
  • Jinsi waandishi habari wa Kenya waionavyo China
  •  2006/04/07
    Tarehe 5 mwezi Aprili, mwandishi habari wa Kenya Times Bwana Wyclefe Asalwa Salano na mwandishi habari wa East African Standard Bwana Martin Mutua walitembelea jengo la Radio China Kimataifa, na kufanya mazungumzo na wafanyakazi wa idhaa ya Kiswahili ya Radio China Kimataifa
  • Sherehe ya kuzinduliwa rasmi kwa Kituo cha 91.9 FM cha CRI yafanyika huko Nairobi Kenya na hapa Beijing China
  •  2006/02/27
    Leo tarehe 27 sherehe ya kuzinduliwa rasmi kwa Kituo cha 91.9 FM cha CRI imefanyika huko Nairobi Kenya na hapa Beijing, China, ambapo Mkurugenzi mkuu wa Radio China kimataifa Bwana Wang Gengnian na msafara wake walioko Nairobi, Kenya, mkurugenzi wa shirika la utangazaji la Kenya KBC Bwana Waruru pamoja na balozi wa China nchini Kenya Bwana Guo Chongli wamehudhuria sherehe hiyo huko Nairobi, na naibu mkuu wa Idara kuu ya radio, filamu na televisheni ya taifa ya China Bwana Tian Jin na manaibu wakurugenzi wa CRI Bwana Chen Minyi na Xia Jixuan pamoja na maofisa wanaohusika wamehudhuria sherehe iliyofanyika hapa Radio China kimataifa.
  • Mchina wa kwanza anayewahudumia watalii wa China waliokwenda kutalii nchini Kenya
  •  2006/02/10
    Kenya ni nchi yenye vivutio vingi vya utalii, tokea Kenya itangazwe kuwa nchi inayowapokea watalii kutoka China mwishoni mwa mwaka 2003, idadi ya wachina wanaokwenda Kenya kutalii imeongezeka siku hadi siku.
  • Mahojiana na ofisa anayeshughulikia ujenzi wa uwanja wa taifa
  •  2006/01/27
    Uwanja wa taifa wa Tanzania utatumika kuwapokea wanamichezo na wageni wengine watakaokuja kwa ajili ya michezo. Tunataka kuutumia uwanja huo kwa kila namna na kuweza kutega uchumi kuleta fedha za kigeni ili ziingie nchini kwetu kupitia michezo. Wakiwa Tanzania wageni hao wataumia pesa hizo na tutaweza hata kuwapeleka kwenye mbuga za wanyama ambako nako wataumia pesa zao.
  • Ujenzi wa uwanja mpya wa Taifa wa Tanzania kwa msaada wa China kukamilika
  •  2006/01/20
    Hivi karibuni mtangazaji wetu alipata fursa ya kufanya mahojiano na Bwana Rish Urio mratibu wa ujenzi wa uwanja mpya wa Taifa wa Tanzania unaojengwa huko Dar es salaam kwa msaada wa serikali ya Jamhuri ya watu wa China, aliyekuwepo ziarani hapa China.
  • Wananchi wa China na Afrika watakiwa kuongeza maelewano na maingiliano ili kufanya vizuri zaidi ushirikiano katika sekta mbalimbali
  •  2006/01/13
    Hivi karibuni mwandishi wetu wa Habari alipata fursa ya kufanya mahojiano na Bwana Abdullah Hamisi mwanafunzi kutoka Zanzibar Tanzania anayesoma kwenye chuo kikuu cha sayansi na teknolojia hapa Beijing, China. Yafuatayo ni mahojiano kati ya Mwandishi wetu na Bwana Abdullah.
  • Ushirikiano kati ya Afrika na China katika sekta ya biashara wanufaisha pande mbili
  •  2005/12/23
    Hivi karibuni mwandishi wetu wa habari alipotembelea nchini Kenya, aliwahi kupata nafasi na kuzungumza na mhudumu wa hoteli moja nchini Kenya, ambapo walizungumzia masuala mbalimbali kuhusu ushirikiano kati ya China na Afrika katika sekta mbalimbali, usikivu wa matangazo ya idhaa ya kiswahli nchini Kenya na kadhalika.
  • China na nchi za Afrika zatafiti njia mpya ya ushirikiano katika nyanja ya elimu
  •  2005/12/09
    Tarehe 27 Novemba mwaka huu mkutano wa mawaziri wa elimu wa China na Afrika ulifanyika hapa Beijing. Mawaziri wa elimu kutoka nchi 18 za China na Afrika walibadilishana maoni, na kujadiliana kuhusu jinsi ya kustawisha elimu katika nchi zinazoendelea
  • Kenya yahimiza ushirikiano ya elimu kati yake na China
  •  2005/12/02
    Tarehe 27 mwezi Novemba, mawaziri wa elimu wa China na nchi 17 za Afrika walihudhuria mkutano wa Baraza la Mwaka 2005 la Mawaziri wa Elimu wa China na Afrika uliofanyika hapa Beijing. Kwenye mkutano huo, mawaziri hao walisaini Taarifa ya Beijing, na kukubaliana kuhusu kuimarisha ushirikiano na maingiliano ya elimu kati ya pande hizo mbili.
  • Mkenya aionavyo China kwa macho yake
  •  2005/11/25
    Bwana Nobil Macharia anatoka mji wa Kisumu, sehemu ya magharibi mwa Kenya. Kuanzia tarehe 20 Oktoba hadi tarehe 28 Novemba ameshiriki kwenye semina ya bioteknolojia ya chakula iliyoandaliwa na wizara ya biashara ya China na taasisi ya utafiti wa chakula na uumuaji wa chakula cha China KALIFI. Amejifunza mambo mengi katika semina hiyo.
    1 2 3 4