Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
  • Kampuni ya teknolojia ya juu ya China barani Afrika
  •  2005/01/28
    Hua Wei ni kampuni maarufu ya teknolojia ya juu nchini China. Katika miaka ya karibuni, kufuatana na sera za serikali ya China za kuyahimiza makampuni ya China kuanzisha shughuli zake nchi za nje, Kampuni ya Huawei imezingatia masoko ya nje.
  • Mkuu wa ofisi ya mambo ya Afrika ya wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Cheng Tao azungumzia Afrika
  •  2004/12/24
    Bw. Cheng Tao anayeshughulikia mambo ya kiafrika kwa miaka mingi anafahamu sana hali ya Bara la Afrika.
  • Hali ya biashara na kushuka kwa bei ya karafuu kwenye soko la kimataifa kwa visiwani Zanzibar na changamoto inayowakabili wakulima.
  •  2004/12/03
        Bwana Issa Jalemia ni mkulima wa karafuu wa kijiji cha Dole, kisiwani Unguja, umbali wa kilomita 15 hivi kutoka Zanzibar, mji mkuu wa visiwani Zanzibar. Miaka mitano iliyopita, Bwana Issa alikodi eka tatu ya shamba kutoka serikalini kwa ajili ya kupanda mikarafuu. Sasa ameanza kuvuna, lakini kutokana na kushuka kwa bei ya karafuu kwenye soko la kimataifa, badala ya kupata faida yeye alipata hasara kubwa.
  • Historia ya kilimo cha karafuu na hali ya upandaji wa mikarafuu visiwani Zanzibar
  •  2004/11/30
        Karafuu ni zao linalotokana na mkarafuu, ingawa karafuu hazimo katika kundi la vyakula wala vinywaji, lakini ni kiungo muhimu sana. Karafuu zina matumizi kadha, wakati fulani zinatumika kwenye utengenezaji wa sigara, upishi, utengenezaji wa aina fulani ya dawa ya meno, na pia mafuta yake hutumika kwa kuchua misuli.
  • Ziara ya spika wa bunge la umma la China nchini Kenya yahimiza mawasiliano kati ya nchi hizo mbili kuingia katika kipindi kipya
  •  2004/11/05
        Kuanzia tarehe 29 mwezi uliopita hadi tarehe 1 mwezi huu, spika wa halmashauri ya kudumu la bunge la taifa la China Bw. Wu Bangguo alifanya ziara rasmi ya kirafi ya siku nne nchini Kenya.     
  • Ziara atakayofanya Spika Wu Bangguo nchini Kenya
  •  2004/10/29
        Kuanzia leo tarehe 29, spika wa bunge la umma la China Bwana Wu Bangguo atafanya ziara rasmi nchini Kenya, Zimbabwe, Zambia na Nigeria, na Kenya ni kituo cha kwanza cha ziara yake. Kabla ya ziara hiyo, mwandishi wetu wa habari aliyeko Nairobi alimhoji ofisa wa habari wa Ubalozi wa China nchini Kenya Bwana Zhuang Yaodong na baadhi ya wasikilizaji wetu wa Kenya.
  • Mahojiano
  •  2004/10/18
    Leo katika kipindi hiki tunaye Miriam Odemba mrembo kutoka Tanzania. Miriam wewe ni mtanzania ambaye mpaka sasa umekuwepo nchini China mwaka mmoja.     
  • Filamu Safari ya Urafiki yashuhudia urafiki kati ya China na Afrika
  •  2004/09/24
        Ili kuadhimisha miaka 40 ya waziri mkuu wa zamani wa China marehemu Zhou Enlai kufanya matembezi barani Afrika, shirikisho la urafiki kwa nje la watu wa China na kituo cha televisheni cha Beijing hivi karibuni vimetengeneza kwa pamoja filamu ya televisheni yenye sehemu 10 iitwayo "Safari ya Urafiki". Filamu hiyo imeonesha tena historia ya ziara aliyofanya waziri mkuu wa zamani wa China marehemu Zhou Enlai katika nchi 10 za Afrika kabla ya miaka 40 iliyopita, kukumbusha mchakato wa maendeleo ya uhusiano kati ya China na nchi za Afrika katika miaka 40 iliyopita.
  • China na nchi za Afrika zahitaji kuimarisha ushirikiano katika sekta ya habari
  •  2004/08/27
    Pamoja na urafiki mkubwa na wa muda mrefu uliopo kati ya watu wa Afrika na wachina, kutokana na mawasiliano hafifu kati ya watu wa kawaida wa pande hizi mbili, watu wa sehemu hizi mbili wamekuwa na picha zisizosahihi za kila upande. Kutokana na maendeleo ya kasi ya Uchumi wa China watu wengi zaidi wa Afrika wamekuwa na hamu ya kutaka kujionea wenyewe China ilivyo.
  • China Kujenga uwanja mpya wa kisasa nchini Tanzania
  •  2004/08/20
        Mwezi juni mwaka huu ujumbe wa Tanzania ukiongozwa na rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Benjamin Mkapa, ulikuja nchini China kuhudhuria mkutano wa Biashara uliofanyika huko Shanghai. Baada ya kumalizika mkutano huo, ujumbe huo ulitembelea miji mingine ya hapa China kufanya ziara, ikiwa ni pamoja na mji wa Beijing.     
    1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11