Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
  • China kuzisaidia nchi za Afrika kupambana na malaria
  •  2007/01/05
    Tarehe 27 Novemba mwaka 2006, semina ya kupambana na malaria iliyoandaliwa na serikali ya China ilifunguliwa huko Kampala, mji mkuu wa Uganda. Hii ni moja ya hatua zitakazochukuliwa na serikali ya China katika kuongeza misaada kwa nchi za Afrika.
  • Ushirikiano kati ya KBC na CRI una mustakabali mzuri
  •  2006/12/29
    Bwana David Waweru ni meneja mkuu wa shirika la utangazaji la Kenya KBC, alikuwa ameitembelea China kwa mara mbili mwaka huu, ana mawazo mazuri kuhusu jinsi ya kufanya ushirikiano kati ya shirika la utangazaji la Kenya na Radio China Kimataifa ili kuwafahamisha vizuri wananchi wa China na wa Kenya mambo halisi ya nchi hizo mbili.
  • Waziri wa habari wa Kenya Mheshimiwa Muthai Kagwe ahojiwa na CRI
  •  2006/12/15
    Mheshimiwa Kagwe akieleza lengo hasa la safari yake nchini China na pia kuhusu maonyesho ya teknologia ya habari na mawasiliano yaliyofanyika Hong kong hivi karibuni alianza kwa kusema, kwanza nimekuja hapa kuhudhulia mkutano wa ITU,na pia kukutana na makampuni ya mawasiliano tunayofanya nayo kazi nchini Kenya na Afrika ya mashariki kwa ujumla pamoja na kukutana na maofisa wa juu wa serikali ya China wakiwemo waziri wa habari
  • Ushirikiano katika sekta ya kilimo kati ya China na Afrika una mustakabali mzuri
  •  2006/12/08
    Mkutano wa wakuu wa baraza la ushirikiano kati ya China na Afrika uliofanyika muda mfupi uliopita, umeamua kuweka mkazo katika sekta ya kilimo.
  • China imezisaidia nchi za Afrika kutoa mafunzo ya kuwaandaa watu wenye ujuzi zaidi ya elfu kumi
  •  2006/11/24
    Kutokana na takwimu zilizotolewa na wizara ya biashara ya China, ushirikiano wa kutoa mafunzo ya kuwaandaa watu wenye ujuzi kati ya China na nchi za Afrika umeingia katika kipindi kipya, na unahusu mambo ya uchumi na biashara, matibabu na afya, mambo ya kiutawala, mawasiliano ya simu, jiografia, elimu na mazingira.
  • Ushirikiano kati ya China na Zambia
  •  2006/11/17
    Bw. To Xinghu meneja mkuu wa tawi la Afrika la kampuni ya madini ya China ni mmoja kati yao. Kutokana na uongozi wake kampuni hiyo ya madini katika miaka michache iliyopita ilishiriki kwa juhudi kwenye uendelezaji wa mgodi wa shaba wa Chembezi nchini Zambia na kuwa mfano mzuri wa ushirikiano wa kunufaishana kati ya China na Zambia.
  • Mawasiliano na ushirikiano kati ya China na Afrika katika sekta za uchumi na biashara utaimarishwa zaidi
  •  2006/11/10
    Mkutano wa mazungumzo kati ya viongozi na wajumbe wa sekta za viwanda na biashara kutoka China na Afrika na Mkutano wa 2 wa wanakampuni wa China na Afrika ulifunguliwa tarehe 4 hapa Beijing.
  • Nchi za Afrika zinataka kuimarisha ushirikiano na China katika sekta za uwekezaji na teknolojia
  •  2006/11/01
    Wakati inapokaribia kufanyika kwa mkutano wa wakuu wa Baraza la ushirikiano kati ya China na Afrika, nchi nyingi za Afrika zinatilia maanani kupata uzoefu kutoka kwa China zikiwa na nia ya kupanua ushirikiano na China katika shughuli za uwekezaji na teknolojia.
  • Misaada ya China kwa Afrika ni ya dhati
  •  2006/10/20
    China ilianza kutoa misaada kwa nchi za Afrika mnamo miaka ya 50 karne iliyopita. Ikiwa nchi inayoendelea, China imewaunga mkono na kuwasaidia watu wa Afrika kwa hali na mali. Katika miaka 50 iliyopita, China imezipatia misaada ya aina mbalimbali nchi za Afrika yenye thamani zaidi ya Reminbi Yuani bilioni 44.4
  • Meneja mkuu wa shirika la utangazaji wa Kenya KBC Bwana David Waweru afanya ziara katika CRI
  •  2006/10/13
    Kuanzia tarehe 25 hadi 30 Septemba mwaka 2006, meneja mkuu wa shirika la utangazaji wa Kenya KBC Bwana David Waweru anafanya ziara hapa Beijing China , hii ni mara yake ya kwanza kuja China kwa matembezi, na kuwa mgeni wa studio ya Idhaa ya Kiswahili ya Radio China Kimataifa CRI
    1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11