Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
  • Libya inayozifunguliwa mlango nchi za nje
  •  2004/07/30
    Wakati mwandishi wa habari alipowasili nchini Libya, aligundua nchi hiyo ipo katika jitihada za kuendeleza kazi ya utalii: Kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Tripoli, ndege nyingi zinazosafiri nchi za nje zinaruka na kutua; kwenye soko la kazi za mikono, wauzaji wa bidhaa rejareja wanajadiliana bei na wanunuzi kwa lugha ya kiingereza rahisi?Ingawa hiyo ni hali ya kawaida ambayo inatokea kila siku katika sehemu nyingine ulimwenguni, lakini hayo ni matokeo makubwa sana kwa nchi hiyo iliyowekewa vikwazo vya kimataifa kwa miaka 13.
  • Wimbi la wafanyabiashara wa Zhejiang kuwekeza vitega uchumi barani Afrika
  •  2004/07/16
    Kwa Muda mrefu uliopita, ushirikiano kati ya China na Afrika umekuwa ukiongezeka siku hadi siku, na kuzidi kuendelezwa katika nyanja mbalimbali na kupata maendeleo makubwa, hasa baada ya kuanzishwa kwa Baraza la ushirikiano kati ya China na Afrika.  
  • MAHOJINO NA WAZIRI WA VIWANDA ZANZIBAR-TANZANIA
  •  2004/06/29
    Kwa muda mrefu sasa kumekuwepo kilio kutoka kwa nchi zinazoendeleaa kuhusu kuwepo kwa utaratibu wa biashara ulio wa usawa na haki kwa nchi zote. Mikutano ya shirika la biashara duniani WTO mara kwa mara imekuwa ikizungumzia suala la kuondoa ruzuku kwenye mazao ya kilimo, kitu ambacho nchi za Ulaya na Marekani zilimekuwa zikisita.  
  • Wachina waishio Zanzibar
  •  2004/06/18
    Katika karne zilizopita, wachina wengi waliondoka nyumbani, wakavuka bahari hadi kufika pwani ya sehemu nyingine ili kutafuta maisha bora. Mwandishi wetu wa habari alipotembelea Tanzania aliwatembelea wachina waishio Unguja.  
  • China ni mfano wa kuigwa kwa Kenya
  •  2004/06/11
    Kutokana na mwaliko wa wizara ya mawasiliano ya China, waziri wa barabara, miradi ya umma na nyumba wa Kenya Bw. Raila Odinga aliitembelea China kuanzia tarehe 20 hadi tarehe 26 mwezi May mwaka huu.  
  • Kampuni ya Tiens ya China
  •  2004/06/04
     Kampuni ya Tiens ya China ni kampuni kubwa ambayo imekuwa matawi mengi katika nchi za nje. Kampuni hiyo inashughulikia hali bidhaa zinazosaidia afya ya watu.     
  • Nchi za Afrika na China zitakuwa na ushirikiano wa kunufaishana
  •  2004/05/28
     Waziri mkuu wa China Wen Jiabao ameahidi kuwa China inashirikiana na nchi mbalimbali katika kazi ya kupunguza umaskini duniani.  
  • Katibu mkuu wa chama tawala cha congres cha Sudan akizungumzia ushirikiano kati ya China na Sudan
  •  2004/04/17
    1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11