Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
  • Mwongoza michezo ya kuigiza Li Guoxiu
  •  2007/06/11
    Katika siku za tamasha la "Kukutana Mjini Beijing" mchezo wa kuigiza wa Shamlet ulioongozwa na Bw. Li Guoxiu aliyetoka kisiwani Taiwan ulitimiza maonesho yake mara 100. Mchezo huo umewapatia watazamaji wa Beijing nafasi adimu ya kuufurahia mchezo wa kuigiza kutoka kisiwa cha Taiwan.
  • Bw. Guo Degang na mchezo wake wa ngonjera ya kuchekesha
  •  2007/05/07
    Ngonjera ya kuchekesha iliwahi kuwa ni aina moja ya michezo ya sanaa inayowavutia sana Wachina, lakini katika miaka ya karibuni mchezo wa aina hiyo umekuwa katika hali ya kudidimia, baadhi ya watu walitoa kauli wakisema, "Tuokoe mchezo wa ngonjera ya kuchekesha!"
  • Mwigizaji mashuhuri wa tamthilia ya kuchekesha Huang Hong
  •  2007/04/02
    Mwigizaji wa tamthilia ya kuchekesha Bw. Huang Hong anajulikana sana kwa sababu ya kuzingatia sana haki na maslahi ya wakulima wanaofanya kazi za vibarua mijini, na anasifiwa kuwa ni "msemaji wa wakulima wanaofanya kazi za vibarua mijini".
  • Mwongozaji filamu wa China Liu Jie
  •  2007/03/05
    Miezi kadhaa iliyopita, filamu ya China iitwayo "Korti Kwenye Mgongo wa Farasi" ilipata tuzo katika Tamasha la Filamu la Venice. Mwongoza filamu hiyo anaitwa Liu Jie, kabla ya hapo hakutegemea kama filamu hiyo ingepata tuzo katika tamasha hilo, kwani ni mara ya kwanza kuongoza kwake upigaji wa filamu .
  • Mwigizaji mashuhuri wa filamu Bi. Gong Li
  •  2007/01/29
    Katika siku za karibuni filamu inayoitwa "Askari Wenye Deraya Kote Mjini" ambayo iliongozwa na Zhang Yimou na kuigizwa na Bi. Gong Li inaoneshwa katika majumba yote ya filamu mjini Beijing.
  • Msomi mashuhuri wa China Yu Qiuyu
  •  2007/01/15
    Bw. Yu Qiuyu aliwahi kuwa kijana kabisa kati ya maprofesa wa sanaa na sayansi za jamii nchini China, aliwahi kuwa mkuu wa chuo kikuu na baadaye alikuwa mwandishi anayejitegemea. Amewahi kutembelea sehemu nyingi zenye kumbukumbu za kihistoria na kitabu alichoandika mkusanyiko wa makala zinazoeleza hisia zake kuhusu matembezi yake ni kitabu kinachonunuliwa kwa wingi kabisa kati ya vitabu vinavyosomwa sana nchini China
  • Msomi mashuhuri wa China Yu Qiuyu
  •  2007/01/15
    Bw. Yu Qiuyu aliwahi kuwa kijana kabisa kati ya maprofesa wa sanaa na sayansi za jamii nchini China, aliwahi kuwa mkuu wa chuo kikuu na baadaye alikuwa mwandishi anayejitegemea. Amewahi kutembelea sehemu nyingi zenye kumbukumbu za kihistoria na kitabu alichoandika mkusanyiko wa makala zinazoeleza hisia zake kuhusu matembezi yake ni kitabu kinachonunuliwa kwa wingi kabisa kati ya vitabu vinavyosomwa sana nchini China
  • Kumkumbuka msanii wa ngonjera ya kuchekesha, Ma Ji
  •  2007/01/01
    Tarehe 20 Desemba msanii mashuhuri wa ngonjera ya kuchekesha wa China Bw. Ma Ji ghafla alifariki mjini Beijing kutokana na mshtuko wa moyo akiwa na umri wa miaka 72.
  • Bi. Zhu Mingying msanii anayechangia kuendeleza urafiki kati ya China na Afrika
  •  2006/11/27
    Mliosikia ni wimbo wa Afrika uitwao "Yiyaya Leo" alioimba mwimbaji mashuhuri wa China Bi. Zhu Mingying. Watazamaji wanavutiwa sana kutokana na jinsi anavyoimba na huku akicheza ngoma. Tokea mwishoni mwa miaka ya 70 ya karne iliyopita aliimba nyimbo nyingi za Asia, Afrika na Latin Amerika
  • Msanii wa ngonjera ya kuchekesha, Ma Ji
  •  2006/11/20
    Ikilinganishwa na lugha zinanzoandikwa kwa herufi za Kilatini, lugha ya Kichina ina mvuo wake pekee ambayo licha ya kuwa na usanii wa maandiko wa mitindo ya aina nyingi pia ina usanii wa kuongea, na ngonjera ya kuchekesha ni usanii mmoja pia. Bw. Ma Ji ni msanii anayefahamika kwa Wachina wengi katika usanii huo.
  • Mwongoza filamu Jia Zhangke
  •  2006/09/25
    Katika Tamasha la 63 la Filamu la Kimataifa lililofungwa hivi karibuni mjini Venice, mwongoza filamu kijana Jia Zhangke alipata "tuzo ya simba" kwa filamu yake "Raia Wema katika Magenge Matatu ya Mto Changjiang",
  • Mtengeneza sanamu kijana Wu Weishan
  •  2006/09/11
    Mtengeneza sanamu wa China Wu Weishan ingawa bado ni kijana, lakini sanamu 300 za wanautamaduni mashuhuri wa China ya kale alizotengeneza zinathaminiwa sana na kuhifadhiwa nchini China na katika nchi za nje, mtengeneza sanamu huyo ni msanii pekee wa Asia katika Shirikisho la Wachonga Samanu la Kifalme nchini Uingereza yaani the Royal Society of British Sculptors.
  • Mwandishi wa vitabu Su Shuyang
  •  2006/08/28
    Mwaka huu ni mwaka wa 30 tokea tetemeko kubwa la ardhi lilipotokea mjini Tangshan, China. Siku hizi vitabu vingi kuhusu matetemeko ya ardhi vinachapishwa na kuuzwa madukani, kati ya vitabu hivyo, kitabu cha "Matetemeko ya Ardhi Niliyoshuhudia" kilichoandikwa na Su Shuyang kinanunuliwa zaidi
  • Mwongoza filamu Ning Hao
  •  2006/08/21
    Filamu ya "Hadithi ya Jade" iliyooneshwa hivi karibuni nchini China imeleta mapato mara tatu kuliko yuan milioni tano iliyowekezwa, mwongoza filamu hiyo Bw. Ning Hao alijulikana ghafla na kuwa mtu wa kuvutia sana wawekezaji wa filamu.
  • Mwigizaji filamu Wang Fuli
  •  2006/07/24
    Bibi Wang Fuli ni mwigizaji mashuhuri wa filamu, alipitia vipindi kadhaa vya maendeleo ya filamu nchini China na alifanikiwa kuigiza wahusika wa aina tofauti ambao waliwaingia sana akilini watazamaji katika filamu.
    1 2 3 4