• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya

 • Matangazo ya kiingereza ya ufunguzi wa mkutano mkuu wa 18 wa Chama cha Kikomunisti cha China
  Habari
  • Hu Jintao na Xi Jinping wahudhuria mkutano wa Kamati ya kijeshi ya kamati kuu ya CPC 2012-11-17
  • Wajumbe wa kudumu wa Ofisi ya siasa ya Kamati kuu ya 18 ya Chama cha Kikomunisti cha China wakutana na waandishi wa habari 2012-11-15
  • Mkutano wa kwanza wa kamati kuu ya 18 ya CPC wafanyika 2012-11-15
  • Mkutano mkuu wa 18 wa CPC wamalizika 2012-11-14
  • Waziri mkuu wa Kenya asema Chama cha Kikomunisti cha China kina uwezo mkubwa wa kuitawala China 2012-11-14
  More>>
  Picha

  Mkutano wa kwanza wa kamati kuu ya 18 ya CPC wafanyika

  Bw. Xi Jinping amechaguliwa kuwa katibu mkuu wa kamati mpya ya Chama cha Kikomunisti cha China

  Mkutano wa kwanza wa kamati kuu ya 18 ya CPC wafanyika

  Wajumbe wa kudumu wa ofisi ya siasa ya kamati kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China watakutana na waandishi wa habari
  More>>
  Maelezo
  • Viongozi wapya wa Kamati kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China wajitokeza
  Leo tarehe 15, mkutano wa kwanza wa wajumbe wote wa Kamati kuu ya 18 ya Chama cha Kikomunisti cha China umefanyika hapa Beijing. Baada ya mkutano huo, katibu mkuu mpya wa Kamati kuu ya chama hicho Bw. Xi Jinping aliongoza wajumbe wapya wa kudumu wa ofisi ya siasa ya kamati kuu ya chama Bw Li Keqiang, Bw Zhang Dejiang, Bw Yu Zhengsheng, Bw Liu Yunshan, Bw Wang Qishan na Bw Zhang Gaoli kukutana na waandishi wa habari wa nchini na nje.
  • Wazo la kujiendeleza kwa njia ya kisayansi lathibitishwa kuwa fikra ya uelekezaji kwenye Katiba ya chama
  Mkutano mkuu wa 18 wa Chama cha Kikomunisti cha China umefungwa leo tarehe 14 hapa Beijing. Chama cha Kikomunisti cha China imefanya marekebisho ya 18 ya katiba yake ambayo ni mwongozo wa utawala wa nchi, ambapo wazo la kujiendeleza kwa njia ya kisayansi limethibitishwa kuwa fikra ya uelekezaji wa chama pamoja na Umarx-lenin, Fikra ya Mao Zedong, Nadharia ya Deng Xiaoping na "Uwakilishi mtatu".
  • China yashikilia "ushirikiano na maendeleo kwa pamoja" katika mambo ya kidiplomasia
  Mkutano mkuu wa 18 wa Chama cha kikomunisti cha China leo unaendelea hapa Beijing. Katika ripoti iliyotolewa na kuthibitishwa kwenye mkutano huo, chama tawala kimefafanua sera zake za mambo ya ndani na nje.
  • Nchi za Afrika zanufaishwa na maendeleo ya China
  tarehe nane mwezi ujao (Novemba 8) chama cha kikomunisti cha uchina kinachagua viongozi wake. Unpoangalia ushirikiano wa Kenya na China miaka kumi iliyopita, je unaweza kusema nini?
  • Matumaini ya Mzee Maimaitijiang
  Mkutano mkuu wa 18 wa Chama cha kikomunisti cha China utafanyika hivi karibuni, ambapo wajumbe wapatao zaidi ya 2200 watakusanyika Beijing kujadili na kuamua masuala mengi mbalimbali yanayohusu mustakbali wa chama tawala na yatakayoleta athari kubwa kwa China katika siku za baadaye. Sasa tunawaletea ripoti kuhusu matarajio ya baadhi ya wajumbe wa mkutano huo.
  More>>
  Mtazamo wa msomi wa Afrika
  Bob Wekesa, Mhariri kutoka Kenya, na sasa ni mwanafunzi wa udaktari katika chuo kikuu cha mawasiliano cha China. 
  Wakati mkutano wa CPC unapoendelea, Bob akiwa msomi kutoka Afrika aishio hapa China anatupa mtazamo wake kuhusu chama hiki, taifa la China na uhusiano kati ya China na Afrika, ambao unasaidia kufahamu siasa ya China na watu wa China.
  • Nchi za Afrika zanufaishwa na maendeleo ya China
  tarehe nane mwezi ujao (Novemba 8) chama cha kikomunisti cha uchina kinachagua viongozi wake. Unpoangalia ushirikiano wa Kenya na China miaka kumi iliyopita, je unaweza kusema nini?
  • Bob Wekesa anatupa mtazamo wake kuhusu Chama cha Kikomunisti cha China
  Wakati mkutano wa CPC unapoendelea, Bob akiwa msomi kutoka Afrika aishio hapa China anatupa mtazamo wake kuhusu chama hiki, taifa la China na uhusiano kati ya China na Afrika, ambao unasaidia kufahamu siasa ya China na watu wa China...
  More>>
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako