• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya

  • Rais Xi aeleza sera ya China kuhusu Mashariki ya Kati
    Habari
    Rais Xi aeleza sera ya China kuhusu Mashariki ya Kati
    Rais Xi Jinping aandika makala kwenye gazeti la Iran
    Rais wa China na mfalme wa Saudi Arabia wahudhuria sherehe ya uzinduzi wa kiwanda cha mafuta cha Yasref
    Marais wa China na Misri wakutana
    Rais wa China akutana na katibu mkuu wa jumuiya ya ushirikiano wa kiislam
    China na Saudi Arabia kuunda kamati ya ngazi ya juu inayoelekeza ushirikiano kati ya pande hizo mbili
    China na Saudi Arabia kuinua ngazi ya ushirikiano kati yao na kuangalia zaidi ushirikiano kwenye mambo ya viwanda.
    Rais Xi Jinping awasili Saudi Arabia kwa ziara
    China na nchi za Mashariki ya Kati zinapaswa kuimarisha urafiki wa jadi katika hali mpya
    China na Mashariki ya Kati zinakabiliwa na fursa za kihistoria katika ushirikiano
    More>>
    Maelezo
    • Rais Xi aeleza sera ya China kuhusu Mashariki ya Kati

    Rais Xi Jinping wa China jana mjini Cairo alitoa hotuba kwenye makao makuu ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu na kueleza sera ya China kuhusu Mashariki ya Kati. Akiwahutubia viongozi mbalimbali wa mashirika na nchi za Mashariki ya Kati akiwemo katibu mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu Bw. Nabil el-Araby jana kwenye makao makuu ya Jumuiya hiyo.

    • Ziara ya rais wa China Mashariki ya Kati kulenga mchango wa China katika amani ya kanda hiyo
    Rais Xi Jinping wa China leo anaanza ziara ya siku tano katika nchi tatu za Mashariki ya Kati, itakayomfikisha Saudi Arabia, Misri na Iran. Mbali na mambo ya ushirikiano kati ya pande mbili, ziara yake pia inatarajiwa kuangalia mchango wa China katika kuhimiza amani na maendeleo katika eneo la Mashariki ya Kati.
    • Ziara ya rais wa China Mashariki ya Kati kuongeza nguvu ya ushirikiano kati ya pande hizo mbili
    Rais Xi Jinping wa China anatarajiwa kufanya ziara katika nchi za Saudi Arabia, Iran, na Misri kuanzia tarehe 19 hadi tarehe 23 mwezi huu.
    More>>
    Picha

    Rais Xi aeleza sera ya China kuhusu Mashariki ya Kati

    Marais wa China na Misri wakutana
    More>>
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako