• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais Xi Jinping ahudhuria na kuhutubia Maonesho ya kwanza ya kimataifa ya Bidhaa zinazoingizwa China kutoka nje
  Habari
  v Rais wa China akutana na wajasiriamali wanaoshiriki kwenye maonyesho ya kimataifa ya bidhaa za nje ya China
  v China yatoa sera za kuhimiza Shanghai na sehemu nyingine kufungua mlango zaidi
  v Rais wa China atoa mapendekezo ya kuhimiza ufunguaji mlango na ushirikiano
  v China ina mazingira mengi mazuri ya kudumisha maendeleo mazuri, ya kudumu na utulivu ya uchumi
  v China itaingiza utaratibu wa kutoa adhabu ya kufidia ili kuongeza gharama za kukiuka sheria
  More>>
  Maelezo
  v Rais Xi Jinping atangaza hatua mpya za China katika kufungua mlango kwenye ufunguzi wa CIIE
  Rais Xi Jinping wa China amehudhuria na kutoa hotuba kwenye Maonesho ya kwanza ya kimataifa ya uagizaji bidhaa ya China yaliyofunguliwa leo mjini Shanghai. Rais Xi ametangaza kuwa China itaongeza hatua za kufungua mlango, akisisitiza kuwa mafungamano ya kiuchumi duniani ni mwelekeo usiozuilika, nchi zote zinatakiwa kuhimiza ufunguaji mlango na ushirikiano, ili kupata maendeleo kwa pamoja. Pia amesisitiza kuwa China haitasimamisha hatua zake katika kuhimiza ufunguaji mlango katika kiwango cha juu zaidi, kujenga uchumi ulio wazi kwa dunia, na kujenga jumuiya ya binadamu yenye hatma ya pamoja.
  v China inatia nguvu mpya katika kuendeleza pamoja uchumi wa dunia ulio wa kufungua mlango

  Maonesho ya kwanza ya kimataifa ya bidhaa zinazoingizwa China kutoka nje yamefunguliwa leo huko Shanghai, ambapo nchi, sehemu na mashirika ya kimataifa 172 pamoja na kampuni zaidi ya 3,600 zimeshiriki kwenye maonesho hayo.

  v Dunia nzima yaingia kwenye soko la China kwa kupitia maonesho ya uagizaji bidhaa ya kimataifa ya China

  Maonesho ya kwanza ya uagizaji bidhaa ya kimataifa ya China yatafunguliwa kesho mjini Shanghai, ambayo yatajenga jukwaa jipya la ushirikiano kwa zaidi ya 3,000 ya kampuni kutoka nchi na sehemu 130, na pia yatatoa fursa mpya kwa nchi mbalimbali kunufaika na maendeleo ya uchumi wa China.

  More>>
  Picha

  Rais Xi Jinping ahudhuria na kuhutubia Maonesho ya kwanza ya kimataifa ya Bidhaa zinazoingizwa China kutoka nje

  Waziri mkuu wa China asisitiza kuongeza nguvu ya kusukuma mbele kufungua mlango na kulegeza uthibiti wa kuingia katika soko

  Ongezeko la thamani ya biashara ya utoaji wa huduma nchini China laleta manufaa makubwa
  More>>
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako