• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Uvumbuzi wa sayansi na teknolojia zaelekeza maendeleo yenye sifa bora ya Beijing
  Habari
  v Rais Xi Jinping ahimiza kupanda miti nchini kote ili kupata mafanikio yenye ufanisi
  v China yapitisha miswada kadhaa ya marekebisho ya sheria kwa ajili ya utekelezaji wa sheria ya uwekezaji kutoka nje
  v Roketi ya kubeba mizigo iliyosanifiwa na China yamaliza majaribio ya injini
  v China kufanya mkutano wa pili wa maendeleo ya kidijitali mwezi ujao
  v China kuboresha ulinzi wa wanyamapori katika mwaka 2019
  More>>
  Maelezo
  v Uvumbuzi wa sayansi na teknolojia zaelekeza maendeleo yenye sifa bora ya Beijing
  Uchumi wa China umebadilika na kupata maendeleo yenye sifa bora kutoka katika kipindi cha ongezeko la kasi katika miaka ya hivi karibuni. Hivi sasa maendeleo yenye sifa bora yamekuwa na umaalumu muhimu kwa maendeleo ya Beijing, na uvumbuzi wa sayansi na teknolojia umekuwa msingi muhimu.
  v Waziri mkuu wa China asisitiza kulegeza masharti ya uwekezaji kwa wawekezaji wa kigeni
  Sherehe ya ufunguzi wa Mkutano wa Mwaka 2019 wa Baraza la Asia la Boao umefanyika mkoani Hainan leo asubuhi. Waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang akihutubia mkutano huo amesisitiza kuwa, China itatangaza sheria na kanuni mapema kuhusu uwekezaji kutoka nje, kuzidi kulegeza masharti ya uwekezaji kwa wawekezaji wa kigeni, na kuendelea kupanua ufunguaji mlango katika sekta ya fedha.
  v China kuhimiza ufunguaji mlango katika kiwango cha juu na maendeleo ya uchumi yenye ubora zaidi

  Mkutano wa kwanza wa Baraza la ngazi ya juu la Maendeleo la China umefungwa jana mjini Beijing. Maofisa wa idara mbalimbali za serikali ya China waliohudhuria mkutano huo wameonesha ishara wazi kwamba, China itahimiza kwa hatua madhubuti sera ya kufungua mlango kwenye kiwango cha juu zaidi, na maendeleo yenye ubora zaidi ya uchumi, ili kuzifanya nchi mbalimbali zinufaike zaidi kutokana na soko kubwa la China.

  More>>
  Picha

  Uvumbuzi wa sayansi na teknolojia zaelekeza maendeleo yenye sifa bora ya Beijing

  China kufanya mkutano wa pili wa maendeleo ya kidijitali mwezi ujao

  China na Italia zatia nguvu mpya kwenye Njia ya Hariri ya Kale

  China yapiga hatua katika kubana matumizi ya maji

  China kuwa soko kubwa duniani la teknolojia ya 5G

  Huu ni mwaka muhimu kwa China kushinda vita dhidi ya umaskini
  More>>
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako