v Ujenzi wenye sifa nzuri wa "Ukanda Mmoja, Njia Moja" kuleta manufaa mengi
Mkutano wa pili wa kilele wa ushirikiano wa kimataifa wa "Ukanda Mmoja, Njia Moja" umefungwa hapa Beijing, na makubaliano zaidi ya 280 yenye thamani ya dola za kimarekani bilioni 640 yamefikiwa. Wataalam wanaona kuwa, ujenzi wa pamoja wenye sifa nzuri wa "Ukanda Mmoja, Njia Moja" utaweza kutimiza lengo la kuunganisha ufanisi wa uchumi, jamii na uhifadhi wa mazingira.
|