• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • • Ujenzi wenye sifa nzuri wa "Ukanda Mmoja, Njia Moja" kuleta manufaa mengi
     2019-04-29

    Mkutano wa pili wa kilele wa ushirikiano wa kimataifa wa "Ukanda Mmoja, Njia Moja" umefungwa hapa Beijing, na makubaliano zaidi ya 280 yenye thamani ya dola za kimarekani bilioni 640 yamefikiwa. Wataalam wanaona kuwa, ujenzi wa pamoja wenye sifa nzuri wa "Ukanda Mmoja, Njia Moja" utaweza kutimiza lengo la kuunganisha ufanisi wa uchumi, jamii na uhifadhi wa mazingira.

    • "Ukanda mmoja, njia moja" Pendekezo muhimu kwa dunia iliyo wazi zaidi 2019-04-28

    Mkutano wa pili wa baraza la kimataifa la "ukanda mmoja, njia moja" umefungwa jana hapa Beijing, na baadaye taarifa ya pamoja kutolewa baada ya mkutano wa majadiliano wa viongozi.

    • Mkutano wa pili wa "Ukanda Mmoja Njia Moja" wamalizika 2019-04-27
    • China kuchukua hatua tano kuhimiza ufunguaji mlango kwenye kiwango cha juu zaidi 2019-04-27
    Rais Xi Jinping wa China akihutubia ufunguzi wa Mkutano wa Pili wa Baraza la Ushirikiano wa Kimataifa la "Ukanda Mmoja, Njia Moja", amesisitiza kuwa inapaswa kusukuma mbele ujenzi wa pamoja wa "Ukanda Mmoja, Njia Moja" kwenye kiwango chenye sifa ya juu, na kutangaza hatua tano muhimu zitakazochukuliwa na China katika kuhimiza ufunguaji mlango kwa kiwango cha juu zaidi.
    • Waziri wa uchukuzi wa Kenya atarajia makampuni mengi zaidi ya China kuwekeza nchini Kenya 2019-04-27

    Mkutano wa baraza la uwekezaji kati ya China na Kenya uliofanyaika pembeni ya mkutano wa "Ukanda Mmoja, Njia Moja", umekuwa ni fursa nzuri ya kutangaza vivutio vya Kenya kwa wawekezaji wa China. Waziri wa uchukuzi wa Kenya Bw. James Macharia aliendesha mkutano huo na kueleza maoni yake kuhusu jinsi mkutano uliofanyika.

    • Viongozi wa China na Kenya wahimiza ushirikiano wa kujenga kwa pamoja "Ukanda Mmoja, Njia Moja" kupata mafanikio makubwa 2019-04-26
    Rais Xi Jinping wa China jana hapa Beijing amekutana na rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ambaye yupo China kuhudhuria Mkutano wa Pili wa Baraza la Ushirikiano wa Kimataifa la "Ukanda Mmoja, Njia Moja". Hayo ni mazungumzo rasmi ya sita kati ya viongozi wa nchi hizo mbili tangu Bw. Kenyatta alipochaguliwa kuwa rais wa Kenya mwaka 2013, na rais Xi Jinping wa China kutoa Pendekezo la "Ukanda Mmoja, Njia Moja". Mawasiliano hayo ya mara kwa mara kati ya nchi hizo mbili yamehimiza kwa nguvu ushirikiano wenye ufanisi kati ya pande hizo mbili katika kujenga kwa pamoja "Ukanda Mmoja, Njia Moja" na kupata mafanikio mazuri.
    • Vifaa na teknolojia ya China vyarahisisha kazi za utafiti wa maji na samaki Tanzania 2019-04-26
    Katika mfululizo wetu wa ripoti za ushirikiano wa wasomi wa China na Afrika leo tunaelekea kule nchini Tanzania ambapo taasisi ya jiografia na limnolojia ya Nanjing kutoka China imesaidia ile ya utafiti wa uvuvi nchini humo kwa vifaa vya maabara na hiyo kuendeleza uchunguzaji wa ubora wa maji na samaki. Ronald Mutie anaripoti.
    • Mkutano wa wanaviwanda wa "Ukanda Mmoja, Njia Moja" wafanyika Beijing 2019-04-25
    Mkutano wa wanaviwanda wa "Ukanda Mmoja, Njia Moja" umefanyika leo hapa Beijing. Hii ni mara ya kwanza kwa China kuandaa mkutano kama huo wakati wa Mkutano wa kilele wa ushirikiano wa kimataifa wa "Ukanda Mmoja, Njia Moja".
    • Ushirikiano wa China na Tanzania katika utunzaji wa ziwa Tanganyika 2019-04-25

    Kwenye mfululizo wetu wa ripoti kuhusu ushirikiano wa China na Tanzania mwandishi wetu Ronald Mutie anaripoti kuhusu ushirikiano kati ya Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi ya Tanzania Tafiri na taasisi ya jigrafia na nimnolojia ya China (Niglas).

    • Utafiti wa kilimo kati ya Kenya na China kutatua changamoto za upungufu wa Chakula 2019-04-24

    Kwenye ripoti mfululizo leo kuhusu ushirikiano wa wataalam na wasomi wa China na Kenya, Ronald Mutie anaripoti kuhusu kazi za maabara ya pamoja ya kilimo kwenye Chuo kikuu cha Jomo Kenyatta cha kilimo na Teknolojia. Maabara hiyo imejengwa kwa msaada wa China kupitia chuo kikuu cha sayansi cha China. Hii hapa ripoti yake.

    • China kusaidia Kenya kupata data ya ardhini kutoka angani bila malipo 2019-04-23
    Kenya itakuwa na kituo cha kwanza barani Afrika cha kupokea data ya ardhi yake kutoka angani kupitia kwa setilaiti.
    • China yahimiza ufunguaji mlango na maendeleo kwenye viwanda vya meli 2019-04-22
    China hivi sasa inahimiza maendeleo na ufunguaji mlango wa viwanda vya kutengeneza meli, na kufanya ushirikiano wa kimataifa katika kuinua kiwango cha matumizi ya akili bandia kwenye viwanda hivyo.
    • Kituo cha pamoja cha utafiti chakuza ubadilishanaji wa kisayansi kati ya China na Afrika 2019-04-22
    Leo tunaanza mfululizo wa ripoti kuhusu ushirikiano wa wataalam na wasomi wa China na wale wa Kenya na Tanzania.
    • Mkutano wa pili wa kilele wa "Ukanda Moja, Njia Moja" kuhimiza maendeleo yenye sifa nzuri
     2019-04-19

    Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi, ambaye pia ni mjumbe wa taifa la China leo ametangaza kuwa, mkutano wa pili wa kilele wa ushirikiano wa kimataifa wa pendekezo la "Ukanda Mmoja, Njia Moja" utafanyika hapa Beijing kuanzia tarehe 25 hadi 27 mwezi huu, na kuhudhuriwa na rais Xi Jinping wa China pamoja na viongozi wengine 37 wa nchi mbalimbali. Bw. Wang amesema lengo kuu la mkutano huo ni kuhimiza maendeleo yenye sifa nzuri ya "Ukanda Mmoja, Njia Moja".

    • China kuhimiza maendeleo yenye sifa nzuri ya ujenzi wa pamoja wa "Ukanda Mmoja, Njia Moja"
     2019-04-18

    Msemaji wa Kamati Kuu ya Maendeleo na Mageuzi ya China Bw. Yuan Da leo hapa Beijing amesema, katika miaka 6 iliyopita, kwa kufuata kanuni ya "kushauriana, kunufaishana na kujenga kwa pamoja", China imepiga hatua muhimu na kupata mafanikio dhahiri katika kusukuma mbele ujenzi wa "Ukanda Mmoja, Njia Moja". Amesema katika siku zijazo, China itahimiza maendeleo yenye sifa nzuri ya ujenzi wa pamoja wa "Ukanda Mmoja, Njia Moja".

    • Biashara ya nje ya China yaonesha mwelekeo wa utulivu katika robo ya kwanza ya mwaka huu 2019-04-12
    Idara Kuu ya Forodha ya China leo imesema thamani ya jumla ya uagizaji na uuzaji wa bidhaa wa China katika robo ya kwanza ya mwaka huu imefikia yuan trilioni 7.01, sawa na dola za kimarekani trilinoi 1.04, ikiwa ni ongezeko la asilimia 3.7, hali ambayo imeonesha kuwa thamani ya biashara nje ya China inadumisha mwelekeo wa kupata maendeleo kwa utulivu.
    • Waziri mkuu wa China asisitiza kulegeza masharti ya uwekezaji kwa wawekezaji wa kigeni 2019-03-28
    Sherehe ya ufunguzi wa Mkutano wa Mwaka 2019 wa Baraza la Asia la Boao umefanyika mkoani Hainan leo asubuhi. Waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang akihutubia mkutano huo amesisitiza kuwa, China itatangaza sheria na kanuni mapema kuhusu uwekezaji kutoka nje, kuzidi kulegeza masharti ya uwekezaji kwa wawekezaji wa kigeni, na kuendelea kupanua ufunguaji mlango katika sekta ya fedha.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako