• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Balozi wa China nchini Afrika Kusini asema Marekani haina uwezo wa kupambana na virusi vya korona kama inavyofanya China
  Habari
  v China yawaunga mkono zaidi wahudumu wa afya wa kike wanaopambana na mlipuko wa korona
  v China yasema athari ya maambukizi ya virusi vya korona kwa biashara ya kigeni ni ya muda
  v Uhusiano kati ya China na nchi za ASEAN waimarika zaidi kwa kupambana na virusi vya Korona kwa pamoja
  v Kamati Kuu ya Ukaguzi wa Nidhamu ya CPC yasisitiza usimamizi wa kazi ya kudhibiti maambukizi ya virusi
  v China yaongeza kasi ya kugundua chanjo dhidi ya virusi vya korona
  More>>
  Maelezo
  v Kushinda COVID-19 kwa niaba ya jumuiya yenye hatma ya pamoja

  Tangu kutokea kwa maambukizi ya virusi vipya ya korona vinavyosababisha nimonia (COVID-19), watu wa nchi mbalimbali duniani wameeleza kuiunga mkono China.

  v Adui mkubwa zaidi sio virusi vya korona, bali ni habari za kupotosha zinazoweza kuwatenga watu

  China bado inajitahidi kupambana na maambukizi ya virusi vipya vya korona vinavyosababisha nimonia (COVID-19). Wakati huohuo, badala ya kutoa misaada, baadhi ya nchi za magharibi zinapaka matope China kutokana na ugonjwa huo. Shirika Kuu la Utangazaji la China limetoa tahariri inayouliza, "Adui mkubwa zaidi kuliko virusi ni nini".

  v China yatoa wito wa ushirikiano wa kimataifa dhidi ya COVID-19

  Mjumbe wa Baraza la Taifa la China ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya nje ya China Bw. Wang Yi amesema virusi havina mipaka, na jumuiya ya kimataifa inapaswa kufanya kazi kwa pamoja kupigana na virusi vipya vya korona (COVID-19).

  More>>
  Picha

  Balozi wa China nchini Afrika Kusini asema Marekani haina uwezo wa kupambana na virusi vya korona kama inavyofanya China

  Hali ya udhibiti wa nimonia ya COVID-19 mkoani Hubei yaboreka

  WHO yasema China inajitihadi kutibu wagonjwa wa COVID-19

  WHO yasema waraka wa China ni muhimu katika kuwezesha Shirika hilo kutoa ushauri

  Balozi wa Tanzania nchini China aiunga mkono China kupambana na virusi vya Korona

  Wahudumu 1,200 wa afya kutoka Jeshi la China wawasili Wuhan
  More>>
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako