Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
Safari katika ziwa la Qinghai 2 2004/07/12
Ukiangalia kutoka mbali utawaona ndege wengi kama waumini wanaokuwa katika hija, wamejaa kote visiwani. Ukiangalia kwa darubini, utaona baadhi yao wakiinua vichwa kuangalia mbinguni, wengine wanainamisha vichwa kama wanasinzia; na wengine wanapiga piga mabawa au kusepetuka sepetuka.
Mlima wa Manjano 2004/07/08
Mlima wa Manjano mzuri una eneo la kilomita 154 za mraba vilele elfu vikubwa na vidogo ,majabali ya ajabu kem kem mvinje na misonobari yenye umri wa mika elfu kadhaa,zaidi ya hayo mawingu na ukungu hutokea mwaka mzima haswa baada ya kunyesha mvua hutokeza upindi.
Safari katika ziwa la Qinghai 2004/07/05
Ziwa la Qinghai ni ziwa kubwa la maji ya chumvi katika sehemu ya China bara. Ziwa hilo liko mkoani Qinghai, magharibi mwa China. Upande wa kaskazini-magharibi wa ziwa hilo kuna visiwa viwili, kimoja upande wa mashariki, na kingine upande wa magharibi. Visiwa hivyo vinaonekana kama ndugu pacha wakisubiri watalii. Kila mwaka watalii humiminika huko kuburudika na mandhari ya ziwa hilo, lakini kitu kinachowavutia zaidi ni ndege walio wengi sana huko visiwani. Ukienda katika majira mazuri, utaona ndege laki kadhaa wanaorukaruka kama wanakukaribisha kwa furaha. Basi katika kipindi cha leo twende huko pamoja tuone mandhari ilivyo huko.
1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11