Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
Sanxingdui yenye vitu vingi vya ajabu  2008/10/27
Kabla ya kusoma makala hiyo, tunatoa maswali mawili: 1. Sanxingdui ilistawi kwa miaka mingapi? 2. Miongoni mwa vitu vingi vilivyofukuliwa kwenye mabaki ya Sanxingdui, ni vitu vya aina gani, ambavyo vinaweza kuonesha kiwango cha ufundi wa wakati ule, je, ni vitu vya jade au ni vya shaba nyeusi? Tafadhali sikilizeni kwa makini makala tunayowasomea ili muweze kupata majibu
Mandhari ya ajabu ya Mlima Tianmen 2008/10/13
Sehemu ya Zhangjiajie iliyopo mkoani Hunan, katikati ya China, inajulikana kwa mandhari yake ya majabali mengi yaliyochongoka kama msitu, na katika sehemu hiyo upande wa kusini kuna kivutio kinachovutia watalii kutokana na tundu moja kubwa lililopo kwenye kilele cha Mlima Tianmen.
Ziwa Houhai ni mahali pazuri pa mapumziko 2008/09/22
Kama utafika Beijing, Ziwa Houhai ni mahali ambapo usikose kupatembelea. Sehemu hiyo ni sehemu ya makazi inayostawi sana mjini Beijing. Ingawa sehemu hiyo ni yenye shughuli nyingi, lakini watu wanaweza kupata mahali pasipo na kelele, huko ni makazi ya jadi ya wenyeji wa Beijing, ambayo mambo ya kisasa yameungana na mambo ya jadi.
Hekalu la Tathagata la mkoa wa Tibet  2008/07/21
China ni nchi yenye aina nyingi za dini zikiwa ni pamoja na dini za Kidao, Kibudha, Kiislam na Kikristo, hivyo kuna majengo mengi ya kidini kwenye sehemu mbalimbali za China. Majengo ya kila aina ya dini yana umaalumu wake, pamoja na mambo mengi ya kiutamaduni na kihistoria. Katika kipindi hiki cha leo, tutawaelezea hekalu la kale la Tathagata, ambalo ni hekalu la dini ya kibuddha. Tathagata ni sauti ya matamshi ya maneno ya lugha ya Kitibet
Ziwa Xihu pamoja na chai ya Longjing  2008/06/30
Ziwa Xihu la mji wa Hangzhou linajulikana sana duniani, watu hulihusisha ziwa hilo pamoja na ziwa Geneva la Uswisi, na kuyasema kama ni lulu mbili zinazong'ara duniani. Katika kipindi hiki cha leo tutawafahamisha kuhsu Ziwa Xihu na chai ya Longjing.
Xinyang yenye mandhari nzuri ya milima na mito 2008/06/16
Mji wa Xinyang mkoani Henan uko kwenye sehemu ya kati ya China, watu wanasema sehemu hiyo ni kaskazini mwa nchi ya kusini, na ni kusini mwa nchi ya kaskazini, Xinyang ni mahali penye mandhari nzuri ya milima na mito
Sehemu iliyosifiwa kuwa ni Beijing ndogo iliyoko kwenye sehemu ya mpaka wa kaskazini mwa China 2008/06/02
Beijing ni mji mkuu wa China, katika mji huu kuna mabaki mengi ya kihistoria na kiutamaduni ukiwemo ukuta mkuu na kasri la kifalme, ambavyo ni maarufu sana duniani. Kwenye mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya ndani, ambao uko kwenye sehemu ya kaskazini magharibi mwa China
Twende kuwaangalia korongo katika majira ya baridi 2008/05/12
Kwenye mkoa wa Guizhou, kusini magharibi mwa China kuna ardhi oevu iliyoko kwenye uwanda wa juu, wakazi wa huko wanaiita "bahari ya majani". Kila ikifika siku za baridi, ndege zaidi ya laki moja hufika huko kutoka sehemu ya kaskazini ili kukwepa baridi kali ya maskani yao.
Msitu wa mawe yenye maandiko ya maneno ya kumbukumbu 2008/04/28
Katika kipindi hiki cha leo, tunawafahamisha kuhusu msitu wa mawe yenye maandiko na michoro ya kumbukumbu ulioko mjini Xian, mkoa wa Shanxi, sehemu ya kaskazini magharibi ya China. Kundi hilo la mawe ya kumbukumbu linachukua nafasi ya kwanza kwa wingi wa mawe ya kumbukumbu yanayohifadhiwa nchini China
Sanya ni mahali pazuri pa kupumzika kwenye sehemu ya Joto 2008/04/14
Sanya ni mji ulioko sehemu ya kusini kabisa mwa China, na pia ni mji pekee wenye shughuli za utalii ulioko kwenye pwani ya sehemu ya joto nchini China.
1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11