Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
Maskani ya Tiara za China 2005/05/30
Mji wa Weifang uko mkoani Shandong, pwani ya mashariki ya China. Tukitaja Weifang, watu wengi wa China kwanza wanaweza kupata picha ya tiara za huko.
Mlima Wuyi yenye vivutio vya kupendeza 2005/05/16
Tukizungumzia vivutio vya Mlima Wuyi, mwandishi wa vitabu wa China alimnukuu mzee mmoja mmrekani akisema, kama iko siku nitapotea njia katika sehemu yoyote duniani, tafadhali nipelekee huko Mlima Wuyi wa mkoa wa Fujian, China
Vivutio vya Sehemu ya milimani ya Yeshanpo 2005/04/25
Sehemu ya milimani ya Yeshanpo iko kilomita 100 na kitu kutoka Beijing, eneo lake ni kilomita za mraba 600, ambapo kuna vivutio mbalimbali kama vile Bonde Baili, Mto Juma, Mnara wa mapango ya sanamu za buddha
Kisiwa cha Gulangyu 2005/04/04
Kisiwa cha Gulangyu kiko sehemu ya kusini magharibi ya mji wa Xiamen mkoani Fujian, China. Eneo la kisiwa hiki si kubwa ambalo ni zaidi ya kilomita za mraba elfu 17, na wakazi wa kisiwa hiki ni chini ya elfu 20.
Mji wa Linxia 2005/02/28
Mji Linxia uko kusini magharibi ya mkoa wa Gansu, magharibi ya China. Mji huo ambao uko karibu sana na Lanzhou, mji mkuu wa mkoa wa Gansu si mkubwa.
Twende Mlima Wudang kutafuta waumini wa dini ya kidao wanaofanya mazoezi ya Gongfu (zaidi) 2005/01/24
Dini ya kidao ni dini ya kienyeji nchini China, ambayo imekuwa na historia zaidi ya miaka 1800. Watu wanaoshughulikia kwenye mahekalu ya dini ya kidao wanaitwa Daoshi, ambao kila siku baada ya kufanya mazoezi ya dini ya kidao pia wanapenda kufanya mazoezi ya Gongfu.
Twende Mlima Wudang kutafuta waumini wa dini ya kidao wanaofanya mazoezi ya Gongfu 2005/01/17
Dini ya kidao ni dini ya kienyeji nchini China, ambayo imekuwa na historia zaidi ya miaka 1800. Watu wanaoshughulikia kwenye mahekalu ya dini ya kidao wanaitwa Daoshi, ambao kila siku baada ya kufanya mazoezi ya dini ya kidao pia wanapenda kufanya mazoezi ya Gongfu.
Vivutio vya mji maarufu wa kauri Jindezhen 2004/12/20
 Kwa lugha ya kiingereza, herufi za neno "kauri" na "China" ni sawasawa, huu ni ufafanuzi mzuri kabisa kuhusu historia ndefu ya China ya kutengeneza vyombo vya kauri na ustadi mzuri wa utengenezaji huo. Ustadi mzuri wa China wa utengenezaji wa vyombo vya kauri umewawezesha watu duniani kufurahia vyombo murua vya sanaa na kuandika historia inayong'ara ya vyombo vya kauri vya China.
Huanglong 2004/12/13
Sehemu hiyo ina mandhari ya kiasili inayowavutia sana watu, hasa maji ya maziwa yenye rangi mbalimbali. Wakati fulani maji hayo huwa ni ya buluu sana, wakati mwingine yanakuwa ya kijani, na baadhi ya wakati rangi ya maji inachanganyika na ya kijamanjano.
Tembea peponi mwa dunia 2004/12/06
Mkipanda ndege kutoka Chengdu, kusini magharibi mwa China mtafika kwenye uwanja wa ndege wa Jiuhuang baada ya dakika 40 tu. Sehemu za Jiuzhaigou na Hunglong zote ni urithi wa mali za dunia ya kimaumbile, sehemu hizo mbili ziko kwenye umbali wa kilomita 50 wa pande mbili za uwanja wa ndege.
1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11