Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
Matembezi kwenye msitu wa mianzi wa Shunan mkoani Sichuan 2007/06/11
Karibuni wasikilizaji wapendwa katika kipindi hiki cha safari nchini China. Watalii wanaotembelea China, husema: "watu wanaofika kwenye sehemu ya kusini mashariki mwa China wanaangalia bahari, wanaofika sehemu ya kaskazini mashariki wanaangalia misitu, wanaofika kaskazini magharibi wanaangalia mchanga na wanaofika kusini magharibi wanaangalia mianzi".
Maajabu ya mlima wa Manjano 2007/05/28
Karibuni katika kipindi hiki cha safari nchini China, wasikilizaji wapendwa, mlima wa Manjano uko kwenye sehemu ya kusini ya mkoa wa Anhui, ulioko kwenye sehemu ya kati ya China, Mlima huo unajulikana duniani kutokana na maajabu ya misonobari, mawe na mawingu, na ni moja ya sehemu maarufu za utalii nchini China, hivi sasa mlima wa Manjano umeorodheshwa kuwa mabaki ya utamaduni na maumbile duniani.
Matembezi ya kuangalia msitu wa mianzi wa Yunding ulioko katika mji wa Haiyang, mkoani Shandong  2007/05/14
Karibuni katika kipindi hiki cha safari nchini China, katika kipindi hiki cha leo tutawafahamisha kuhusu msitu wa mianzi wa Yunding, ulioko kwenye sehemu ya kiunga cha mji wa Haiyang, mkoani Shandong, sehemu ya kaskazini mwa China.
Kutembelea "Jumba la makumbusho la ikolojia ya makabila" mkoani Guizhou 2007/04/30
Karibuni katika kipindi hiki cha "safari nchini China". Kwenye mkoa wa Guizhou ulioko sehemu ya kusini magharibi mwa China, wanaishi watu wa makabila madogo 48. Serikali ya mkoa wa Guizhou ikizingatia umaalumu wa kuweko kwa makabila mengi madogo, ilijenga majumba manne ya makumbusho yasiyo na uzio, ambayo yanawafahamisha watalii wa nchini na wa nchi za nje kuhusu utamaduni maalumu na desturi na mila za wakazi wa makabila madogo.
Kwenda kuangalia taa za jadi mkoani Qinghai  2007/04/16
Katika kipindi hiki cha utalii nchini China tunawafahamisha taa nyingi zilizopangwa kwenye mstari, ambazo ni vitu vya sanaa ya jadi vya wilaya Huangyuan, mkoani Qinghai ulioko kwenye sehemu ya magharibi mwa China
Kutalii kwenye mji wa Xuancheng unaozalisha vyombo muhimu vinavyotumika kwenye vyumba vya kusomea 2007/03/19
Brashi ya kichina ya kuandikia, wino, karatasi na jiwe la kuchanganyia wino ni vyombo muhimu vya jadi nchini China. Kadiri idadi ya watu wanaopenda michoro ya picha na maandiko ya maneno ya kichina inavyoongezeka, ndivyo miji yenye umaalum wa utamaduni wa jadi wa China inavyofuatiliwa zaidi na watalii
Picha za ukutani ndani ya hekalu la Pilu mkoani Hebei, China 2007/03/05
Nje ya mji wa Shijiazhuang upande wa magharibi mkoani Hebei, China kuna hekalu moja linaloitwa Pilu. Hekalu hilo limekuwepo kwa miaka zaidi ya 1200, hekalu hilo linawavutia watu wengi kutokana na picha za ukutani.
Mji wa Filamu mjini Yinchuan mkoani sehemu Ningxia  2007/02/19
Katika sehemu ya kaskazini magharibi ya China kuna mabaki mengi ya majengo ya kale yaliyojengwa katika enzi mbalimbali za kifalme za zama za kale nchini China, majengo hayo yametapakaa kwenye eneo la jangwa mkoani humo, na Mji wa Zhenbeibao uliosifiwa kuwa ni "Hollywood ya mashariki" ni moja kati ya mabaki hayo
Jumba la maonesho la Hanyangling 2007/02/05
Watalii wa China na wa nchi za nje wakifunga safari kwenye barabara la mwendo kasi kutoka uwanja wa ndege wa Xian kuelekea mjini Xian, njiani wanaweza kuona malundo makubwa mawili ya udongo.
Mikahawa ya chai ya Tianjin yenye burudani ya kufurahisha 2007/01/22
Watalii waliowahi kutembelea mjini Tianjin wote walipata picha nzuri juu ya mikahawa ya chai mikubwa na midogo mjini Tianjin. Mji wa Tianjin unasifiwa kuwa ni "chimbuko la michezo ya sanaa ya ngonjera" kaskazini mwa China, mikahawa ya chai ya Tianjin ni sehemu inayoweza kuonesha umaalum huo wa mji huo.
1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11