Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
Kwenda kwenye mji mdogo Tongli uliozungukwa na mito 2005/12/19
Mkoani Jiangsu, mashariki ya China kuna mji mdogo wa kale unaoitwa Tongli ambao umezungukwa na mito. Mji huo uko umbali wa kilomita zaidi ya 10 tu toka Suzhou, mji maarufu wenye vivutio vya utalii nchini China.
Safari ya utalii kwenye "njia ya hariri" ya kale 2005/12/05
Njia ya hariri ilikuwa ni njia ya biashara katika zama za kale, ambayo ilipita bara la Asia na Ulaya, hadi leo imekuwa na miaka zaidi ya 2,000.
Safari ya kuangalia mambo ya kidini mkoani Shanxi  2005/11/21
Mkoa wa Shanxi uko kwenye sehemu ya kaskazini ya China, ni mkoa kati ya sehemu muhimu kwa maendeleo ya utamaduni wa dini za Kibudha n Kidao nchini China, ambapo utamaduni murua wa kidini, majengo, sanamu na michoro ya kidini vinaonekana katika sehemu nyingi.
Mkahawa wa Makye Ame katika Mji wa Lhasa  2005/11/14
Katika mji wa Lhasa, mji mkuu wa Mkoa wa Tibet uliopo kwenye uwanda wa juu wa mita 3600 kutoka usawa wa bahari, kuna jumba moja dogo la ghorofa kwenye barabara ya Bajiao. Jumba hilo limepakwa rangi ya njano na kulifanya livutie kati ya majengo yote yenye rangi nyeupe kwenye barabara hiyo. 
Matembezi katika Makazi ya Kale Wilayani Yixian  2005/11/07
Mlima Huangshan unajulikana kwa watalii wa nchini na nje ya China. Karibu na mlima huo kuna wilaya moja inayoitwa Yixian, huko wilayani kuna makazi ya kale zaidi ya 3600 ambayo mpaka sasa bado yanahifadhiwa vizuri. 
Mandhari nzuri ya kimaumbile 2005/10/10
China ina rasilimali nyingi za maumbile, licha ya Jiuzaigou, Zhangjiajie na Huanglong, ambazo zimeorodheshwa kuwa mabaki ya kimaumbile ya dunia, kuna sehemu nyingine zenye mandhari nzuri ya kimaumbile zikiwa ni pamoja na Guilin ya sehemu ya kusini magharibi
Kutembelea vichochoro vya mjini Beijing  2005/08/08
Vichochoro vya Beijing vilijengwa mapema katika karne ya 13, vingi vilikamilika katika enzi tatu za kale za China za Yuan, Ming na Qing. Katika enzi hizo, kwenye ujenzi wa mji wa Beijing, kasri la kifalme ni kiini cha ujenzi, makazi ya watu yalijengwa pembezoni mwa kasri la kifalme, na vichochoro ni njia nyembamba zilizotapakaa kati ya makazi ya raia.
Zhaoxian, mji mdogo wa kaskazini ya China 2005/07/11
Zhaoxian iko kusini ya kati mkoani Hebei, mji huo mdogo umekuwa na historia zaidi ya miaka 2500. Katika mji huo mdogo, Daraja la Zhaozhou lililojengwa zaidi ya miaka 1400 iliyopita na Hekalu la Bolinchan la kale yanajulikana nchini na ng'ambo.
"Mtaa wa chakula cha samaki" huko Zhenjiang mkoani Jiangsu 2005/06/27
Mtaa wa chakula cha samaki" uko kwenye kando ya Mto Changjiang, mwanzoni ulikuwa kijiji kidogo cha uvuvi, ambapo wanakijiji walifanya shughuli za kuvua samaki mtoni kizazi hadi kizazi, hadi miaka zaidi ya 10 iliyopita, baadhi ya wanakijiji walipoacha shughuli za uvuvi na kuanzisha mikahawa mingi kijijini.
Uwanja wa Tian An Men 2005/06/13
Beijing, mji mkuu wa China ni mji wenye historia ndefu, matukio mengi makubwa katika historia ya China yalitokea mjini Beijing, hivyo mjini Beijing yamejengwa majumba mengi ya makumbusho ya historia, Jengo jekundu la Chuo kikuu cha Beijing na Jengo la Mlango wa Tian An Men ni "mashahidi wawili maarufu wa historia",
1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11