Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
Mandhari nzuri ya sehemu ya Taohuayuan 2004/11/22
 Nchini China kuna hadithi moja iliyoeleza kuwa, siku moja mvuvi mmoja alipotea njia na kuingia kwenye bonde moja lililofunikwa na maua mengi ya mpichi. Mvuvi huyo akaingia kwenye bonde hilo na kuona kuwa watu wa huko wanaishi maisha ya utulivu na baraka, na hata hawajui mabadiliko yoyote yaliyotokea nje ya bonde hilo.
Mandhari nzuri ya sehemu ya Taohuayuan 2004/11/15
Nchini China kuna hadithi moja iliyoeleza kuwa, siku moja mvuvi mmoja alipotea njia na kuingia kwenye bonde moja lililofunikwa na maua mengi ya mpichi. Mvuvi huyo akaingia kwenye bonde hilo na kuona kuwa watu wa huko wanaishi maisha ya utulivu na baraka, na hata hawajui mabadiliko yoyote yaliyotokea nje ya bonde hilo. Baadaye mvuvi huyo akawaambia watu wengine hali aliyoiona sehemu hiyo.     
Historia ya mji wa Kaifeng 2004/11/08
Kaifeng ni mji wenye historia ndefu sana nchini China. Zaidi ya miaka 1000 iliyopita, wafalme 9 wa enzi ya kale ya Song ya kaskazini ya China wote waliufanya mji huo kuwa mji mkuu wa madola yao. Ingawa miaka mingi imepita, lakini mabaki mengi ya kale ya utamaduni yaliyoko hivi sasa mjini Kaifeng, bado yanaonesha usitawi na neema ya mji huo katika zama za kale na historia yake ndefu.     

Mji wa Weihai mkoani Shangdong, China

 2004/11/01
Siku moja ya mwezi Septemba, mwandishi wetu wa habari alipokwenda huko Wuihai, alivutiwa sana na anga buluu na bahari buluu huko Weihai, na anapenda kuwafahamisha wasikilizaji wetu kuhusu mji huo wenye mandhari nzuri.
Maisha ya wakazi wanaoishi kwenye kando ya Mto Li  2004/10/18
Watu wengi waliowahi kutembelea mkoa unaojiendesha wa kabila la Wazhuan, kusini magharibi mwa China wakizungumzia utalii wao, kila mmoja anajivunia sana, huku akisikitika kuwa aliweza kutembelea huko kwa muda tu.     
Vivutio vya Wenzhou  2004/10/11
    Wenzhou ni mji wa kale uliostawi kibiashara tokea miaka 1300 iliyopita, lakini ustawi wake umekuwa mkubwa zaidi katika miaka 20 ilipita kutokana na China kufanya mageuzi. Mji huo unajulikana sana kwa sanaa za mikono na bidhaa zake zilizoenea kote nchini China. Huu ni mmoja kati ya miji inayostawi ya China.     
Wenzhou, Mji Uliostawi  2004/09/27
    Wenzhou ni mji wa kale uliostawi kibiashara tokea miaka 1300 iliyopita, lakini ustawi wake umekuwa mkubwa zaidi katika miaka 20 ilipita kutokana na China kufanya mageuzi. Mji huo unajulikana sana kwa sanaa za mikono na bidhaa zake zilizoenea kote nchini China. Huu ni mmoja kati ya miji inayostawi ya China.
Vivutio vya utalii vya mji mdogo wa wilaya Kaiyang  2004/09/20
    Mkoani Guizhou kuna milima mingi, watu wanaoishi mkoani humo wanapenda sana milima. Mji mdogo Kaiyang uko karibu na mji mkuu wa mkoa Guiyang, ukifunga safari kwenda Kaiyang kutoka Guiyang, baada ya saa moja na kitu tu utafika huko. Njiani unaweza kuona nyumba nyingi za wakulima zilizotapakaa kwenye sehemu za milimani, mandhari ya huko inapendeza sana.
Ziwa Qiandao lenye vivutio vya utalii  2004/09/13
    Ziwa Qiandao liko katika mkoa wa Zhejiang ulioko pwani ya mashariki ya China. Sehemu hiyo yenye vivutio vya utalii inawapendeza sana watu kutokana na maji yake safi ya kijani, visiwa vya kijani, mandhari yake nzuri ya kijani. Baada ya kutembelea sehemu hiyo, mioyo ya watalii huwa inajaa usafi wa rangi ya kijani.
Mlima Wutai 2004/09/08
Mlima Wutai uliopo katika Jimbo la Shanxi ni mmojawapo kati ya milima minne inayojulikana kwa utamaduni wa dini ya Buda. Miaka 5 iliyopita, mahekalu ya Mlima Wutai yaliteuliwa kuwa maudhui ya kusanifu stempu.
1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11