Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
Twende kuchezea mchanga kwenye ghuba ya Xiangsha 2008/03/31
Ghuba ya Xiangsha ni ya ajabu sana, umaalumu wake ni kuwa mchanga wake unapokauka, unateleza na kumiminikia kwenye sehemu ya chini kutoka kwenye mwinuko huku ukitoa sauti kubwa. Jinsi ilivyo ni kama ndege inavyopita angani, sauti yake inapasua hewa ya mlimani.
Chimbuko la utengenezaji wa taa za kisanaa za jadi ya China 2008/03/17
Tarehe 15 mwezi Januari kwa kalenda ya kilimo ya China, ilikuwa siku kuu ya Yuanxiao ya jadi ya China, ambayo inachukuliwa na wachina kuwa ni mwisho wa wakati wa sikukuu ya Spring.
Matembezi kwenye magulio ya mwaka mpya 2008/03/03
Tarehe 7 mwezi Februali ilikuwa sikukuu ya mwaka mpya wa jadi wa China katika kalenda ya kilimo ya China, ambayo ni sikukuu kubwa kabisa ya jadi ya wachina.
Wafanyabiashara wageni wa mambo ya utalii wavutiwa na Sanya 2008/02/18
Mji wa Sanya wa mkoa wa Hainan, ulioko kwenye sehemu ya kusini ya China ni maarufu katika mambo ya utalii, kisiwa hicho cha sehemu ya joto chenye mwangaza mzuri wa jua, hewa safi na fukwe zenye mchanga mweupe laini, licha ya kuvutia idadi kubwa ya watalii wa nchini China na kutoka nchi za nje, pia unawavutia wafanyabiashara wengi kwenda huko kushughulikia mambo ya utalii.
Mkahawa wa "Jasmini" na mwendeshaji wake mgeni  2008/02/04
Kwenye mji wa Jinan, mji mkuu wa mkoa wa Shangdong ulioko kwenye sehemu ya mashariki ya China, kuna eneo moja wanaloishi kwa wingi waislamu, katika eneo hilo kuna mkahawa wa kipekee wa kihindi, ambao kila siku unakuwa na wateja wengi.
Kijiji cha mashairi ya Taohua cha nchini China 2008/01/21
Sijui kama mmewahi kufika sehemu ya vijijini ya China. Huko licha ya kuweko kwa mandhari nzuri ya mashamba, watalii pia wanaweza kuona utamaduni wa jadi wa sehemu ya vijiji wenye utaalamu wa huko.
Sehemu ya Xishi yenye mandhari nzuri mjini Hangzhou, China 2008/01/07
Hangzhou ni mji maarufu wa utalii nchini China, ziwa Xihu ni mahali ambapo watalii wa nchini na wa kutoka nchi za nje hawakosi kutembelea.
Utalii kwenye Ziwa Nanwan mkoani Henan 2007/12/24
Sehemu ya utalii yenye mandhari nzuri ya ziwa la Nanwan iko umbali wa kilomita 5, kusini magharibi mwa mji wa Xinyang, eneo hilo la maji lina kilomita za mraba 75, ikiwa ni pamoja na ziwa Nanwan na msitu wa taifa wa Nanwan zenye vivutio vya milima, misitu na visiwa.
Jumba la makumbusho ya mapinduzi kwenye mlima Jinggang  2007/12/10
Mlima Jinggang ulioko kwenye mkoa wa Jiangxi, sehemu ya kati ya China, ni mlima mkubwa wenye misitu minene. Zaidi ya miaka 80 iliyopita, wakomunisti wa China walijenga kituo cha kwanza cha mapinduzi kwenye sehemu ya vijiji, ambacho kinasifiwa kuwa ni sehemu yalipoanzia mapinduzi nchini China.
Mlima wenye theluji wa Meili, ulioko Mkoa Tibet 2007/11/26
Kwenye sehemu kati ya mkoa wa Yunnan na mkoa unaojiendesha wa kabila la Wazhuang wa Guanxi, iliyoko sehemu ya kusini magharibi ya China, kuna mlima wenye theluji wa Meili, ambao unaheshimiwa na watu wa kabila la Watibet kuwa ni mungu wao, na watu wa kabila hilo wanakwenda kuhiji kwenye mlima huo mwaka hadi mwaka
1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11