• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • habari
    • Siku ya 16 na ya mwisho ya michezo ya olimpiki jijini London Uingereza. 2012-08-12
    • Siku ni ya 14 kwenye mashindano ya olimpiki jijini London,Uingereza.
    Siku moja imesalia kwa mashindano hayo kukamilika.
     2012-08-11
    • Siku ni ya 13 kwenye mashindano ya olimpiki jijini London,Uingereza. 2012-08-09
    • Siku ni ya 12 ya mashindano ya olimpiki jijini London,Uingereza.Tutupe macho yetu viwanjani. 2012-08-08
    • Siku ya 10 ya mashindano ya Olimpiki jijini London,Uingereza. Tuangazie matokeo ya michezo mbalimbali. 2012-08-06
    • Kampuni moja kubwa ya huduma za simu ya Kenya yatangaza zawadi za pesa kwa washiriki wa olimpiki ya walemavu 2012-08-02
    More>>
    ripoti
    • Siku ni ya 13 kwenye mashindano ya olimpiki jijini London,Uingereza.Siku tatu zimesalia kabla kukamilika kwa mashindano hayo.
    Kamati ya kimataifa ya olimpiki(IOC) imesema haitachunguza ushindi wa mwanariadha Taoufik Makhloufi wa Algeria kwenye mbio za mita 1500 licha ya shaka ya kupata kwake nafuu kwa usiku mmoja. Makhloufi mwenye umri wa miaka 24 alishinda mbio hizo saa 24 baada ya kujiondoa chini ya mita 150 kwenye mbio za mchujo za mita 800.Mwanariadha huyo aidha aliondolewa kwenye olimpiki na shirikisho la kimataifa la vyama vya riadha(IAAF) kwa madai ya kutojituma kwenye mbio hizo.
    • Siku ni ya 12 ya mashindano ya olimpiki jijini London,Uingereza
    Maafisa wa timu ya olimpiki ya Cameroon wamesema wanamichezo saba wamepotea wakiwa nchini Uingereza kwa mashindano hayo.Mkuu wa timu hiyo, David Ojong ameongeza kuwa saba hao ambao walitoweka wikendi iliyopita ni pamoja na mabondia watano,muogeleji na mwanasoka wa kike.
    • Siku ya 11 kwenye mashindano ya olimpiki jijini London
    Raia wa nchi ya Greanada iliyoko kwenye visiwa vya Caribbean wameingia kwenye sherehe baada ya mwanariadha wa nchi hiyo,Kirani James kujinyakulia medali ya dhahabu kwenye mbio za mita 400 kwa wanaume.Waziri Mkuu wa nchi hiyo,Tillman Thomas amemtaja mwanariadha huyo kama mfano bora kwa vijana wa Grenada,nchi yenye idadi ya watu laki moja.
    • Siku ya nane ya mashindano ya olimpiki tuangazie yalojiri viwanjani
    Tuanze na riadha,kwenye mbio za mita 10000 kwa wanaume, Mo Farah wa Uingereza alijishindia nishani ya dhahabu, Galen Rupp wa Marekani akajibebea nishani ya fedha nae Bekele Tariku wa Ethiopia akavuna medali ya shaba.Mbio za mita 100 kwa kina dada zilishuhudia Shelly-Ann Fraser-Pryce na Veronica Campbell-Brown wa Jamaica wakijipatia nishani za dhahabu na shaba mtawalia.Aidha Carmelita Jeter wa Marekani akaridhika na nishani ya fedha.
    • Siku ya saba kwenye mashindano ya olimpiki jijini London Uingereza
    Tuanze na riadha ambapo mwanariadha Tirunesh Dibaba wa Ethiopia alijishindia nishani ya dhahabu kwenye mbio za mita 10000 kwa kina dada.Aidha wanariadha Sally Jepkosgei Kipyego na Vivian Jepkemoi Cheruiyot wa Kenya wakalazimishwa kuchukua medali za fedha na shaba mtawalia.
    More>>
    picha

    • Watazamaji

    • Bw. Ezekiel Kemboi kutoka Kenya apata medali ya dhahabu katika mbio za mita 3000 kuruka viunzi kwa wanaume
    More>>
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako